WI-Fi ni nini????

Majibu ya wataalamu wa IT ni mazuri sana,...bravo

Ila bado naomba mtu atueleze (kwa lugha nyepesi sana) jinsi ya kutegeneza HOTSPOT yako mwenyewe.

Kwa mfano, kama natumia modem (eg, Zantel 5GB per month) naweza kuifanya itumike kwenye simu na tablets? Kama ni ndiyo, nafanyaje?

Mkinipa suluhu ya hilo nitawashukuruje....
 
Jamaa una mbwembwe balaaaa
 


iSiyo kila WiFI ina access code, zingine hazina, mfano viwanja vya ndege kwenye sehemu ya abiria!
 
Last edited by a moderator:
una maanisha nin? Au unataka 2 uione picha na kuridhika
.
Mbona swali na picha hvna uhusiano
.




JF hii, usishangae kina Joti wako wengi humu....tena na hivi shule zimefungwa ndiyo baaaaaasi, utacheka mpaka utajinyea maana utauliza swali la maana mtu wa dotcom anakuuliza jibu wewe muulizaji, yaani ili mradi tu.
 
Mzee wa Wifi nijuulishe namna ya kutengeneza hiyo ( HOTSPOT ) kutoka PC Desktop kwenda kwenye simu isiyokuwa na Wifi je inawezekana kuunganisha internet? Simu inayo Bluetooth lakini haina Wifi.
 
iSiyo kila WiFI ina access code, zingine hazina, mfano viwanja vya ndege kwenye sehemu ya abiria!

Ur' Running fast/
but out of the Track.
.
Unaelewa unacho kisema wewe, Kuna mtu kasema Wi-fi hotsp zote zime wekewa password,
unakielewa unachokisema kwely, soma hzo post ndipo,
utaniambia
.
How fool u r?
 
Mkuu, bahati mbaya mie IT sijasoma kabisa zaidi na nilikuwa nimejikita zaidi kwenye masomo ya CAD kama AutoCAD.

Ila kwa kuchungulia rafiki zangu wa IT, nimejifunza mengi sana kwao.

Ninavyofahamu ni kuwa, hiyo MODEM yako, waweza kununua ikawa na ROUTER na MODEM au Modem iunge kwenye ROUTER. Hizi Router waweza kuinunua na kuunga kwenye Modem na hapo unasambaza WIFI nyumba nzima.


 
Mzee wa Wifi nijuulishe namna ya kutengeneza hiyo ( HOTSPOT ) kutoka PC Desktop kwenda kwenye simu isiyokuwa na Wifi je inawezekana kuunganisha internet? Simu inayo Bluetooth lakini haina Wifi.

Nipe specifications za desktop yako, Mana hutaweza ku assess/create Wi fi kama, computer yako haina Wi-fi router,
.
Me najua kawaida ni kwa PC na simu zenye uwezo kama huo,
.
Na kwa simu yenye bluetooth lakin haina Wi fi Ni imposible, lakin nakumbuka Symbian zilikuwa na Uwezo huo,
internet via bluetooth to bluetooth on PC
 

Ahsante sana mkuu,

Kesho naenda kuitafuta hiyo router, nina vifaa kibao ambavyo vinahitaji Wi-FI na wakatu huo GB zangu zimekuwa zikibaki kwenye modem hawa jamaa wa Zantel wanazilamba.....

Nikiweza lazima nirudi hapa kutoa sadaka (hata kwa kusema ahsante).....hili tatizo limenisumbua kwa muda mrefu sana!

Na Je, naweza kutumia simu yangu kama modem nikaiunganisha na router? Kuna bundles zangu kibao zinapotea bure!
 

Hapa nako kuna ka mtego fulani,

Kwa mtu wa kawaida kama mimi (ambaye kweli ni kiazi wa mambo ya IT), nitajuaje kama simu au PC yangu in Wi-Fi?
 
Kama una dada ameolewa basi dada wa mme wa dadako wataitana Wifi
 

iSiyo kila WiFI ina access code, zingine hazina, mfano viwanja vya ndege kwenye sehemu ya abiria!

Nimekusoma mkuu, angalia kwenye blue nilichokiandika. Thanks
 

Hata nyumani unaweza kujiwekea wireless router ikawa hotspot kwa familia nzima, vilevile unaweza kutumika SIMU au tablet ikawa hotspot ya laptop.
 
Hata nyumani unaweza kujiwekea moderm ikawa hotspot kwa familia nzima, vilevile unaweza kutumika SIMU au tablet ikawa hotspot ya laptop.

Inawezekana, ila itabidi uwe na kifaa kinaitwa wireless router ili kiweze kukusaidia hapo nyumbani kwako kupata hiyo huduma.

Kutegemea na aina ya simu, hili nalo linawezekana, ina maana simu yako ndio inakua kama wireless router itakayovipa vifaa vingine huduma hiyo ya mtandao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…