Why woman want tall men

Why woman want tall men

Mi mwanaume mfupi Aisee hata kuongea nae napata tabu sana .hata sina sababu za msingi..
 
wala huna haja ya ku-google, Mie kuna mmoja namjua naweza kukupa contact zake umfanyie analysis. Jamaa kaenda hewani anamkaribia Hasheem Thabit lakini dah yaliyoko huko unaweza ukawaka shocked vibaya mno. Mie baada ya kuona vile ilibidi nibadilishe mwelekeo to "barua ya maombi iambatane na picha!"

Kwi kwi kwi kwi kwi!!!dah JF rahaa sana, nimecheka sana hapa.
 
Hiyo ni faraja kwako kama ni pimbi.

Mkuu vipi mbona ume panic umekosea ku quote nini?hivi uoni kua inafurahisha na kushangaza binti anapoomba mahusiano uku akitanguliza ombi la picha ya dushe????Upimbi niutolee wapi aiseee.
 
naaleji na hiyo lugha ........ ngoja nipite zangu hiv---->
 
Mkuu vipi mbona ume panic umekosea ku quote nini?hivi uoni kua inafurahisha na kushangaza binti anapoomba mahusiano uku akitanguliza ombi la picha ya dushe????Upimbi niutolee wapi aiseee.

Huyu mtu kuna katatizo anako, hata hapo mwanzo aliniquote hivyo hivyo na coment ya aina hiyohiyo nikaishia tu kumjibu "no wonder"
 
Huyu mtu kuna katatizo anako, hata hapo mwanzo aliniquote hivyo hivyo na coment ya aina hiyohiyo nikaishia tu kumjibu "no wonder"

Duh Basi kuna kazi hapo!!ila may be anajifunza ku quote aisee.
 
Back
Top Bottom