Why watu wenye mafanikio wamesoma kayumba? Samatta, Diamond, Doctors, Engineers, President etc

Shukran Umefafanua vizur Sana,

SASA tupe mtizamo wapi unaweza tegemea ELIMU BORA kutokana na maelezo Yako mazuri.
 
Naunga mkono hoja,
NORDIC countries wako mbali Sana kielimu
 
Mkuu umesoma IST?
 
Shukran Umefafanua vizur Sana,

SASA tupe mtizamo wapi unaweza tegemea ELIMU BORA kutokana na maelezo Yako mazuri.
Hao international wateja wao ni kwa ajili ya dunia nzima... ( elimu bora kwa ajili ya dunia - western education ndio hiyo sasa )
Ubora utakua unashuka kulingana na Ada ila ukitaka well formed individual kwa kuangalia nidham mpeleke seminary ...
 
Yaani diamond na samatta ndo unaona wanamafanikio?

Labda kutokana na umaarufu wao na historia za maisha yao.

Mbali na yote, elimu bora ni muhimu kwa ustawi wa jamii ijayo
 
Kuna watu humu wanajua kukuza mambo. Kiukweli shule za kimataifa kama Tanganyika au Moshi ni nzuri sana kama unajiweza zinampa mwanao ya kuwa exposed globally pia anatengeneza international platform nzuri sana, unakuwa na nafasi ya kujiunga na chuo chochote kile duniani as long as umefanya vizuri. Tofauti kabisa na mtu aliyemaliza shule za umma Tanzania hauwezi kuingia Ivy league colleges (Harvard, Stanford, Princeton, MIT, Brown) moja kwa moja kirahisi, ukimaliza vyuo kama hivi unaweza fanya kazi popote pia duniani.

Nimeona pia mtu kauliza wanafanya kazi wapi? Wengi huwa wakimaliza vyuo nje hawarudi kufanya kazi huku wanapendelea kubaki kule kule mf. Mohammed Dewji alifanya kazi miaka miwili wallstreet (1998-2000) baada kuhitimu chuo kikuu cha Georgetown nchini Marekani, huyu alibembelezwa arudi kuendesha biashara za familia. Wengi huwa hawarudi.

Baadhi wanaofanya kazi hapa wengi wanafanya kazi ktk makampuni ya mafuta na gesi, auditing firms as business analysts, international organizations na NGOs. Wengi hawafanyi kazi ktk serikali ambako ni rahisi kukutana mliosoma shule za umma. Nimefanya kazi na alumni wengi sana wa hizi shule IST na ISM wengi sana wapo auditing firms as business analysts hasa hasa delloitte nawafawamu 10 na wote wamesoma IST na vyuo wamemaliza Harvard, Dartmouth, Princeton na mwingine Chicago. Ukifanya utafiti wako vizuri utawakuta wamejaa hayo maeneo niliyokutajia.

Kuhusu mafanikio hii ni kauli pana ungetafsiri kwanza mtoa mada, Binafsi nawafahamu watu waliofanya mambo makubwa hapa nchini wamesoma shule za kimataifa kama Tanganyika au Moshi Mohammed Dewji ni mmoja wao amesoma IST na ISM zote. Pia usisahau kuweka fairness ktk sample space yako yaani waliosoma shule za kawaida ni zaidi ya asilimilia 99.99% hapa Tanzania dhidi ya kundi dogo walisoma shule za kimataifa.
 
Umepigilia spana


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kongore kwako,

Umeweka mchango murua kabisa.

Kuongezea tu hapo, ajiulize wale vipanga O level/advance maarufu kama Tanzania one hajiulizi kuwa katika hizo nafasi anazoona ni za mafanikio.

Sio kuwa maarufu ndiyo kunakufanya uwe na mafanikio anayoyaona mtoa mada.
 
Nina Uhakika unaijua Google. Founders wake ni PhD holders. So hii inaifanya post yako kuwa fake!

Hao Mabilionea wengine!

Carlos Slim Helu
Chairman & CEO of Telmex, América Móvil and Grupo Carso
Age: 74
Net worth: $79.9 Billion
Major: Civil engineering


Mexican business magnate, Slim Helu, studied civil engineering at the National Autonomous University of Mexico School of Engineering, where he also taught Algebra and Linear Programming at the same time. He’s known as the “Warren Buffett of Mexico,” apparently, and his fortune comes from interests in such things as communications, real estate, airlines, media, technology, retailing, and finance.

Warren Buffett
CEO of Berkshire Hathaway
Age: 84
Net worth: $70.4 Billion
Major: Business administration, economics


In 1947, at age 16, Buffett – a.k.a. The Oracle of Omaha – enrolled at the Wharton School of the University of Pennsylvania as a business major. After two years he transferred to the University of Nebraska–Lincoln where at age 20 he graduated with a Bachelor of Science in business administration. He then earned a Master of Science in economics at Columbia Business School.



Carlos Slim Helu
Chairman & CEO of Telmex, América Móvil and Grupo Carso
Age: 74
Net worth: $79.9 Billion
Major: Civil engineering


Mexican business magnate, Slim Helu, studied civil engineering at the National Autonomous University of Mexico School of Engineering, where he also taught Algebra and Linear Programming at the same time. He’s known as the “Warren Buffett of Mexico,” apparently, and his fortune comes from interests in such things as communications, real estate, airlines, media, technology, retailing, and finance.



Source: What did the world's top 10 billionaires study at university? - Workopolis Blog
 
Wengi waliosoma kayumba wanafanyakazi halmashauri/serikali za mitaa.
 
Katika nchi kumi zenye mifumo bora ya elimu afrika Tanzania haimo.
 
Mb
Mbona wengi wa hao watoto wa kayumba ndo waendelea na hayo maisha ya kubeba fagio na majembe hata baada ya kumaliza shule!
 
Halafu hao waliofanikiwa kupitia Kayumba watoto wao wanawapeleka private! Unajifunza nini?

Hata hao uliowataja hawajui kama mafanikio yao yametokana na wao kusoma Kayumba pengine ndo wamesikia leo kutoka kwako.

Kuna Doctors, Pilots na Engineers kibao tu wamesoma private.

Kuna vipaji na jitihada binafsi ambavyo havitegemei hata mchango wa elimu ya mtu.
 
Jiulize kuna Diamond wangapi tanzania. Na Samatta wangapi. Na Magufuli wangapi. Na ni watoto wangapi wanaosomea shule za kayumba. Kisha jiulize kuna makampuni na biashara binafsi ngapi zinazoendeshwa na waliosoma international schools? Jiulize ni wangapi wamesoma kayumba ila wanahangaika mitaani. Kisha linganisha na hao wa international schools. Mafanikio sio lazima kuwa diamond, samatta au magufuli. Diamond ni mmoja kati ya milioni 60. Chances za kuwa diamond ni very very little. Lakini chances za mtu kuwa na upeo mkubwa wa maisha, kujiajiri na kufanikiwa ni mkubwa zaidi.

Kiukweli shule za private nyingi ni bora zaidi. Lakini mwisho wa siku, cha muhimu ni shule iwe na muelekeo. Haijalishi ni ya kayumba au english medium. Za kayumba nyingi hazina mwelekeo. Ukipata yenye mwelekeo mzuri ni sawa. Otherwise, english medium ni nzuri lakini pia mtoto asizoee sana dezo dezo tu. Ajifunze kupambana tokea akiwa mdogo.
 
kama mtu huna ela ya mawazo hizi ism ist braebn ndo shule za kumpeleka mtoto akasome aiseee
ila hizi english medium nyingine hazina tofauti sana na kayumba
kama ni vitabu wote ni kama wanatumia vya aina moja hii ni tofauti kwa ist na ism uko
yaani kitabu cha biology nilichotumia mimi mdogo wangu wa tatu nae eti anatumia hichohicho hahahaaa mfumo wetu wa elimu bhana
wakati ist ism mambo wanavyofundishwa hubadilika naskia kila baada ya mwaka mmoja au miwili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…