why uganda wanamchukia sana huyu dada

nadhani wawili
but what is wrong with having kids?????????

i love this chick for no reason cause i gat none to hate her

Ha ha ha.. masai dada.. bado waafrika tunaishi kwenye stone age when it coms to issue ya aina hii.. Tena wewe kama wifi unaweza kunung'unika kaka yako akimleta mchumba aliezaa watoto kadhaa nje tayari..
 
Last edited by a moderator:

kama mimi hitamu accept mume ,wenye watoto why yeye asini accept mimi na watoto wangu

hai make sense bado tunaishi kitumwa sana
 
Last edited by a moderator:
Come down waganda wote, hapa sisi huyo zarizarina keshakua shemeji yetuuu
Na msanii mwingine wa bongo alete shemeji toka Nigeria na mwingine tunamtaka shemeji dada wa kisauzi.
Ni mwendo wa projects tuu.
Haters hua wanaongeza umaarufu ila hawajui.
 
hiyo video na hizo comedy na hayo maneno yametokea uganda
hapa tz am not sure also why wanamchukia but najua may be due to sepetu
but WHY ALSO UGANDA??
 
Kwani kule Big Brother hakuna dem wa kiganda Iddriss nae afanye yake? Mbona Okwi na Kiiza wanakula ss hatumaindi?
 
Masai dada natokea Pwani pia please nisaidie hiyo pilau!
 
Kwani kule Big Brother hakuna dem wa kiganda Iddriss nae afanye yake? Mbona Okwi na Kiiza wanakula ss hatumaindi?

mwana fa alisema

UKIMEGEWA TAFUTA MNYONGE NAE UMMEGEE
HAIPUNGUZI MAUMIVU ILA INARUDISHA HADHI YA KIUMEE
 
Back
Top Bottom