why uganda wanamchukia sana huyu dada

why uganda wanamchukia sana huyu dada

Waganda wanamchukia tatizo anatumia nguvu nyingi sana kwenye media kutaka umaarufu na kuweka wazi lifestyle yake sasa hujui mbaya wako mwingine unakuta anatembea kwa miguu kwa miguu wewe unamuwekea magari kibao waafrika lazima wawe hivyo angetulia kimya wala asingechukiwa
 
media za kule zinamchafua sana
 
wanasema ex wake farook ndo kaivujisha
Chukua link hapo juu

Nimeipatapo mama yeyooo ila huyu sio zali ze boss lady awez kuwa mchafu hv kama yule dada yetu wa komwe aisee
 
wamevujisha video na bado gazeti lingine doing this

SIONI SABABU YA KUMCHUKUA HUYU MREMBO

Wanamchukia kwasababu maharage ya Mbeya 🚶🚶🚶🚶🚶

Pili ; mbakaji tu uyo
 
Takwenya? Alabiotoo? Fanya mambo hyo video na mimi nipatapo kuiona mwanawani

Kama kuna kitu kinanishangaza na hiki kipo, u natumia nguvu nyingi kuitafuta hiyo video ili uione, then what? ?? Halafu si ajabu ukimaliza kuiangalia utacomment blah blah nyingi ukilalamikia utovu wa maadili!!! Confused 😔tena ukimaliza utaifoward kwa mwingine lols!!! Mi binafsi nikipata video za uchi huwa na futaaaa na ku delete kabisa pengine hata bila kuiangalia, because I never intertain kuangalia uchi wa mtu mwingine zaidi ya wangu, in my view HATA WEWE unayeisambaza hiyo video umekosa maadili HATA WEWE unayeisaka hiyo video umekosa maadili, bila kusahau mwenye video ikiwa tu imerekodiwa akiwa anafahamu no excuses.I wish siku moja watu tubadilike na tujue maana ya Faragha. Tusaidiane kuelimisha jamii for the sake of our children safeness Cc masai dada
 
Last edited by a moderator:
Hiyo video inamuonyesha akiwa na Diamond? au mtu mwingine?..

nimeiona mara moja sikururdisha jicho tena
nimetumiwa wasap nikaifuta papo hapo

sijajua ni nani japo wadau walianza kumshutumu Farook ex bae wake
ila farook kakana kwenye ukurasa wake wa fb kasema sauti si yake
 
Nimeipatapo mama yeyooo ila huyu sio zali ze boss lady awez kuwa mchafu hv kama yule dada yetu wa komwe aisee

Ni yeye....... kamsome Instagram kama una account

anacholalamika ni who leaked the video..., hajakana kama si yeye

sasa nyie wengine mnaosema sio yeye mhhhhhhhhhh
 
Ni yeye....... kamsome Instagram kama una account

anacholalamika ni who leaked the video..., hajakana kama si yeye

sasa nyie wengine mnaosema sio yeye mhhhhhhhhhh

kakomfem ni yeye
sema anataka kumjua mchawi wake
 
nimeiona mara moja sikururdisha jicho tena
nimetumiwa wasap nikaifuta papo hapo

sijajua ni nani japo wadau walianza kumshutumu Farook ex bae wake
ila farook kakana kwenye ukurasa wake wa fb kasema sauti si yake

Sauti c yake?so Walishawah shoot na Farook pia?jus asking though
 
Zari ze bossi ledy na domondi TBT

Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
 
Back
Top Bottom