Mimi sio mchumi lakini nimesoma sehemu wanasema: "Exchange rates fluctuate based on economic factors like inflation, industrial production and geopolitical events. " Hii inaweza ikawa inachangiwa na la political event kama hii inayokuja ya general election. Dollar kidogo mi-shilingi kibao kwa ajili ya kununua kura!
Mwanamayu,
Inflation kwa uchache ni scarcity ya commodity kwenye soko. Waweza ukawa na fedha ile ile na thamani ile ile lakini ghafla ile bidhaa inayotaka kupatikana ikakosekana, unatokea mfumuko wa bei. kwa mfamo, wakati wa mwezi Desemba, karibu na Xmas, kwenda Mikoani, nauli za mabasi hupanda kwa sababu supply inakuwa ndogo. When there is no scarcity inflation inakuwa haiumizi sana...na badala yake kunakuwa na soko huria...kila mtu atapanga bei kuvutia wateja...ndio tunayoyaona kwenye makampuni ya Simu sasa.
Industrial production tushalizungumzia... Kuhusu geopolitical events...hii husababisha sana devaluation katika nchi zenye political instatibility... watu wakiona zengwe linaweza kutokea, wata sita kufanya biashara na nchi yenu...wataogopa kuleta fedha zao hapo na kusababisha scarcity ya dola (foreign currency); hivyo demand kuwa kubwa na kuporomosha fedha ya ndani.