Why So Many Black Women Are Single and Alone

Why So Many Black Women Are Single and Alone

Nakubaliana nawe kabisa, ni makosa ya hali ya juu na ubinafsi uliokithiri wa hao wa dada kutafuta watoto na kutotaka mahusiano ya aina yoyote ile na wahusika wa mimba zao. Wengine imefikia mpaka kutegesha kupata ujauzito halafu wanauchuna bila kutia neno kwa muhusika.

Lakini hakuna anayewaamini kama kweli ndoa hawazitaki au hawana jinsi...mfano hao kwenye hiyo clip....

Na kama ni kweli wanafanya purposely basi watakuwa selfish kwani hao watoto hawajawauliza kama wanataka kuzaliwa na kulelewa katika hayo mazingira...
 
Hahahahahah lol!!! Phd inaweza kupatikana ukiwa tayari umo kwenye ndoa, kama una mume muelewa, ukiwa na mume ambaye si muelewa basi kujiendeleza kielimu baada ya kufunga pingu za maisha sahau kabisa.

ni kweli ila hadi PHD jmn..??i wuldnt advise my daughter that.anyway watu tumekua tofauti,ukizaliwa nyumba baba ba mama wote.ni phd au ma prof si sawa na familia wazazi wana degree tu
 
Mimi nadhani hizi habari za 'so many black women' kuwa single ziko overstated.

Kuna takwimu za uhakika zinazoonyesha kweli kuwa wanawake weusi wengi wao wako single kulinganisha na races zingine?

Manake isije kuwa kama yale mambo ya watu weusi wengi wako kwenye welfare lakini ukiziangalia data unaona kuwa kumbe kuna wazungu wengi zaidi kwenye welfare kuliko watu weusi!
 
Hii Kimarekani zaidi, kibongobongo, especially kama hupo katika nyanja za matawi ya juu, mambo anayoongelea yanaweza kuwa si relevant kwa sana.

kwangu mimi sion kama iko justifiable
 
Mi naona mkipishana sana pia ni tatizo jingine mnakuwa hamna interest zinazoendana...Mfano msichana awe 24 amdate mkaka wa 37 hapo lazima patakuwa na patashika...yaani wewe uliye wa chini utakuwa unapewa demands mno...na utakuwa mtu wa kujishusha saa zote!!

inategemea na uelewa wa mtu
maana mwingine mmepishana umri mchache lakini shida tupu
cha mhimu ni kila mtu aelewe majukumi yake na wajibu wake
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kweli kabisa BAK wanaume wengi ni wakandamizaji na haswa hao wanaoenda kuoa wanawake wenye elimu ya chini ndo ni wale wa mfumo dume..Kwasababu wanajua pia mwanamke asiye na elimu hajui hata kujitetea kwa kujijengea hoja yeye ni kutii tu.Lakini kwangu mimi ni insecurity kubwa sana kwamba mwanaume asiweze kummudu mwanamke ijapokuwa wana elimu iliyo sawia,mtu wa aina hio hata hio shule na elimu aliopata haikumpa maarifa ya kutosha na kama ingelikuwa vingenevyo angeweza kummudu msomi mwenzie kwasababu ndio wataelewana lugha na hata hojaa...Mwanaume anatakiwa awe mwanaume na ajitambue na mwanamke yoyote atamheshimu.....[/

QUOTE
mmmmmhhhh. umeongea kwa hisia sana mkuu kama yamekukuta vileeee lkn usiongelee nafsi yako ukweli ni kwamba wanawake wengi hawahajitambua na hawajui mipaka na majukumu yao huwezi kuleta ukuu wa kazini nyumbani tambua kazi ni kazi nyumbani ni nyumbani wengi nyie wasomi ndo mnapokosea na kwa utafiti wangu mdogo mwanamke anapoyoka eneo moja la kijiografia kwenda lingine ndio anaharibika sana vivyo hivyo anapokuwa anapata elimu anzia chini kwenda juu tabia zenu ndo huaribika kabisa kimatendo nk.
Hakuna lolote lilonkuta bana mi naongea ninayoyafikiria...Si kweli kwamba mtu akiwa na elimu ya juu tabia yake inaharibika kimatendo!Mfano mzuri ni mimi mwenyewe sivumilii upuuzi kutoka kwa mtu yoyote na ukinikera nakwambia jambo ambalo wanaume wengi wanalipinga.Sasa hio ni tabia mbaya?
 
kama unaongea hivyo ni nafsi yako mkuu. wadada wengi si tunawaona wanavyopiga hatua moja kwenda nyingine mnavyobadilika kitabia? sasa fika vyuoni ndo balaa kipindi nasoma kuna watu walikuja wakiwa na tabia tofauti lkn ndani ya semester hali ilikuwa sio. hivyo jisifie kuwa hivyo na nakuomba uwe vivyo vivyo.

katika maisha wengi huwatunakurupuka hatuongee kuhusu mahusiano na hatujui namna ya kuongea tambua uongeapo na mke au mme ni tofauti jinsi unavyoongea na dada ,kaka, baba nk sisi wanaume ni wajinga sana hasa ukijua namna ya kuongea na kubembeleza unaweza kufanya uchafu still nikakutetea .
 
ni kweli ila hadi PHD jmn..??i wuldnt advise my daughter that.anyway watu tumekua tofauti,ukizaliwa nyumba baba ba mama wote.ni phd au ma prof si sawa na familia wazazi wana degree tu

hmmm hmmm....??????
 
Many black man are stupid hawataki majukumu

dunia imebadilika na maisha magumu hivyo usimpe jukumu mme tu. mwendo wa kuchanga karata ukileta laki mume laki maisha rahisi tu lkn wengi wenu hata unayo utabana tu pengine mkitoka hata maji tu mnunulie mwenzio si kila kitu baby hapo ata angekuwa baba yako atakuchoka tu mis chaga.
 
Ni kweli mtachoka sema wapuuzi wachache wanaume ukianza kuchangia gharama anatafuta jukumu kubwa nje ya ndoa mmmh ukutane miss chagga naijua hela kama nilikuwa nakula hela tumboni mwa mama yangu utajuta lazima uonyeshe ww ni mwanaume
 
hhmm! jaribu kubadili mtazamo mis chaga maisha ni mazuri pale upendo na amani vitatawala zaidi ya pesa hivyo ukiweka mbele saana pesa utawaona wanaume wapuuzi lkn si kuhukumu tu anza na wewe jitafakari . sawa sawa'
 
Mimi nadhani hizi habari za 'so many black women' kuwa single ziko overstated.

Kuna takwimu za uhakika zinazoonyesha kweli kuwa wanawake weusi wengi wao wako single kulinganisha na races zingine?

Manake isije kuwa kama yale mambo ya watu weusi wengi wako kwenye welfare lakini ukiziangalia data unaona kuwa kumbe kuna wazungu wengi zaidi kwenye welfare kuliko watu weusi!

Kulikuwa na thread hapa Wanawake wengi wenye higher iq ni single ...now je blacks women ndo wenye higher iq other races?
 
Kulikuwa na thread hapa Wanawake wengi wenye higher iq ni single ...now je blacks women ndo wenye higher iq other races?

You know....go figure!

That's why I think some of these sweeping claims are bogus.
 
Many black man are stupid hawataki majukumu

Gross generalization.

How many is many?

Are black men monolithic?

Are those from Fouta Djallon identical to those of the favellas of Rio and tye black elite of Georgia?

Are the black petit bourgeois depicted in "The Spook Who Sat by the Door" identical to wauza ng'ombe wa Pugu? Are the mining mini magnates of South Africa the same as the top athletes of the Kenyan highlands?
 
Niseme ukwel tu sijakuelewa mkuu
 
Back
Top Bottom