Why So Many Black Women Are Single and Alone

Ahsante BAK kwa rep power :A S-rose:
 
Last edited by a moderator:
Mhhhhh! I hope hutaamua kubwanga manyanga, "Unajua mimi nakupenda sana una vigezo vyote vya kustahili kuwa mume wangu, nawe najua unanipenda sana kiasi ambacho upo tayari kufunga pingu za maisha nami tuanze maisha ya ndoa. Lakini nimegundua kwamba kipato changu ni kikubwa kuliko cha kwako nami sipo tayari kuolewa na mume niliyemzidi kipato. Kwa hiyo naomba tu unisamehe na unielewe." Tuambie hutaamua kubwanga manyanga kisa kuwa na kipato kikubwa kuliko mume mtarajiwa.

ni mtihani kweli and in life hakuna partner perfect ,itabidi tu kufanya maamuzi ntakayoona ni sahihi
 
Kwa hiyo hata ukiwa job wewe huna big dreams kwa kuwa unaogopa kumzidi mumeo cheo au kipato?

me ndo mana kwa kweli with all due respect I prefer a man alienizidi kila kitu,umri ,elimu,kipato nk,naona ntamheshimu zaidi kuliko me nikimzidi..hamnaga haki sawa kwenye relationships,zipo majukwaani na ofisini
 
  • Thanks
Reactions: BAK

yes mine km ukimpata mwenye uelewa
utaenjoy tu mi nimepitwa almost 12,kipato changu na elimu pia!!
yaani mdogo wake wa pili kutoka mwisho ndo tunalingana
 
Kwa hiyo hata ukiwa job wewe huna big dreams kwa kuwa unaogopa kumzidi mumeo cheo au kipato?

hehehhe am on of the biggest dreamers my friend,and will go get what I wish for,ila pia automatically najikuta wishing for a man above me
 
yes mine km ukimpata mwenye uelewa
utaenjoy tu mi nimepitwa almost 12,kipato changu na elimu pia!!
yaani mdogo wake wa pili kutoka mwisho ndo tunalingana
Mi naona mkipishana sana pia ni tatizo jingine mnakuwa hamna interest zinazoendana...Mfano msichana awe 24 amdate mkaka wa 37 hapo lazima patakuwa na patashika...yaani wewe uliye wa chini utakuwa unapewa demands mno...na utakuwa mtu wa kujishusha saa zote!!
 
Ni kweli kabisa, katika mahusiano mengi age gap ikiwa kubwa namna hiyo kunaweza kukawa chanzo cha matatizo, lakini wapo wenye bahati zao pamoja na gap kubwa hivyo wanaelewana kupita kiasi na kama huwajui kwa karibu hata huwezi kujua kama kiumri wamepishana kiasi kikubwa hivyo.

Mi naona mkipishana sana pia ni tatizo jingine mnakuwa hamna interest zinazoendana...Mfano msichana awe 24 amdate mkaka wa 37 hapo lazima patakuwa na patashika...yaani wewe uliye wa chini utakuwa unapewa demands mno...na utakuwa mtu wa kujishusha saa zote!!
 
Mi naona mkipishana sana pia ni tatizo jingine mnakuwa hamna interest zinazoendana...Mfano msichana awe 24 amdate mkaka wa 37 hapo lazima patakuwa na patashika...yaani wewe uliye wa chini utakuwa unapewa demands mno...na utakuwa mtu wa kujishusha saa zote!!
inategemea na lifestyle ya wahusika,kuna wanaume 25 yrs wanajiona wazee na wengine 40 wanajiskia bado wanadai,ur as old as u feel
 
is because african men prefer sex than love
 
Hahaha. A new me? Probably. Or am just mellowing, could be just a phase....
 
Kwa experience yangu hivyo vigezo ni vya kuanzia...mkianza maisha mnakuwa ni kama team...kama mume anakupenda hawezi kutishika na wewe kupanda cheo au kuwa na miela...

Nimesha experience this kwa ndugu jamaa na marafiki...kuna mtu wangu mmoja wa karibu yeye ndio mkewe cheo kikipanda anakuwa amplify...atamlingishia kila mtu...he is so proud of his wife's achievements...na mke ana miela...analipwa mi dolali...

Ukitaka kuendelea kupendwa wewe tafuta ela...unakuwa ni mtu muhimu kwenye familia na wala si mzigo (ombaomba)

Unaulizwa mahaba yakipungua umuhimu wako unabaki kwenye nini? Lazima uwe partner bana...si tegemezi
 
  • Thanks
Reactions: BAK
hiyo couple imesha mature sana, imegundua pesa ni 'nyenzo' tu, sio final destination, which is true.

Nadhani ni furaha zaidi ukipenda na kupendwa, pesa inanunua mahitaji tu.

Kwa experience yangu hivyo vigezo ni vya kuanzia...mkianza maisha mnakuwa ni kama team...kama mume anakupenda hawezi kutishika na wewe kupanda cheo au kuwa na miela...

Nimesha experience this kwa ndugu jamaa na marafiki...kuna mtu wangu mmoja wa karibu yeye ndio mkewe cheo kikipanda anakuwa amplify...atamlingishia kila mtu...he is so proud of his wife's achievements...na mke ana miela...analipwa mi dolali...

Ukitaka kuendelea kupendwa wewe tafuta ela...unakuwa ni mtu muhimu kwenye familia na wala si mzigo (ombaomba)
 
Kongosho ni wachache sana wanaokuwa kwenye umri wa kuolewa wakiwa na pato kuliko wachumba zao...

Things change along the way...ndio nauliza ukiwa kazini cheo kikapanda ukikatae kwa kuwa utamzidi mumeo pesa?

kuwa mwanamke dunia ya leo ni kazi, ila kuwa mwanamme ni kazi zaidi.

Sasa inabidi wanawake tuogope vyeo vikubwa zaidi maana waowaji wa kutuzidi ni wachache.
 
Afu nilivyo na hasira na wanaume ninao fanya kazi nao...yani wao waweze wana nini ...mimi nishindwe nina nini?

Kwa kweli nikikanya ofisini nasahau kabisa kuwa nina mume nyumbani...ni kupambana tu...
 
swali gumu, na kinatusumbua wengi kwenye utekelezaji.

Yatakuwa maisha gani kujataa cheo? As if nwanamke hana ndoto?

Na ukishamzidi mwanamme pesa uombe talaka?

Hata kama si talaka, tukubali mihela iwe chanzo cha migogoro?

Kongosho ni wachache sana wanaokuwa kwenye umri wa kuolewa wakiwa na pato kuliko wachumba zao...

Things change along the way...ndio nauliza ukiwa kazini cheo kikapanda ukikatae kwa kuwa utamzidi mumeo pesa?
 
Kwa experience yangu hivyo vigezo ni vya kuanzia...mkianza maisha mnakuwa ni kama team...kama mume anakupenda hawezi kutishika na wewe kupanda cheo au kuwa na miela...

Nimesha experience this kwa ndugu jamaa na marafiki...kuna mtu wangu mmoja wa karibu yeye ndio mkewe cheo kikipanda anakuwa amplify...atamlingishia kila mtu...he is so proud of his wife's achievements...na mke ana miela...analipwa mi dolali...

Ukitaka kuendelea kupendwa wewe tafuta ela...unakuwa ni mtu muhimu kwenye familia na wala si mzigo (ombaomba)

Unaulizwa mahaba yakipungua umuhimu wako unabaki kwenye nini? Lazima uwe partner bana...si tegemezi
nmependa hapo kuwa ni "vigezo vya kuanzia"naona vitasaidia kujenga basis ya kumheshimu mume tangu mwanzo,mbele ya safari huwezi ikana kazi au kuiacha ndoa,mwsho wa siku hitaji la kila mtu kutoka moyoni ni kupendwa na kuthaminiwa
 
nyumba kubwa hivi ndivyo inayotakiwa iwe, lakini kwa Tanzania ya leo ambapo baadhi huona kwamba mwanamke hawezi kupandishwa cheo bila kuvuliwa chupi hili ni tatizo jingine. "Yule mke wa fulani katembea na kingunge fulani ndiyo maana kapandishwa cheo", labda kutokana na mawazo kama haya ndio maana baadhi ya wanaume wanauchuna tu kwenye achievements za wake zao.

Back
Top Bottom