Why So Many Black Women Are Single and Alone

Hivyo vigezo viwili hapo kwenye rangi vina umuhimu mkubwa sana ndani ya ndoa vikikosekana basi ndoa hulegalega na huweza hata kuvunjika.

nmependa hapo kuwa ni "vigezo vya kuanzia"naona vitasaidia kujenga basis ya kumheshimu mume tangu mwanzo,mbele ya safari huwezi ikana kazi au kuiacha ndoa,mwsho wa siku hitaji la kila mtu kutoka moyoni ni kupendwa na kuthaminiwa
 
kuwa mwanamke dunia ya leo ni kazi, ila kuwa mwanamme ni kazi zaidi.

Sasa inabidi wanawake tuogope vyeo vikubwa zaidi maana waowaji wa kutuzidi ni wachache.

indeed...hehe power struggle in the relationship,mwanamke ukiwa na hela ni kuwa careful with how you handle ur man na ye mwenyewe awe mwelewa,mana money comes along with power,
 
Hivyo ni vyeo vya kisiasa ndio ch.upi inahusu...lakini mahofisini wa chupi hafichiki kila mtu atajua huyu chakula ya fulani...

Otherwise mke mwenye cheo kinachotokana na competence anamfanya mumewe awe na amani kuwa mkewe yu salama....maana mwanamke powerful na intelligent ni threat kwa ma players na hatongozwi hovyo hovyo....(ni sawa na mwanafunzi wa kike wa chuo aliye mzuri lakini very bright...ma lecturer hawagusi...)

Mfano jiulize wewe kama mwanaume...kipi rahisi...kumtongoza bosi wako au secretary?

nyumba kubwa hivi ndivyo inayotakiwa iwe, lakini kwa Tanzania ya leo ambapo baadhi huona kwamba mwanamke hawezi kupandishwa cheo bila kuvuliwa chupi hili ni tatizo jingine. "Yule mke wa fulani katembea na kingunge fulani ndiyo maana kapandishwa cheo", labda kutokana na mawazo kama haya ndio maana baadhi ya wanaume wanauchuna tu kwenye achievements za wake zao.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
what is power?

kwnye hii context ni ability to do things on your own,kiasi kwamba mwanamke ukiwa nazo hutaona thamani ya mwanaume kwenye maisha yako mana u can do it all au most things on your own,mfano renting a place or building one,buying cars,having a business nk..of which naona mtu usipokuwa makini utaona mwanaume hakusaidii kitu and u will end up on ur own ,mana sidhani kama kuna mwanaume anapenda kuwa mistreated just bcz umemzidi uwezo
 
a woman without a man in anykind of social interactions ,she gets paranoid or depressed
 
Kwa mwanamke makini anayejitambua kamwe hawezi kuona mafaniko yake hapa duniani yanahalalisha yeye kutoona umuhimu wa kuwa na mwanaume, lakini wapo baadhi ambao wakishafanikiwa kiasi kikubwa huona hivyo. Ndio maana baadhi ya hao waliofanikiwa kimaisha sasa wengi wanalalama kwa kukosa wanaume katika maisha yao.

kwnye hii context ni ability to do things on your own,kiasi kwamba mwanamke ukiwa nazo hutaona thamani ya mwanaume kwenye maisha yako mana u can do it all au most things on your own,mfano renting a place or building one,buying cars,having a business nk..of which naona mtu usipokuwa makini utaona mwanaume hakusaidii kitu and u will end up on ur own ,mana sidhani kama kuna mwanaume anapenda kuwa mistreated just bcz umemzidi uwezo
 
Huo nauita ulimbukeni...au ndio wanapata vitu wasivyo deserve...huwezi kugeuka chizi Kiburi) kisa cheo kimepanda au mshahara umeongezeka wakati ulivitolea jasho...utaona ni vitu vya kawaida saaana...

Ila nakubali kuna wanaume wana very low self esteem...mke cheo kikipanda basi yeye BP inapanda...anahofia asokijua...huyo anaweza kuwa yeye chanzo cha ugomvi ndani kwa kutokujiamini...

Kwa mwanamke makini anayejitambua kamwe hawezi kuona mafaniko yake hapa duniani yanahalalisha yeye kutoona umuhimu wa kuwa na mwanaume, lakini wapo baadhi ambao wakishafanikiwa kiasi kikubwa huona hivyo. Ndio maana baadhi ya hao waliofanikiwa kimaisha sasa wengi wanalalama kwa kukosa wanaume katika maisha yao.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
 
Last edited by a moderator:

ndo mana kwny hyo clip kaelezea vzur sana,mtu usipojielewa u will have it all but end up lonely..tunafundishwa kujitahidi kazini na shuleni just to manage life on our own,but nobody teaches us how to deal with a man in that area,men always need to be respected sasa pesa na kisomo ikikulewesha ukashindwa kujishusha kwa mumeo tatizo lazma lijitokeze..
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Tuko kwenye mazingira tofauti hivyo ni ngumu ku draw conclusion toka US...

Ila nachoona hapo ukishakuwa corporate girl unapunguza chance ya kuolewa hasa kama hukubahatika kuwa na serious relationship kabla ...

Nakumbuka kuna mtu alinambia smart ladies ni wale ambao ni multitask...si wanaofanya one thing at a time...

Zile za nimalize shule, afu nitafute kazi ndio nianze kufikiria ndoa ni risk...

Wakati huko chuo unatakiwa uanze kupepesa macho kuangalia nani anafaa kuwa husband na kuepuka kuchukuliwa na wachafua CV...hii haikufanyi upate lower class if you are smart...

Ukifika makazini unakuta wanaume karibu wote wameoa au wanawachumba...unaanza kudata...

heheheheh ile michezo mtu unashauriwa soma kwanza Mapenzi badae,
 
Ni kweli ni mazingira tofauti lakini hili tatizo linashamiri kwa kiasi ya kutisha hata Tanzania, miaka michache iliyopita kuna gazeti moja nchini kama sikosei ni Mwananchi au Citizen liliandika tatizo hili kwa kina na kuwahoji hata baadhi ya akina dada ambao tatizo hili limewakumba. Nakubaliana nawe kuhusu yote uliyoyaandika kuhusu kuanza kupepesa macho ukiwa kwa chuo, wenye bahati zao huweza kuwanasa wenzi wao kimaisha tangu chuoni na wanapomaliza basi haupiti muda mwingi hufunga "pingu za maisha"

Tuko kwenye mazingira tofauti hivyo ni ngumu ku draw conclusion toka US...

Ila nachoona hapo ukishakuwa corporate girl unapunguza chance ya kuolewa hasa kama hukubahatika kuwa na serious relationship kabla ...

Nakumbuka kuna mtu alinambia smart ladies ni wale ambao ni multitask...si wanaofanya one thing at a time...

Zile za nimalize shule, afu nitafute kazi ndio nianze kufikiria ndoa ni risk...

Wakati huko chuo unatakiwa uanze kupepesa macho kuangalia nani anafaa kuwa husband na kuepuka kuchukuliwa na wachafua CV...hii haikufanyi upate lower class if you are smart...

Ukifika makazini unakuta wanaume karibu wote wameoa au wanawachumba...unaanza kudata...
 
Ukiambiwa hivyo changanya na zako...

Kuna watu ndio wanapata wachumba makazini...lakini kwa sababu ya kuchanganyikiwa na kuogopa kukosa mume watu hawa wanafanyaga maamuzi ambayo uwa cost sana...kwa kuwa time is not on their side...

Lakini ukipata mwanaume serious mapema unakuwa na muda wa kujiridhisha kama anakufaa au umpige chini...
(mfano Mh Kamata alivyoingia kichwa kichwa kwa jamaa....muda ulishamtupa mkono)

heheheheh ile michezo mtu unashauriwa soma kwanza Mapenzi badae,
 
Tatizo ni tunavyovitaka maishani. Ukihitaji ndoa iwe sehemu yako ya maisha, elimu, pesa, vyeo vitakuwa vinaboresha hali yako ya maisha. Ukiitaka ikusaidie kukwamua kimaisha hapo ndo tatizo linapoanzia, ukipata mbadala wa kusaidia hali yako kasheshe.

Mi niko kwenye mahusiano ambayo watu walituambia hatutafika mbali kwa sababu ya tofauti zetu za kielimu, imani na kimuonekano. Leo wanashangaa bado tuko pamoja na hatujabadilisha mitazamo yetu. Mchango wake kwenye mafanikio yangu ni mkubwa kuliko wengine wadhaniavyo.
 
Hilo muhimu sana katika dunia ya leo asikudanganye mtu. Nadhani unakumbuka ile methali, "Elimu ni ufunguo wa maisha"

Hongera zenu Mkuu.

thanks BAK i have learnt something it's so interesting.

Bora wewe kuliko hawa wengine wanajidai hawaelewi na wanakufa waking'ang'ania misimamo yao fake bila kuchukua dakika chache kujitathmini watoke ndani ya box
 
  • Thanks
Reactions: lin
Ahahah...nakumbuka baba yangu alikuwa kila siku anatuimbia tusome mpaka tuwe madaktari (PhD) wanaume wapo tu na watakuja wenyewe kwani wanaume wa sasa hawataki mizigo...

aaahhhh hakuna aliyemsikiliza..and we don't regret....hakuna hata aliyeolewa akiwa na master degree...na sasa tumesoma na waume tunao...

Back
Top Bottom