Why So Many Black Women Are Single and Alone

Sitaki kiingereza chenyewe kigumu kama bablish sitaki inanibidi kumeza kizima kizima mi sitaki bwana

Utameza vingi vizima zima.

Wewe mchagga wa wapi?

Mi natafuta mchagga, dada yangu kaolewa na mchagga, mdogo wangu kaoa mchagga, nataka kuendeleza utamaduni huo.

English course muhimu lakini. Na ile spirit ya kazi/kutafuta.

Nisijeanza ku discuss articles za WSJ mamie akaona namtukana.

Jiving.

Hizi habari nyingine ni za Kimarekani zaidi (na labda ki Oysterbay kwa kiasi) dada zangu wa Kimanzichana msizimeze nzima nzima.

Hazi apply kwenu.
 
Mkuu usijal bwana its normal hatupo wote sawa
 
Back
Top Bottom