WHY SLAA MUST RESIGN...! "..effect of the crowded house.."

WHY SLAA MUST RESIGN...! "..effect of the crowded house.."

Nimeoanisha yaliyosemwa kwenye thread hii na aliyoyafanya Slaa kumshawishi Balozi wa Marekani kumtaka Obama kusitisha misaada ya Marekani hapa nchini.
Huyu Mzee ni tatizo tangu wakati huo na mpaka sasa ni tatizo. Ni majanga kwa lugha ya sasa.
 
Kwanza mimi sio mwanachama wa CHADEMA ni mtanzania mwenye kiu ya mabadiriko, Pili Alichokisema mnyika ni kwamba uchunguzi wa shutuma na tuhuma zinazotolewa umeanza kufanywa, uchunguzi ukikamilika unaweza kuja na matokeo ya kuwapo kwa makundi yote mawili, au moja au hakuna makundi au kuja na mambo mengine kabisa kama tatizo halisi.

Wewe umekwishakutoa hukumu tayari. wewe ni kama mungu kabisa wewe

aresign ili iwe ni njia ya wengine kama yeye waresign. lakini atawajibika natutamchagua tena kama mwinyi. je kinana?
 
Wewe mleta mada kuna kitu kimekuuma sana au ni nini unataka wakati wewe si CDM wala hawakuhusu
 
CDM ni chama cha Watanzania wote, Wengine ni wabovu sana leo lakni ni wazuri sana kesho, kuweka nia kwa kila mmoja au mwenyenia ndo namna pekee CDM itapata mgombea anayekidhi vigezo kusema zitto zamu yake 2015 ni kichefuchefu kwa macho na masikio yangu, huu sio mpira wa chandimu ambapo kulingana na wingi wa wachezaji na udogo wa kiwanja mnaingia kwa zamu; hakuna kitu kama hicho. Maana hata professional football hakuna zamu ni ubora wako siku hiyo, kiwango chako na si vinginevyo, sasa Zitto alijua kiwango chake 2015, ubora wake muda huo, mahitaji ya Watanzania muda huo? Ukweli ni tamaa tu kumwita mtu mkeo wakati hujachumbia wala kukubaliwa, hata hujui kama amekwishaolewa ili mrasdi tu umemtamani sana. 2015 tutapima, cdm ni wananchi, wataamua. hakuna namna ya kutuchagulia mtu kijanja, kwanza hadi sasa mahitaji ya watz sio ZITTO, i can assure you. Kama lingetengwa leo Watanzania wanahitaji Zaidi ya ZITTO, labda hali ibadilike aombe mungu.
 
Mtoa hoja kuwa makini!
Hakuna uwezekano wa Dr. Slaa kujiuzulu... Yaani baba aache kazi ya kumpatia kipato? Akale wapi? Recall mkataba wa 7M monthly wages.

Nilishawaambia hapa JF. huu ugonjwa waTanzania kuwapa madaraka watu ambao kwao siasa ndio only ajira ni ugonjwa mbaya na Hatari balaaa... Hivi ati Dr. Anajiuzulu akirudi kwenye press conf. Atamwambia je dogo wake na mama yake? Tuwe wakweli tuache kuandika ili tuonekane tumeandika.
 
Kama wewe ni mshauri kaanza kwanza kushauri viongozi wa CCM na serikali yake katika mambo yafuatayo:-
1. Kuondoa viini macho vinavyofanywa na serikali juu ya wala rushwa. Hoseah amelalamika kuwa serikali imewafunga mikono kushughulika na wala rushwa wakubwa badala yake wana deal na wala rushwa wadogo. Then ufisadi unakithiri.
2. CCM pamoja na polisi kuacha kutekeleza mauaji ya raia wasio na hatia.
3. Kulinda rasilimali zetu tulizobalikiwa na mungu. Meli za kinana Katibu mkuu wa CCM kukutwa na meni ya tembo Vietnam ni suala jema sana kwenda kulishauri na namna ya kulinda rasilimali hizi.
4.Kuishauri CCM kutoyaogopa mabadiliko na kuelewa kuwa mabadiliko huwa hayazuiwi, bali wanachofanya CCM ni kuyachelewesha tu lakini si kuyazuia.
5. CCM waamini kuwa hii nchi ni ya watanzania wote, haijaletwa ili kuongozwa na CCM miaka nenda rudi.
6. Kuwakumbusha kuwa CCM itaanguka, wazalendo wataifa hili siku moja wataiongoza nchi hii. Wataamua kwa moyo wa dhati kuwachukulia hatua stahiki wala rushwa wakubwa na wadogo, mafisadi na wahujumu uchumi wote ambao hawawezi kuchukuliwa hatua na utawala dhaifu wa CCM. Wataangalia namna bora ya kufanya ili kuikomboa Tanzania kiuchumi pamoja na wananchi wake.

Nadhani ushauri huu utakuwa ni bora zaidi.
 
hata hili nalo ni mbinu chafu..? ushauri huu unafanana na mbinu chafu..? hivi ni kweli kuwa ufahamu wenu unawatuma kuamini kuwa hii ni mbinu chafu ya CCM katika kuihujumu chadema.,ushauri huu unafanana na hujuma, kwa mfanano upi hasa.,ama kwenu hujuma ni ipi..? mnatafsir vipi hujuma..? kuhusu hayo mengine ninashauri kwa wakati na wasaa wangu kama ninavyoshauri hapa juu ya chadema.

TandaleOne;

Siku zote mimi huwa nasema majina yana roho(names has spirits). Tandale niijuayo mimi ni huko kwenye Uwanja wa Fisi,walikojaa machanguo doa,makahaba na malaya wa Jiji la Dar! Tandale ndiko kwenye uchafu wa kila aina,madawa ya kulevya,bangi,gongo,ngono zembe,viroba na takataka zote unazozijua. Hiyo ndiyo Tandale unakotoka TandaleOne! Shame on you g*y man!

Nina maswali machache hapa ambayo naamini huna majibu yake:
  1. TandaleOne wewe ni kama nani ndani ya Chadema unayetoa ushauri kwa Dr. Slaa ajiuzulu?
  2. Je,wewe ni mwanachama,mkereketwa au shabiki wa Chadema?
  3. Kama ni mwanachama umewahi kutoa mawazo kwenye ngazi za uongozi wa Chama ili hoja yako ifanyiwe kazi?
  4. Je,kama wewe si mwanachama,mkereketwa au shabiki wa Chadema inakusaidia nini Dr. Slaa akijiuzulu?
  5. Kwanini ushauri wako huu wa kipumbavu hujaupeleka kwa chama Tawala CCM ambacho kwa sasa ndicho kimekosa dira na mwelekeo?
  6. Je, CCM wanakulipa bei gani kuweka hizi propaganda za kipumbavu zinazoratibiwa na kina Mwigulu Nchemba Nepi Nauye,Steven Wassira,Willliam Lukuvi na vibaraka wao kama wewe?
  7. Kwanini unataka Dr.Slaa ajiuzulu na siyo Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. Mbowe ukizingatia kuwa Mwenyekiti wa Chama ndiyo nguzo na mhimili wa Chama?
  8. Kati ya Katibu Mkuu wa CCM mtaalamu wa kuua Tembo na kuuza Pembe za Ndovu ughaibuni na Katibu Mkuu wa Chadema Dr.Slaa nani anatakiwa ajiuzulu kulingana na Katiba na Sheria za nchi na si chama?
  9. Kati ya CCM na CHADEMA ni chama gani kinahusika na mateso,mauaji na hali ngumu za maisha kwa watanzania?
  10. Kwa dhamiri safi bila kinyongo na unafiki ukiulizwa leo ni chama gani kinafaa kuiongoza Tanzania ya sasa na ijayo utachagua chama gani na nini vigezo vyako?

Nasubiri majibu kutoka Tandale. Karibu sana.
 
Aliyeandika haya maneno jina linalomfaa ni --------.

onyesha upumbavu wake. mbona nyie chadema hamtaki kumsikiliza mtu kisha mkamjibu kwa hoja? wenye busara huliendea jambo kwabusara hili linawashinda wana chadema ndio maana wanaporomosha matusi tu hapa jf
 
TandaleOne;

Siku zote mimi huwa nasema majina yana roho(names has spirits). Tandale niijuayo mimi ni huko kwenye Uwanja wa Fisi,walikojaa machanguo doa,makahaba na malaya wa Jiji la Dar! Tandale ndiko kwenye uchafu wa kila aina,madawa ya kulevya,bangi,gongo,ngono zembe,viroba na takataka zote unazozijua. Hiyo ndiyo Tandale unakotoka TandaleOne! Shame on you g*y man!

Nina maswali machache hapa ambayo naamini huna majibu yake:
  1. TandaleOne wewe ni kama nani ndani ya Chadema unayetoa ushauri kwa Dr. Slaa ajiuzulu?
  2. Je,wewe ni mwanachama,mkereketwa au shabiki wa Chadema?
  3. Kama ni mwanachama umewahi kutoa mawazo kwenye ngazi za uongozi wa Chama ili hoja yako ifanyiwe kazi?
  4. Je,kama wewe si mwanachama,mkereketwa au shabiki wa Chadema inakusaidia nini Dr. Slaa akijiuzulu?
  5. Kwanini ushauri wako huu wa kipumbavu hujaupeleka kwa chama Tawala CCM ambacho kwa sasa ndicho kimekosa dira na mwelekeo?
  6. Je, CCM wanakulipa bei gani kuweka hizi propaganda za kipumbavu zinazoratibiwa na kina Mwigulu Nchemba Nepi Nauye,Steven Wassira,Willliam Lukuvi na vibaraka wao kama wewe?
  7. Kwanini unataka Dr.Slaa ajiuzulu na siyo Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. Mbowe ukizingatia kuwa Mwenyekiti wa Chama ndiyo nguzo na mhimili wa Chama?
  8. Kati ya Katibu Mkuu wa CCM mtaalamu wa kuua Tembo na kuuza Pembe za Ndovu ughaibuni na Katibu Mkuu wa Chadema Dr.Slaa nani anatakiwa ajiuzulu kulingana na Katiba na Sheria za nchi na si chama?
  9. Kati ya CCM na CHADEMA ni chama gani kinahusika na mateso,mauaji na hali ngumu za maisha kwa watanzania?
  10. Kwa dhamiri safi bila kinyongo na unafiki ukiulizwa leo ni chama gani kinafaa kuiongoza Tanzania ya sasa na ijayo utachagua chama gani na nini vigezo vyako?

Nasubiri majibu kutoka Tandale. Karibu sana.

kukusaidia tu, huyu ni Nape Nnauye! Analipwa kwa kumtukana na kumchafua Dr. Slaa
 
Hii habari ya Mwananchi ya mgogoro wa Chadema mbona ni ya muda mrefu (Jumatatu,Decemba17 2012) na majibu yalishatolewa!! Propaganda nyingine bwana. Ninachokiona kwa CCM kwa sasa ni kutafuta mbinu yeyote inayoona inafaa kuivuruga Chadema kama ilivyofanya kwa vyama vingine. Kwa sisi tulio nje ya ulingo wa siasa, tunaona hii ndio njia pekee ya CCM kubakia madarakani 2015 kwani kwa sasa haina mtu anayeweza kusimama na Slaa kama chama chake kikimpendekeza kutokana na mgawanyiko ulio ndani ya CCM yenyewe na ushawishi alionao Slaa. CCM ilikosea kikubwa kwenye mkakati wa kujivua Gamba. Ingelitekeleza ilivyokusudia, leo hii wasingekuwa na mfadhaiko kiasi hiki.
 
Laiti kama wachangiaji wangeliacha jazba na kujenga hoja zenye uhai,ningejitoa kwa dhati kabisa kujibu kila hoja. Lakini ni kwa bahati mbaya ilioje nimetukanwa sana na kuitwa --------,hili halisaidii hata kidogo wala haliamshi ari ya fikra za wanajamvi humu ndani.
 
TandaleOne;

Siku zote mimi huwa nasema majina yana roho(names has spirits). Tandale niijuayo mimi ni huko kwenye Uwanja wa Fisi,walikojaa machanguo doa,makahaba na malaya wa Jiji la Dar! Tandale ndiko kwenye uchafu wa kila aina,madawa ya kulevya,bangi,gongo,ngono zembe,viroba na takataka zote unazozijua. Hiyo ndiyo Tandale unakotoka TandaleOne! Shame on you g*y man!

Nina maswali machache hapa ambayo naamini huna majibu yake:
  1. TandaleOne wewe ni kama nani ndani ya Chadema unayetoa ushauri kwa Dr. Slaa ajiuzulu?
  2. Je,wewe ni mwanachama,mkereketwa au shabiki wa Chadema?
  3. Kama ni mwanachama umewahi kutoa mawazo kwenye ngazi za uongozi wa Chama ili hoja yako ifanyiwe kazi?
  4. Je,kama wewe si mwanachama,mkereketwa au shabiki wa Chadema inakusaidia nini Dr. Slaa akijiuzulu?
  5. Kwanini ushauri wako huu wa kipumbavu hujaupeleka kwa chama Tawala CCM ambacho kwa sasa ndicho kimekosa dira na mwelekeo?
  6. Je, CCM wanakulipa bei gani kuweka hizi propaganda za kipumbavu zinazoratibiwa na kina Mwigulu Nchemba Nepi Nauye,Steven Wassira,Willliam Lukuvi na vibaraka wao kama wewe?
  7. Kwanini unataka Dr.Slaa ajiuzulu na siyo Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. Mbowe ukizingatia kuwa Mwenyekiti wa Chama ndiyo nguzo na mhimili wa Chama?
  8. Kati ya Katibu Mkuu wa CCM mtaalamu wa kuua Tembo na kuuza Pembe za Ndovu ughaibuni na Katibu Mkuu wa Chadema Dr.Slaa nani anatakiwa ajiuzulu kulingana na Katiba na Sheria za nchi na si chama?
  9. Kati ya CCM na CHADEMA ni chama gani kinahusika na mateso,mauaji na hali ngumu za maisha kwa watanzania?
  10. Kwa dhamiri safi bila kinyongo na unafiki ukiulizwa leo ni chama gani kinafaa kuiongoza Tanzania ya sasa na ijayo utachagua chama gani na nini vigezo vyako?

Nasubiri majibu kutoka Tandale. Karibu sana.
Ukiacha matusi ya reja reja uliyoyatanguliza at least wewe umejaribu kujibu post yangu kwa hoja ingawa ni dhaifu na nyepesi nyepesi. Unapaswa kueleweshwa na kufundishwa,naamini unaweza kuelewa.
 
Chama cha kuporomoka ni ccm ambacho kiko juu, chadema kinapanda. Viongozi hao unaowana hawafai ndi waliokifikisha hapa chama cha Chadema. Na kwa kuwa wamekifikisha hapa tunawaamini kutufikisha ikulu. je, Zito umri wake utaruhusu kugombea urais? Wewe ni nani hata ukajifanya kuwa mshauri wa CDM. toa pumba zako hapa. Ushauri huo wapelekee CCM watanzania tumeshaamka.
 
Chadema ni tatizo lakini babu ni majanga. Roho mbaya,uzandiki,unafiki,ukosefu wa uzalendo, ulafi wa madaraka ndivyo vilivyojaa katika moyo wa huyu mzee. Hivi ni nani alimpa huyu mzee upadri..????
 
……….it was on Thursday
evening, 10[SUP]th[/SUP] December in the year 1936 on 10 Downing Street,
Garden Entrance, two people had been in serious conversation., one was
ALBERT FREDERICK ARTHUR GEORGE-the then DUKE OF YORK who three days
later came to be known as KING GEORGE VI OF THE UNITED KINGDOM and
DOMINIONS OF THE BRITISH COMMONWEALTH and the other was MR. STANLEY
BALDWIN-THE PRIME MINISTER OF UNITED KINGDOM who later replaced by
NEVILLE CHAMBERLAIN..,

The conversion was all about the scandal that touch the Kings’ name
EDWARD VIII over HIS proposed married to MRS SIMPSON.., MR BALDWIN
argued…”it’s not because she is American, that is least, it’s because
she is assumed to be twice divorced American and the King as a head of
the church of England cannot marry a divorced woman….and Sir I real
apologize to be true this, but according to Scotland yard,
the King has not always possess the exclusive
rights…..should his Majesty continue to ignore the advice of His
government..?
He must abdicate otherwise His government has no
choice but to resign..,
and ALBERT the DUKE poses a question;
Prime Minister, do you lead the country without the government…?
And MR BALDWIN responds this by question; does the
King DO what he wants or he does what people expect him to
do…?

Just after this conversation some minutes later KING EDWARD VIII
signed the instrument of abdication to avoid HIS whole government
resignation and the next day Friday 11[SUP]st [/SUP]December 1936, MR
BALDWIN delivered HIS memorable speech “EFFECT OF THE
CROWDED HOUSE”
in which MR BALDWIN said at the end of the
speech, “Where I failed, no one could have
succeeded”

Historia hii inatufunza mambo mengi na muhimu hasa tukiilinganisha
na matukio ya kisiasa ambayo yanaendelea nchini kwetu hivi sasa, katika
vuguvugu la malumbano na kufarikiana kukubwa kulikoikumba kambi ya
upinzani hususani Chadema hivi sasa ambako kunatokana na Viongozi wakuu
wa Chama Hicho kugombea madaraka.

Katika kilichotokea hivi karibuni ambapo viongozi wakuu wa chama hicho
wamevuana nguo hadharani na kuonyesha utovu mkubwa wa nidhamu na fedhea
ya hali ya juu miongoni mwao. Lakini pia imedhihirisha kuwa viongozi
hawa hawajui nini maana ya kuwa viongozi, hawajiheshimu wenyewe lakini
pia hawaheshimu wengine. Ni watu waliodhihirishia umma kuwa wao ni
wababaishaji ambao wanajali zaidi maslahi binafsi kuliko maslahi ya
jamii ama umma.
Kupotea kwa nidhamu katika Chama hiki kunatokana na viongozi wakuu ambao
wanajukumu la kusimamia nidhamu ktk chama hicho kushindwa kufanya kazi
yao ipasavyo wakiongozwa na Katibu Mkuu wa chama
hicho ambae kikatiba analo jukumu la kuhakikisha kuwa
wanachama wanakuwa na nidhamu na wanafuata misingi, taratibu na kanuni
za chama kama ilivyoainishwa katika Katiba ya Chama.

Lakini pia, Mambo yanayotokea hivi sasa yanaonyesha wazi kushindwa kwa
kamati kuu ya chama hiko katika kusimamia
majukumu yake na hivyo kuruhusu mambo yanayotakiwa kujadiliwa ndani ya
vikao vya Baraza hilo kushindwa kufikiwa hatma na hivyo kuyafanya mambo
hayo kujadiliwa nje ya vikao, ni kwa sababu viongozi wa chama hicho
kuogopa kuyajadili hayo na hivyo kuyaacha na kufanya waathirika na
wanaohisi kuonewa katika chama kutafuta platform nyingine na
kuyazungumza hayo. Jukumu hilo la Kamati kuu ni la kikatiba ambapo
imeanishwa katika katiba ya Chadema Sura ya Tisa;
9.0 MAMBO YA JUMLA KUHUSU KATIBA NA CHAMA
9.2 Kanuni na Maadili ya Chama:

9.2.5 Kamati Kuu itatunga maadili ya kuongoza nidhamu, utii, na
uwajibikaji na dhamira ya
watendaji viongozi wa Chama na wanaChama kwa ujumla. Hii ni pamoja na
Maadili ya
Mwenendo katika vikao vya Chama.."

Lakini imedhihirika kuwa hata baada ya Kamati kuu la chadema kukutana
hivi karibunu, kwa makusudu na maslahi binafsi waliamua ku-skip hoja za
msingi ambazo zinagusa mustakabali wa chama hiko na kujisahahulisha
mapungufu makubwa yaliyomo katika chama hiko.

Katika kutafuta suluhu na suluhisho la kudumu ni lazima kuangalia
kiini cha tatizo hili ambalo bila ya shaka ni mbio za urais 2015 ambazo
zimepelekea kuwepo kwa makundi hasimu (antagonistic pacts) yakiongozwa
na Katibu Mkuu wa Chama Hiko Dr Slaa, na Makamu wake Zitto
Kabwe.
Kama ilivyotokea kwa Makamba na kama ilivyotokea kwa
King Edward VIII ambapo imedhihiri kuwa watu hawa wanaendeshwa na
hisia binafsi na tamaa zao za madaraka
na wameshindwa kuweka maslahi
binafsi pembeni na hivyo kuleta makundi na sintofahamu kubwa ndani ya
chama, na mitazamo ya sasa ni kuwa kulingana na ukubwa wa mgawanyiko na
Napendaa pia kukumbusha kuwa katika umaskini mbaya ni kufikiri chini ya kiwango kwa makusudi na kuwa mnafiki ili upate riziki.
 
Chadema ni tatizo lakini babu ni majanga. Roho mbaya,uzandiki,unafiki,ukosefu wa uzalendo, ulafi wa madaraka ndivyo vilivyojaa katika moyo wa huyu mzee. Hivi ni nani alimpa huyu mzee upadri..????

Baba yako ndio alimpa upadri,usituletee nuksi zako...Dr Slaa anawapa sana pressure na lazima kieleweke

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Kabla hatujajadili hii hoja yako tunapaswa kujua hatima ya sakata la Kujivujua gamba. Sarakasi ya Nape imeishia wapi? Kama maji yamezidi unga si aje awaombe radhi watz kwa kuwadanganya?
 
Umedhihirisha kuwa upo mbali sana na chama chako, na wala hauoni kile ninachokiona mimi na wengine wenye weledi wa kutafakari mambo kwa umakini, mimi nimeyaanisha matatizo yaliyopo lakini pia nikapropose njia ya kutatua matatizo hayo kulingana na sensitivity yake, na ukiendelea kupinga kuwa hakuna matatizo hayo basi unapingana na msemaji wa chama chako mnyika aliyekubali kuwa ni kweli yapo na akaahidi kuwa yatashughulikiwa na wahusika kuchukuliwa hatua, soma thread ya mnyika hapa ikuongezee ufahamu wa usiyoyajua kuhusu chama chako https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...wa-kuhusu-tuhuma-na-shutuma-zilizotolewa.html

TANDALE ONE = NAPE MWANDOSYA ( Hooops) MNAUYE
 
Chadema ni tatizo lakini babu ni majanga. Roho mbaya,uzandiki,unafiki,ukosefu wa uzalendo, ulafi wa madaraka ndivyo vilivyojaa katika moyo wa huyu mzee. Hivi ni nani alimpa huyu mzee upadri..????

Wewe Nape,Huyo ni sawa na Mzee Mwandosya.Usimdharau hata Mzee Mwandosya anamheshimu sana Dr.Slaa..TAFAKARI
 
Back
Top Bottom