Polisi ndio vinara wa viroba na gongo! Na hata wakicha kazi hawaachi gongo!Viroba ukivinywa kwenye jua kali bila msosi tumboni lazima uwe chizi
Mkuu umeamua kutia akili mfukoni,bifu mbaya toka utoswe na CHADEMA unafuka pumba,halafu unajidai upo ughaibuni,hongera kwa kuchagua ujinga.Viroba ukivinywa kwenye jua kali bila msosi tumboni lazima uwe chizi
Viroba ukivinywa kwenye jua kali bila msosi tumboni lazima uwe chizi
Ni kweli kabisa mnyalikolo! si unakumbuka uchizi wako wewe ndivyo ulivyopatikana! na bahati mbaya sana hujapona mpaka leo.Viroba ukivinywa kwenye jua kali bila msosi tumboni lazima uwe chizi
Na kweli. Heri usubiri iwe giza ugawane na wenzio....
![]()
Dr Slaa ndio mwiba kwa CCM, wamefanya substitite tatu za Katibu mkuu, from Makamba, Mukama, na sasa Kinana lakini wote wanapwaya kwa Dr Slaa wa ukweli.
Chezea Slaa wewe...Daktari wa ukweli..
Hii kitu nimecheka mpaka baaaasss....
Tandare one you have a point.
Tandaleone , hivi Avatar yako inaonyesha Nyerere akiwa n marehemu Brigedia Moses Nnauye au? Nakushauri weka Nnape akiwa na mzazi wake ambao wote wako hai, waache wazee wetu wapumzike kwa amani.I always do...
Ni hapa ndipo uwezo wako wa kufikiri ulipoidhia..?Tandaleone , hivi Avatar yako inaonyesha Nyerere akiwa n marehemu Brigedia Moses Nnauye au? Nakushauri weka Nnape akiwa na mzazi wake ambao wote wako hai, waache wazee wetu wapumzike kwa amani.
Na hapa ndipo hekima na uwezo wako wa kufikiri ulipoishia..? Hongera sana.Tandaleone , hivi Avatar yako inaonyesha Nyerere akiwa n marehemu Brigedia Moses Nnauye au? Nakushauri weka Nnape akiwa na mzazi wake ambao wote wako hai, waache wazee wetu wapumzike kwa amani.
kwa yanayoendelea hivi sasa ndani ya chadema kuhusiana na ku-postpone uchaguzi kwa sababu kuwa chama hakijakomaa, vurugu za team zitto v/s team mbowe&slaa kumepelekea akili yangu kuikumbuka na kuipitia upya thread hii. Kimsingi haya yaliyosemwa humu yanaonyesha wazi kuwa mwisho wa vita hii ni kaburi la chadema.
Na kwa bahati njema sana, watanzania sasa wameanza kuiona chadema katika vazi lake la kweli sio lile la ngozi ya kondoo.