WHY SLAA MUST RESIGN...! "..effect of the crowded house.."

WHY SLAA MUST RESIGN...! "..effect of the crowded house.."

Chadema ni tatizo lakini babu ni majanga. Roho mbaya,uzandiki,unafiki,ukosefu wa uzalendo, ulafi wa madaraka ndivyo vilivyojaa katika moyo wa huyu mzee. Hivi ni nani alimpa huyu mzee upadri..????

Nimefuatilia sana post zako nikitaka kujua lengo lako hasa ni nini!!!! Kufuatia post hii NADHANI GT WAMEKUELEWA VIZURI!!!

Naomba uelewe kwamba pamoja na UDINI uliokujaa, tambua USHEKHE na UPADRI, NDOA na USERA havitotufikisha popote kama Taifa!! Tunachohitaji ni MTU makini mwenye hofu ya Mwenyezi Mungu na mwenye uthubutu, na vision atakayeweza kututoa ktk lindi hili la umasikini wa aibu na kutufikisha TANZANIA TUITAKAYO!!

Mtu huyo si ccm wala CHADEMA bali ni DR. SLAA!!
 
Umetokwa povu for nothing, babu hana hizo sifa unazozitaja hapo juu. Hana hofu ya mungu hata chembe, si mtu makini ni mtu wa hovyo tu. Hana msimamo wala uthubutu ni mtu wa kukurupuka.
 
Kabla hatujajadili hii hoja yako tunapaswa kujua hatima ya sakata la Kujivujua gamba. Sarakasi ya Nape imeishia wapi? Kama maji yamezidi unga si aje awaombe radhi watz kwa kuwadanganya?

Anzisha uzi wako .cd ya magamba ilisha chuja
 
Wewe Nape,Huyo ni sawa na Mzee Mwandosya.Usimdharau hata Mzee Mwandosya anamheshimu sana Dr.Slaa..TAFAKARI

Toa majibu sio majungu hapa hatujadili maisha ya nape uzi uliletwa hapa kuka ujadil.leo ni slaa na cdm mkayagano ndani ya chama
 
Umetokwa povu for nothing, babu hana hizo sifa unazozitaja hapo juu. Hana hofu ya mungu hata chembe, si mtu makini ni mtu wa hovyo tu. Hana msimamo wala uthubutu ni mtu wa kukurupuka.

Ana phd ya dini ya kwenda na mke wa mtu kuhiji israel.hahaha.poor slaaa
 
Ukiacha matusi ya reja reja uliyoyatanguliza at least wewe umejaribu kujibu post yangu kwa hoja ingawa ni dhaifu na nyepesi nyepesi. Unapaswa kueleweshwa na kufundishwa,naamini unaweza kuelewa.

Wewe kweli ni zuzu,

Inaonekana hata hujanielewa. Mimi nataka majibu kwenye maswali yangu 1-10. lakini inaonekana huna majibu na hii inaonyesha kuwa ulisoma kwa shule ya kuunga unga. Yawezekana kabisa kuna ukweli kuwa wewe ndiye Nnape Nauye ambaye mimi hukuita Nepi(ya mtoto) maana kauli na matendo yako ni very childish!!!Inavvoonekana umejaa hoja za nguvu na huna nguvu ya hoja,

Inasikitisha kuwa kwa sasa CCM mmeshindwa kuhubiri sera zenu na mlichobakiza ni kuipigia debe CHADEMA washike dola mwaka 2015 kwa ulaiiiiini!CCM hata kama mtakesha kwenye vikao vyenu vya kutaka kuisambaratisha CDM kwa MABOMU na RISASI za moto hamtaweza asilani! Haiwezekani kikundi cha watu wachache kutoka CCM,ndugu zao,familia zao na maswahiba zao wang'ang'anie kuitawala Tanzania kana kwamba wana hati miliki ilhali nguvu ya umma wa Watanzania hawakubaliani na sera zenu mbovu ambazo zime prove failure for more than half a century!!!Tanzania belongs to all Tanzanians from either CCM or any opposition party.Every Tanzanian have the right to rule our country. Tatizo la ma-CCM mnafikiri ni nyie peke yenu mna hati miliki ya kuitawala Tanzania which is absolutely wrong!! Tena kwa sasa mefikia hali ya kutisha kwa kuamua kuanza KUUA VIONGOZI WATANZANIA walioko upande wa Upinzani au Wananchi wanaokubaliana na Upinzani!!!Hii ni aibu na haikubaliki.

Kwa watu wenye busara mnatakiwa mfanye maamuzi magumu kabla ya mwaka 2015 kwa kuwapa nafasi Watanzania kutoka Kambi ya Upinzania ili waongoze Jahazi maana kiukweli kwa sasa CCM inaonekana mnapelekeshwa na CHADEMA vibaya sana kiasi cha kuamua kutumia Polisi,TISS na TPDF kukandamiza Viongozi,Wanachama na Wafuasi wa CHADEMA ili muendelee kutawala!!

Tunajua CCM mmeua Morogoro, Iringa,Igunga,Arumeru Mashariki, Arusha mjini Jan 5,2011 na June 15,2015 pale Soweto kwa maksudi ili kuudanganya Umma wa Watanzania kuwa CHADEMA wamejilipua Bomu wenyewe. Hiki ni kichekesho cha karne. Kama kweli mnafikiri kwa kutumia Ubongo na si Ma------ msingeropoka kama mlivyofanya!

Lakini inavoelekea Mungu ndiyo ameamua kuruhusu haya yatokee ili KUIVUA NGUO CCM ili itakapofika 2015 CCM mtakuwa uchi wa mnyama mkitafuta angalao kipande cha ngozi japo kusitiri aibu yenu!!!

Siku inakuja,ole wenu!
 
JAMII YA KISTAHARABU HUKOSOANA KWA UPENDO NA KUONYESHANA NJIA...!

Hukuandika kwa upendo umeandika kwa chuki. Hata hivyo ungetumia ubongo wako kwa maswala ya kitaifa hata wewe ungefaidika sana.

Kichwa cha habari kinamtaka au kumtaja Dr. Slaa na kumfananisha na mfalme ambavyo si kweli. Ungeonyesha chembe ya busara kama angalau ungemlinganisha na mwanasiasa kwenye nchi iliyo jamhuri si ya kifalme.

Kukuignore haitoshi labda kukusifu tu kuwa ni PINDA.
 
Ahsante kwa kunisifu.
 
#Majanga

Huwa najuliza sana na unafiki wa CCM, Daima CCM haipendi CHADEMA isonge mbele na wakati mwingine wameitabiria hata kifo, swali gumu:-

"Kwa nini wanajidai kutoa ushauri kwamba Dr Slaa hafai kuwa CHADEMA na badala yake afukuzwe??? Sasa kama hafai akifukuzwa si atapatikana mtu mwingine mzuri atakayefanya CHADEMA kiimarike zaidi??

#Unafiki Mkubwa Wa CCM, unawafanya wajifanye kondoo kupiga kelele Dr. slaa atoke maana huu ndiyo msumari wao wa mwishoooo!!!!
Dr. W. Slaa endelea na moto huo huo wanajidai kusema hufai wakati wanajua kabisa mioyoni mwao wewe ni mwiba unaopenya kwenye gamba!

Copy: Chris Lukosi, Ritz
 
Last edited by a moderator:
Na kweli. Heri usubiri iwe giza ugawane na wenzio....

hqdefault.jpg

Viroba ukivinywa kwenye jua kali bila msosi tumboni lazima uwe chizi
 
kweli mkuu hawa ccm ni wanafiki kupindukia. DR SLAA ni ''machine Gan'' nukuu ya Mbowe
 
Dr Slaa ndio mwiba kwa CCM, wamefanya substitite tatu za Katibu mkuu, from Makamba, Mukama, na sasa Kinana lakini wote wanapwaya kwa Dr Slaa wa ukweli.

Chezea Slaa wewe...Daktari wa ukweli..
 
Hii thread nafuu hata tungeiacha tu! Watu wengine wakisikia jina la Dr Slaa mapepo yanawalipuka. Wanashindwa kuchangia hoja na baadala yake wanaporomosha matusi tu. Dr Slaa ni funga kazi kwa magamba!!!
 
dr slaa ni muungwana na mtu anayetenda kwa yale anayoamini , mimi kuna muda huwa najiuliza hivi hawa watu mbowe , slaaa na zitto wametoa mchango mkubwa sana kuijenga chadema je watakao kuja wataweza kwenda na ubunifu, ari na kujituma kwa hawa watu. MUNGU AWAZIDISHIE MAISHA MAREFU >>>AMEEN
 
Back
Top Bottom