WHY SLAA MUST RESIGN...! "..effect of the crowded house.."

WHY SLAA MUST RESIGN...! "..effect of the crowded house.."

Hilo halitatokea sasa wala kwa mapenzi yenu.

Zitto your lickers still turns the knife in your throat.

Dear Prezzo, could it be possible that you had no EXIT PLAN in your mob's mission?
 
Mtazamo huu siuhafiki, ni mtazamo wenye makengeza kudhani kuwa bila slaa hakuna chadema, sitaki kuamini kuwa mnanishawishi niamini kuwa Chadema kuna uhaba wa viongozi wa kuweza kukisimamia chama hiko na kukiendesha. kama hivyo ndivyo basi chadema kuna hatari kubwa kuliko vile nilikuwa nikidhani...!
Kwa nini kila wakati mnamuota Dr tu. Si mgemuota Zitto?
Ukijibu swali hilo ndilo litakuwa jibu la maswali yako.
 
hili nililolisema kwa namna yeyote linawatoa nyie katika fikra zenu za kuleta mabadiliko..? ni fikra zipi hizo ambazo zinahukumu ushauri huu..? zina mlengwa gani fikra hizo, zinataka mabadiliko yapi ambayo thread hii haiyataji kuwa ni muhimu ama haishauri mabadiliko hayo, kwani kama ni mabadiiliko basi nadhani nimeshauri mabadiliko tena makubwa ndani ya chama ili kujenga mustakabali mpya wa chama hiko...!

Huo ni mtazamo wako. mtazamo wetu hautabadilika kamwe.
 
Sorry mkuu, it's a wasted effort. That's what I can tell u. Hata hiyo mifano ya Britain unayoitumia wala haiendani na kinachotokea CDM. Tatizo kubwa la CDM, kwa mtazamo wangu, ni ZITTO KABWE. Huyu kijana mnafiki sana na ndiye anayeanzisha chokochoko ndani ya chama kwa tamaa yake ya urais (ambao hata hivyo hauwezi).

Zitto anadhani atafanikiwa kutimiza ndoto yake kwa Dk Slaa kuondolewa kwenye uongozi wa CDM. Lakini Zitto atambue kwamba Dk Slaa hakuwahi kutamka hata siku moja kwamba alikuwa anautaka urais 2010 mpaka pale CDM walipomuona ni chaguo sahihi.

Na hata sasa hajawahi kutamka hivyo na muda wa uteuzi wa mgombea bado haujafika. Tunamshukuru Mungu kwa kumuumbua Zitto na hila zake za kutaka kukisambaratisha chama. Huyu hafai hata kuendelea kuwa mwanachama wa CDM kutokana na usaliti anaoufanya.
 
Hatuwezi kutupa silaha
zetu za maangamizi ili kuwafurahisha wapinzani wetu.Chochote ambacho
hakipendwi na wapinzani wetu kwa vyovyote kitakuwa na faida kubwa sana
kwetu!

kwa hiyo mko radhi kuzuia sheria kwa sababu ya mapenzi
 
CCM acheni ujinga wa kukimbia kivuli chenu pelekeni maendeleo kwa wananchi.
 
Sorry
mkuu, it's a wasted
effort. That's what I can tell u. Hata hiyo mifano ya Britain
unayoitumia wala haiendani na kinachotokea CDM. Tatizo kubwa la CDM, kwa
mtazamo wangu, ni ZITTO KABWE.....

Zitto ana tamaa ya madaraka, hili hata CCM wanalijua, vivyo hivyo Dr. Slaa anatamani Urais, kwa kujua hili CCM wamemtumia Ben kupandikiza mgogoro na kisha kuuamplyfy kwenye media, kwa sasa Ben na watu wake wako pembeni wakitazama msuguano unavyoendelea
 
upumbav m2pu hauna hta maana! Inaonesha jinc gan ubongo wko ulivyo ganda.hat km kuna kasr ndg ndg chadema ni za kawaida sn. Magamba wanafnya mamb ya ajab mangp tena yenye maslah na taifa mbna hamuongei??? Wew ni kibaraka wa magamba tuu, utaku
fa kwa umackin kwa kuuza thaman yko kwa ubwabwa na tshit,ushuuuuuz mtup.
 
Jamani Dr Slaa mwacheni apumue ale Christmas. Kwanza mtu msomi kama Dr Slaa hawezi kubabaishwa hata kidogo kwa hoja zisizokuwa na msingi. Kila kukicha humu JF watu wanakuja na mada za Dr Slaa. But let me tell you people, silent is the answer for the stupid people. You will never hear educated peolpe like Dr Slaa argue with stupid people/things.
 
(kwa yale makundi yanayoratibiwa na zitto).[/QUOTE said:
mie hapo tu, kabla hauja mnyooshea mtu kidole, kwalugha za kejeli kama vile Upuuzi, upumbavu, ,........ na Matusi yote yliyo wahi kuyasikia, nafsi yako wewe binafsi ishahidi ya haya mawili.
1. Anaye ratibu Makundi ni Zitto ama Sa 8, Wewe unamsabikia nani....., manake tuhuima zipo pande zote, anaye ratibu makundi ndani ya chama ni Sa 8 ama zito?

2. Kati ya Sa 8 na Zitto, nani ana mchango "Tangible" ndani ya chama....!
 
Shost nenda DNA kapime wtt unaowaita wako uenda ukakuta ni boss anaeku2ma huma.
 
Watz acheni kulipuka sasa mbona mnasema mpasuko maana yake nini kwa nini msiwe na analysis ya kutosha kabla ya kuandika kitu. Ndo maana Makene alisistiza kwamba Angalia usije ukalishwa matangopori,”
 
Tatizo letu kubwa chadema nn kujifanya hatukubali mapungufu na kukosolewa
no one is perfect
slaa si mungu kama tunataka kuwa mfano bora kwa yote yanayo mkuta slaa lazima awajbke na hyo utamuacha salama zaid kuliko wakat mwingine wowote ata kama atakuja gombea tena

slaa lazima awajibe namuunga mkono bwana tandale

Wewe masalia tumia akili, mbona unakurupuka. Dr.slaa awajibike kwa lipi? Kwa hizi tuhuma za kijinga mnazotunga kwenye vikao vyenu vya masalia? Mshindwe na mlegee katika jina la Yesu Amen!!
 
Nashukuru wanajamvi wazalendo threats za Kimasalia au P7 au za kuua panya kwa kosa la mwingine hawazijibu kihoja bali kiviroja kama zinavyoletwa wanawapa ushauri waandishi wa kimasalia wanaachana na mawazo yao na ushauri wao.
Soma wapuze waattack na umasalia wao usichambue hata kama watatumia falsafa kututeka tuwashauri wawah za mgao maana wakina tandale na wenzake wamejeruhiwa na kamanda ben hawajui wanachoandika

nimeeleza mawazo ya mfano wako katika sehemu ya ANGALIZO katika thread yangu nimesema hivi
ANGALIZO:
Napenda pia kukumbusha kuwa katika umasikini mbaya ni kufikiri chini ya kiwango au utumwa mbaya ni kuruhusu wengine wafikiri kwa ajili yako nawe uwe mfuata mkumbo na upepo wa mawazo yao, ni bora kujilazimisha kufikiri hata kuliko kikomo ulichodhani unacho kwa kufanya hivyo unaweza kugundua kuwa unaweza kufikiri na kuwaza kuliko vile ulivyodhani awali.Tusiweke kando fikra na hoja zetu zenye ufasaha kwa kufuata ushabiki.
 
Mungu wangu hata kufupisha Nape hajui. So pathetic

hivi ni nani kawaroga akili zenu enyi wapotevu mliopotea njia.???
ANGALIZO:
Napenda pia kukumbusha kuwa katika umasikini mbaya ni kufikiri chini ya kiwango au utumwa mbaya ni kuruhusu wengine wafikiri kwa ajili yako nawe uwe mfuata mkumbo na upepo wa mawazo yao, ni bora kujilazimisha kufikiri hata kuliko kikomo ulichodhani unacho kwa kufanya hivyo unaweza kugundua kuwa unaweza kufikiri na kuwaza kuliko vile ulivyodhani awali.Tusiweke kando fikra na hoja zetu zenye ufasaha kwa kufuata ushabiki.
 
Tandale One,

Umejitahidi kuandika nakupongeza sana na kupongeza kwa kujaribu kutolea maelezo pale ambapo watu wanasema hujaeleweka. Naona hujaeleweka maana umeshindwa kuonyesha kwa mapana na marefu hasa tatizo unalotaka kutuaminisha ni la kiitikadi, kisera, kikatiba, kisheria au kimaadili?

Makundi ambayo unayasema kuwa yapo kati ya Zitto na Dr. Slaa yameathiri kwa kiasi gani itikadi ya CDM? au sera yake, au mikakati yake, sheria za nchi na maadili ya CDM na Taifa? Kama wewe ni mwana CDM umeathrika kiasi gani on basis of constitution, strategy, ideology na mode and conduct.

Uliyosema in a nutshell are fabricated and forged propaganda geared to diverge attention of CDM from being vocal against the vices deliberately done by CCM that have led this country into abject poverty and the impact of that poverty is that we have a generation that cannot analyse issues and identify critical and basic ones from simple ones that do not have any impact whatsoever to the nation.

Ndio maana watu wanashangaaa kuwa mnanyamazia mambo ya msingi na mnaagalia mambo ya kutunga ambayo lengo sio kujenga (non constructive) bali kubomoa (destructive). Umeombwa utuonyeshe kundi la Dr. Slaa na jinsi uwepo wake unavyoathiri framework niliyoionyesha hapo juu ambayo kwayo uhai wa chama chochote husimaa lakini hujfanya hivyo.

Umesema kamati Kuu iliyokaa iishindwa kuadress mambo muhimu. Ni yepi hayo muhimu. Wewe ni member wa kikao hicho? Kilikuwa na agenda? Kama kweye agenda uliyotaka yajadiliwe kama hayakuwa sehemu ya agenda je kikao kiliendeshwa kidikiteita kiadi kwamba hata mengineyo hayakuwepo. Minutes za kikao ziichukuliwa? Ziweke wazi basi short of that all said by you are mere allegations
 
Wewe masalia tumia akili, mbona unakurupuka. Dr.slaa awajibike kwa lipi? Kwa hizi tuhuma za kijinga mnazotunga kwenye vikao vyenu vya masalia? Mshindwe na mlegee katika jina la Yesu Amen!!
kama ungelifikiri kwa ukweli wa kutafakari baada ya kusoma kwa makini kile nilichokiandika hapa ungelikwenda mbele zaidi ya kuhoji kunani Chadema, kwa maana niliyoyaandika yanavuta udadisi na kuongeza utafakari wa mtu anayewaza sawasawa. Soma tena yawezekana haujaelewa..!
 
Mtoto Ziro atoroka shule. Alipoulizwa kwanini huendi shule;akajibu: ''huko shuleni kwenyewe walimu pia hawana uhakika na kile wanachoeleza! Maana juzi walisema 5+2=7, Jana 4+3=7, Leo 6+1=7, Kesho huenda watasema 7+0=7, Sasa huo kama sio ubabaishaji wa akili za watu ni nini!?''
 
Back
Top Bottom