ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 1,964
- 3,895
Sawa sawa nimekupataMkuu ndio maana halisi ya maisha rayvanny n mwajiriwa hvyo Hawezi pewa kipato chote kinachopatikana kwenye Mauzo hata kwenye shoo ingali kabla ya kufanya hyo shoo au kuaanda hzo nyimbo zinazoingia kwenye platform kuna gharama zinatumikaa ss zinarudijee kwa mwajiri ndipo rayvanny anapokatwa hela nakupewa anachostaili...
Zuchu Ana stream nyingi lakini anachoingiza ni kidogoLebo ya Kondegang ilianza Rasmi mwaka 2019 ikiwa na msanii mmoja ambae ni Harmonize baadae akamsajili Ibraah.
Leo nawapa mauzo ya nyimbo za Zuchu na Kondegang wote kwa Ujumla.
REPORT ZA YOUTUBE NA KONDEGANG:
VIEWERS WA IBRAAH
1. One Night Ibraah Ft Harmonize YouTube ina Viewers M 12
2. Nani_Ibraah Views Milioni 2.4
3. Nitachelewa _Views Milioni 2.2
4. Nimekubali _ Views Milioni 1.7
5.Wandoto _ Views Milioni 1.6
6.Nimpende _ Views Milioni 1.2
7. Sawa _ Views Milioni 1
JUMLA NI SAWA NA VIEWERS MILLIONI 22.1
.
VIEWERS WA HARMONIZE 2019/2021
1. UNO _ VIEWERS M 12
2.JESHI _VIEWERS M 6.6
3. USHAMBA _VIEWERS M 6
4.MPAKA KESHO VIEWERS M 4.8
5.FALLING IN LOVE VIEWERS M 4.8
6. BEDROOM _VIEWERS M 4
7. WIFE _MILLION 3.7
8.MAMA _VIEWERS M 2.8
9.HAINISHTUI _VIEWERS M2.9
10. ANAJIKOSHA VIEWERS MILLION 2.4
JUMLA NI VIEWERS MILIONI 47.6 +22.1=MILLION 69.7
.
.
VIEWERS WA ZUCHU
:
1. SUKARI YA VIEWERS M 26
2. CHECHE _VIEWERS M 19
3.LITAWACHOMA _VIEWERS M.15
4. WANA _VIEWS M. 11
5.NISAMEHE _VIEWERS M. 10
6.MAUZAUZA _VIEWERS M 8
7.RAHA _VIEWS M 7.8
8.NO BODY_ VIEWERS M. 6.2
9.KWARU _VIEWERS M 5.7
.
.
JUMLA NI 108.7
.
.
NAMALAZIA NA BOOMPLAY
HARMONIZE ANA STREAMS NA DOWNLOADS MILIONI 12.8 HUKU KIJANA IBRAAH AKIWA NA MILIONI 2 JUMLA NI MILIONI 14.8
MSANII ZUCHU ANA JUMLA YA STREAMS NA DOWNLOADING MILIONI 23.2
VIPI KUNA SABABU YA VITA YA HARMONIZE NA RAYVANNY?
Okay sawa mkuu. At least ukiandika hivi unapunguza maumivu.Zuchu Ana stream nyingi lakini anachoingiza ni kidogo
Na wewe kawanyonye wenzio kama rahisiDiamond ananyonya wenzake
Huwezi eti jipima kwa kuacha unapokula eti kisa kuwaonyesha mafans kuwa we ni wa moto hata ukiwa nje.Nimesikia haya Mambo kuwa Rayvanny anaongoza mauzo katika digital platform, ni kweli lakini mi sioni kama ni hoja.
Sawa anauza sana hata Zuchu anauza sana lakini kuna hasara yake kwa upande mmoja au mwingine, asilimia kubwa ya mauzo ya Rayvanny na Zuchu yanakwenda kwa Diamond , so hata kama Vanny boy anauza sana hafaidiki moja kwa moja na mapato yote, hayo mapato ndio Diamond anatumia kulipa mishahara ya wafanyakazi coz mfano Wasafi fm haiingizi pesa za kutosha.
Pia Vanny boy na Zuchu wanatembelea kick ya master Platnum, wakitaka wajipime waseme tunatoka kwa muajiri wetu WCB I mean Platnum.
Harmonize na Mavoko kilichowatoa ni mgao wanaopata kwenye mauzo ya nyimbo zao ulikuwa mdogo mwingi ukienda kwenye kampuni.
Inawezekana Harmonize anauza kidogo kuliko Rayvanny lakini akawa ana kipato kikubwa kuliko Rayvanny kwa sababu Rayvanny ni muajiriwa wa Diamond na anapangiwa anachostahili kupata.
Aisee ndo Mana nikashangaa rayvanny pesa za kupeleka watu Dubai kapata wapi wakati pesa anayolipwa na diamond c kubwa, kumbe kajala Ana sponsor tajiri
Lebo ya Kondegang ilianza Rasmi mwaka 2019 ikiwa na msanii mmoja ambae ni Harmonize baadae akamsajili Ibraah.
Leo nawapa mauzo ya nyimbo za Zuchu na Kondegang wote kwa Ujumla.
REPORT ZA YOUTUBE NA KONDEGANG:
VIEWERS WA IBRAAH
1. One Night Ibraah Ft Harmonize YouTube ina Viewers M 12
2. Nani_Ibraah Views Milioni 2.4
3. Nitachelewa _Views Milioni 2.2
4. Nimekubali _ Views Milioni 1.7
5.Wandoto _ Views Milioni 1.6
6.Nimpende _ Views Milioni 1.2
7. Sawa _ Views Milioni 1
JUMLA NI SAWA NA VIEWERS MILLIONI 22.1
.
VIEWERS WA HARMONIZE 2019/2021
1. UNO _ VIEWERS M 12
2.JESHI _VIEWERS M 6.6
3. USHAMBA _VIEWERS M 6
4.MPAKA KESHO VIEWERS M 4.8
5.FALLING IN LOVE VIEWERS M 4.8
6. BEDROOM _VIEWERS M 4
7. WIFE _MILLION 3.7
8.MAMA _VIEWERS M 2.8
9.HAINISHTUI _VIEWERS M2.9
10. ANAJIKOSHA VIEWERS MILLION 2.4
JUMLA NI VIEWERS MILIONI 47.6 +22.1=MILLION 69.7
.
.
VIEWERS WA ZUCHU
:
1. SUKARI YA VIEWERS M 26
2. CHECHE _VIEWERS M 19
3.LITAWACHOMA _VIEWERS M.15
4. WANA _VIEWS M. 11
5.NISAMEHE _VIEWERS M. 10
6.MAUZAUZA _VIEWERS M 8
7.RAHA _VIEWS M 7.8
8.NO BODY_ VIEWERS M. 6.2
9.KWARU _VIEWERS M 5.7
.
.
JUMLA NI 108.7
.
.
NAMALAZIA NA BOOMPLAY
HARMONIZE ANA STREAMS NA DOWNLOADS MILIONI 12.8 HUKU KIJANA IBRAAH AKIWA NA MILIONI 2 JUMLA NI MILIONI 14.8
MSANII ZUCHU ANA JUMLA YA STREAMS NA DOWNLOADING MILIONI 23.2
VIPI KUNA SABABU YA VITA YA HARMONIZE NA RAYVANNY?
Badala ya kuweka viewers wa Rayvan wewe unaleta viewer wa zuchu,kwani wanatifuana Konde boy na Zuchu au ni mtifuano wa Konde na Rayvan?Lebo ya Kondegang ilianza Rasmi mwaka 2019 ikiwa na msanii mmoja ambae ni Harmonize baadae akamsajili Ibraah.
Leo nawapa mauzo ya nyimbo za Zuchu na Kondegang wote kwa Ujumla.
REPORT ZA YOUTUBE NA KONDEGANG:
VIEWERS WA IBRAAH
1. One Night Ibraah Ft Harmonize YouTube ina Viewers M 12
2. Nani_Ibraah Views Milioni 2.4
3. Nitachelewa _Views Milioni 2.2
4. Nimekubali _ Views Milioni 1.7
5.Wandoto _ Views Milioni 1.6
6.Nimpende _ Views Milioni 1.2
7. Sawa _ Views Milioni 1
JUMLA NI SAWA NA VIEWERS MILLIONI 22.1
.
VIEWERS WA HARMONIZE 2019/2021
1. UNO _ VIEWERS M 12
2.JESHI _VIEWERS M 6.6
3. USHAMBA _VIEWERS M 6
4.MPAKA KESHO VIEWERS M 4.8
5.FALLING IN LOVE VIEWERS M 4.8
6. BEDROOM _VIEWERS M 4
7. WIFE _MILLION 3.7
8.MAMA _VIEWERS M 2.8
9.HAINISHTUI _VIEWERS M2.9
10. ANAJIKOSHA VIEWERS MILLION 2.4
JUMLA NI VIEWERS MILIONI 47.6 +22.1=MILLION 69.7
.
.
VIEWERS WA ZUCHU
:
1. SUKARI YA VIEWERS M 26
2. CHECHE _VIEWERS M 19
3.LITAWACHOMA _VIEWERS M.15
4. WANA _VIEWS M. 11
5.NISAMEHE _VIEWERS M. 10
6.MAUZAUZA _VIEWERS M 8
7.RAHA _VIEWS M 7.8
8.NO BODY_ VIEWERS M. 6.2
9.KWARU _VIEWERS M 5.7
.
.
JUMLA NI 108.7
.
.
NAMALAZIA NA BOOMPLAY
HARMONIZE ANA STREAMS NA DOWNLOADS MILIONI 12.8 HUKU KIJANA IBRAAH AKIWA NA MILIONI 2 JUMLA NI MILIONI 14.8
MSANII ZUCHU ANA JUMLA YA STREAMS NA DOWNLOADING MILIONI 23.2
VIPI KUNA SABABU YA VITA YA HARMONIZE NA RAYVANNY?
Hotel waliyofikia ndio balaa zitoMbona mnafanya kwenda dubai is big deal , visa wananunua $90 , return ticket kuanzia $250, ray vanny hawez kukosa hyo pesa aiseh , kuna nchi mtu ukienda lazima ushtuke ila sio Dubai , c bora hata Ommy dimpoz kidogo alitushtua kwenda IBiza, Dubai wanaenda had ma Housegurl
Rayvanny ni mara tatu ya Zuchu, wamalizane na Zuchu kwanza.Badala ya kuweka viewers wa Rayvan wewe unaleta viewer wa zuchu,kwani wanatifuana Konde boy na Zuchu au ni mtifuano wa Konde na Rayvan?