Why not If not!

Why not If not!

Labda Shoga kwahiyo anawaambia wateja wake kwamba mtandao wake pendwa uko poa haujabomolewa
 
attachment.php
 
Haaa haaaa usela mavi!!!
Hilo neno limenikumbusha miaka ya 80+ tulikuwa tunaweka bega moja juu lingine chini, mfuko wa nyuma unaning'inia kitambaa, chini bonge la buti la kibaharia halafu unadundika si mchezo huku fegi/fegi kubwa mdomoni.
 
Kwani alichokosea ni nn . ? Wht is Vagina . Na aliyevaa ni mtoto wa Kiume .. Labda uniambie ni matusi tu lakini kwa Mwa mwanaume kuvaa hiyo sio shida

Au mlitaka avaa iliyoandikwa I LoVe Penis !?
 
hakuna kosa lolote hapo...anasema anachokipenda...
 
Tyta

Kwani kuna shida gani hapo if you are a man dont you love Va.gina?
I Love Vag.ina too!
 
Last edited by a moderator:
Mimi wala sipendi labda kwa matumizi ya nyumbani tuu

kupenda ina tafsiri pana sana , ila nampongeza maana ameamua kuwa wazi na hisia zake, hicho ni kiungo cha mwili tu mkuu, kama jicho , kichwa, pua n.k
 
Sidhan kama hajui maana yake.
Amevaa kuteka attention za anaesoma.

Ujumbe sio mzuri. Ila kama anapenda ameeleza kile wanaume wengi tunaogopa kueleza wazi wazi.
 
Back
Top Bottom