Why not If not!

Why not If not!

Mleta mada na baadhi ya wachangiaji ndo hamjui maana. nyie hampendi mbunye? aka vagina? mwnyewe ngeipat htotshirt neivaa vile vile

a
 
mleta mada na baadhi ya wachangiaji ndo hamjui maana. nyie hampendi mbunye? aka vagina? mwnyewe ngeipat htotshirt neivaa vile vile

a

1424851212286.jpg
 
Ingeandikwa kwa kiswahili angevaa.?
 
kosa lake kuvaa tu..kama papuchi ni wengi tu wanapenda hii kitu
 
Kwani katokea nyumba gani? wazazi/walezi hawakumuona? Labda nao hawaelewi maana, je majirani? Anakopita njiani mbona watu wanamuacha tu?! Hata polisi pia hawamuoni?! Nilikuwa ninadhani maandishi yasiyo na heshima ni marufuku!?Kila mtu na lwake?! Kama hivyo ndivyo hastahili lawama pekee, sisi sote kama jamii tunastahili lawama-kwa maadili yetu (kwa at least machache yaliyobaki) hastahili kuvaa hivi
 
kosa lake kuvaa tu..kama papuchi ni wengi tu wanapenda hii kitu
Hahahahaaaaaaa...ni sawa na kumkimbia malaya anayeuza shekilango halafu ukaangukia kwa kibinti cha mtaani kinachouza kimya kimya bingwa wa vigodoro.
 
Back
Top Bottom