Ukiwa na mwanaume ndo unakuwa na furaha
mwanaume ni ezyme/catalyst /hormone ya furaha?
If yes toa vivid example
otherwise huu ni upuuzi mtupu kwangu
furaha ya mtu ni mtu mwenyewe
wangapi wapo kwenye mahusiano ila wapo kama kuzimu?
Kwa heri
umeniondolea na furaha yangu bila sababu
@Thread starter, ukiwaona wamekasirika ujuwe kuna ka ukweli flani.
wakina mama mbona mnajibu kwa hasira sana hii ni mada tu jamani toeni mawazo hatugombani hapa!
On record- what maximum length of time have you gone without a relationship?
Huyo mdada anatamani sana kuolewa na ameiweka sana akilini mwake ndio maana unamwona katika hali hiyo...ila hicho sio kipimo cha kuthibitisha kuwa wadada hatuwezi kukaa single .
Huu mwaka wa sita sasa, maisha mwemwele mwemwele.......hata mpango wa boyfriend sina kabisa!!
Ukiwa na mwanaume ndo unakuwa na furaha
mwanaume ni ezyme/catalyst /hormone ya furaha?
If yes toa vivid example
otherwise huu ni upuuzi mtupu kwangu
furaha ya mtu ni mtu mwenyewe
wangapi wapo kwenye mahusiano ila wapo kama kuzimu?
Kwa heri
umeniondolea na furaha yangu bila sababu
bora ungezaliwa men ! Ila wanawake wanaokuwa single adi katika utu uzma wao wanaroho mbaya,ki buri,jeuri ,dharau,wabish, majivuno na hasira .
Mimi naona kama hajiamini at 27yrs analialia kwa kukosa bwana, tumeona wangapi wanazeeka but still wako happy and live their life. Watu wa aina hii huwa wenzao wakiolewa wanaweza hata kukata mawasiliano au kufa kwa donge!
Huu mwaka wa sita sasa, maisha mwemwele mwemwele.......hata mpango wa boyfriend sina kabisa!!
Heshima kwenu brothers and sisters,
Why ladies mnapata shida sana kuishi single without relation kwa muda mrefu? I have a workmate and friend of mine ambaye inshort ni mzuri, but huyu sister ananishangaza sana as kuishi bila relation kunamchanganya sana while she is just 27, yaani kuwa lonely kunamnyima raha kiasi hata sometime unakuta analia on her table ukimuuliza hana majibu ya kutosha, hivi hii inakuaje as she has everything tunazo wish kuwa nazo, as good first job with a nice salary to her, nice car, and so on.
But kuwait for a right person kunamchanganya sana na hasa her friends wanavyoolewa daily, nimeisema hii has imenigusa sana j mos tulikuwa kwenye harus ya friend ghafla akaanza kutoa machoz na kutaka kuondoka bila sabab za msingi hadi mama mmoja akamtoa nje kumliwaza, hii inakuaje wadada mnisaidie, mbona guys wengi tu naowajua hawapo kwenye relations but wana furaha and they have fun a lot but ladies inakuaje?