mwanamabadiliko
JF-Expert Member
- Oct 30, 2010
- 903
- 1,474
Nimezunguka mikoa yote ya Tanzania, ila kitu ambacho nimekikuta mkoa wa Kilimanjaro ni cha upekee na utofauti mkubwa sana, Huu mkoa dominant force ni wachaga karibu asilimia 95% secta zote mkoa huu zimeshikiliwa na wachaga, cha ajabu ziwe sekta binafsi ama za kiserikali zote zimeshikiliwa na wachaga, nashangaa je serikali ndo haipendi Kilimanjaro ichanganyike na makabili mengine ama ni wao wenyewe wana Kilimanjaro, ni vitu vya ajabu sana.
Mikoa mingine yote Tanzania makabila yamechanyikana na watu wa makabila mbalimbali wamepata fursa ya kuwekeza mikoa hiyo siyo Kilimanjaro, mgeni kuwekeza Kilimanjaro lazma utafeli tu kwa asilimia kubwa.
Miongoni mwa sekta zilizojaa wachaga 94% ni Mabenki ya private na serikali hapa Moshi wamejaa wachaga, mashirika ya umma na taasisi za serikali, sekta binafsi yani masheli, maduka makubwa , mahoteli, viwanda, magereji, makandarasi.
Jamani hivi ni kwanini kama nadanganya , toa hoja kujitetea