Why Kilimanjaro wageni hawafanikiwi, wachaga wametawala mkoa wote

Nimezunguka mikoa yote ya Tanzania, ila kitu ambacho nimekikuta mkoa wa kilimanjaro ni cha upekee na utofauti mkubwa sana, Huu mkoa dominant force ni wachaga karibu asilimia 95% secta zote mkoa huu zimeshikiliwa na wachaga, cha ajabu ziwe sekta binafsi ama za kiserikali zote zimeshikiliwa na wachaga, nashangaa je serikali ndo haipendi kilimanjaro ichanganyike na makabili mengine ama ni wao wenyewe wana kilimanjaro, ni vitu vya ajabu sana.

mikoa mingine yote tanzania makabila yamechanyikana na watu wa makabila mbalimbali wamepata fursa ya kuwekeza mikoa hiyo co kilimanjaro. mgeni kuwekeza kilimanjaro lazma utafeli tu kwa asilimia kubwa.

Miongoni mwa sekta zilizojaa wachaga 94% ni Mabenki ya private na serikali hapa moshi wamejaa wachaga, mashirika ya umma na taasisi za serikali, sekta binafsi yani masheli, maduka makubwa , mahoteli, viwanda, magereji, makandarasi.

Jamani hivi ni kwanini kama nadanganya , toa hoja kujitetea

Mimi si mchaga na nimeishi Kilimanjaro. Moja ya tofauti ya mimi na wenyeji wangu ni ''uthubutu wa mambo'' wenyeji wangu walikuwa ni wepesi wa kuona fursa na kuzifanyia majaribio, mimi nilijaa aibu na kuangalia watu watanionaje nikifanya kitu cha kijasilia mali. Pili wanapo kuwa wanafanya biashara zao, wengi wao wanamatarajio makubwa ya kufika mbali, wengi wao hawana mchezo na biashara, mali, shamba n.k. ni nadra sana kucheza na mali ya mchaga. Ni watu wenye nidhamu ya pesa maana wengi wao kufilisika ni fedheha na aibu kubwa, ni watu wanaopenda matanuzi lakini bila kuathiri mitaji yao, ni watu wanaopenda mashindano ya kipato na heshima ya mtu kwao ni kipato sio suti na nguo za gharama, hivyo wengi hufanya bidii popote walipo ili kuhakikisha kuwa anajeuri ya pesa kwani kwa wachaga wengi kama huna pesa hutambuliki. Ndiyo maana wanaomiliki biashara nyingi Kilimanjaro ni wenyeji wa mikoa hiyo kwani wao toka zamani wanajua kutafuta. Wachaga wengi hutumia ujinga na uvivu wa wenyeji wa mikoa mbalimbali kujinufaisha ndiyo maana nenda popote utaambiwa kanunue kwa mchaga, wao popote kambi ilimradi pana fursa. Wachaga ni mfano wa kuigwa na kama watu wote wangekuwa na moyo wa kutafuta kama wao umaskini siku nyingi kwenye nchi hii ungakuwa hadithi.
 
Binafsi Nilikuwa Tunafanya Biashara Na Mchagga Kishkaji Tu Na Uaminifu ( Kama Unavyotujua Watanzania) Hapa Nilipo, Kanidhulumu Milion 200 Hapa Nilipo Sina Hamu Nao. Kwasababu Mimi Ninafanya Kazi Fulani Ya Ukaguzi, Nikikuta Mchagga Ana Kosa Sina Huruma Hata Kidogo. Ni Wakabila, Wabinafsi, Wadhulumaji Sana
Ujinga wako Acha akudhulimu tu kyasaka
 
Na bado ndiyo maana wakaitwa kaskazini kule ni kichwan lazima waongoze
 
Binafsi Nilikuwa Tunafanya Biashara Na Mchagga Kishkaji Tu Na Uaminifu ( Kama Unavyotujua Watanzania) Hapa Nilipo, Kanidhulumu Milion 200 Hapa Nilipo Sina Hamu Nao. Kwasababu Mimi Ninafanya Kazi Fulani Ya Ukaguzi, Nikikuta Mchagga Ana Kosa Sina Huruma Hata Kidogo. Ni Wakabila, Wabinafsi, Wadhulumaji Sana

(bold) hahahah nimekumbuka uzi Fulani uliletwa hapa kuhusu Mafuru aliyetumbuliwa kule hazina na ukaelezea wajita wanalivyo na maringo na makidai, yego mkaruka awe wachasugu, mwasivyomo!
 
Rudi ukajipange huna jipya nakupa kamfano kadogo tu pale bukoba biashara zoote zinamilikiwa na wahaya jaribu mgeni kufungua duka uone kama utapata wateja tena jamaa walivyokuwa wabinafsi kule kwao kiswahili kuongelewa ni kama mtu kuongea lugha ya kiingereza woote utakuta wanapiga kihaya kuanzia babu bibi mpaka mjukuu .
Nilikwenda Muleba Kwa mara ya kwanza nikiingia dukani naongeleshwa kihaya. Halafu wakijua wewe ni wakuja hata huduma inacheleweshwa ahudumiwe mhaya kwanza
 
Una uhakika ?mtaani kwetu migera kuna duka maarufu kama kwa mangi.duka hilo upata Wateja kuliko lolote lile mpaka kituo cha pikipiki kwa mangi.kwa taarifa wahaya wengi walikimbia mji Wa bk wapo pengine bk kumejaa wanyambo ambao hufanana wahaya,wahangaza,wanyarwanda, waganda,wasukuma na wengi,husikariri mkuu bk imebadilika sanaaa Fanya utafiti kabla ya kuongea half unaama mada usikurupuke
 
Nilikwenda Muleba Kwa mara ya kwanza nikiingia dukani naongeleshwa kihaya. Halafu wakijua wewe ni wakuja hata huduma inacheleweshwa ahudumiwe mhaya kwanza
Unaama mada wahaya walikukosea nini half muleba si bukoba ushamba
 
Back
Top Bottom