Why intelligent people drink alcohol and non intelligent less alcohol
natofautiana nawe kwa suala lakukatalia kwenye nyumba ukweli wakati huo ilikuwa ni kipindi cha kuuziana nyumba nae alistahili kuuziwa nyumba aliyokuwa akiishi lakini wajanja wakataka kumzidi kete wamtoe kisha wainunue wao maana mahala ilipo ni pa thamani kwa soko la nyumba. maskini mzee yule!wanafrastration za maisha, wana hustle lakini hawatoki halafu unakuta wenye akili za wastani au za kawaida sana, anachekesha kidogo anakula ten m, unatoka na singo moja kesho unasukuma hammer
nani anamkumbuka prof shaba wa pale muhimbili? ndiye mgunduzi wa seli za ini zinazosababisha kansa ya ini, na prof wa postportam pale muhimbili. lakini alistaafu akiwa hana hata nyumba, na walipotaka kumtoa kwa nguvu akawagomea, mwisho wa siku akakutwa na skendo ya kuuza maiti kwa 2.5m daaaaaaaaaah it was so bad bana
It doesnt apply to all people,some they are genious and doesnt consume alcohol at all.There are so many factors which can lead someone to be alcoholic, one of them being genetically inheritence...
wanafrastration za maisha, wana hustle lakini hawatoki halafu unakuta wenye akili za wastani au za kawaida sana, anachekesha kidogo anakula ten m, unatoka na singo moja kesho unasukuma hammer
nani anamkumbuka prof shaba wa pale muhimbili? ndiye mgunduzi wa seli za ini zinazosababisha kansa ya ini, na prof wa postportam pale muhimbili. lakini alistaafu akiwa hana hata nyumba, na walipotaka kumtoa kwa nguvu akawagomea, mwisho wa siku akakutwa na skendo ya kuuza maiti kwa 2.5m daaaaaaaaaah it was so bad bana
Thread hii nilikuwa nasoma title yake tu, nikawa naipita tu nikiamini kabisa kwamba hakuna haja ya kuisoma,kwasababu hata title yenyewe inaonyesha ignorance ya hali ya juu ya mwandishi.Leo nikaamua kuifungua, kumbe kweli ina ujinga mwingi.Mwandishi ana lack evidence of what he is talking about.In the scientific world we say no research,no right to speak.Lakini naomba nimalizie kwa kumjibu mwandishi wa thread hii kwamba,kitendo cha mtu mzima kufanya kitu chochote kisicho na faida yeyote katika maisha yake binafsi au hata familia yake ni kitendo cha kijinga,na ambacho kinaonyesha lack of good decesion making and common sense.Remember putting your mind often in a state of drunkenness makes you degenerate.Sasa wapi akili hapo.Acha mipombe hiyo.
Drinking is genetical? Scentific evidence please!
mada imekaa kushoto, mtoa mada alifanya utafiti wapi?
alitumia vigezo vipi vya kuwapata hao inteligent persons na kuangalia matumizi yao ya alcohol?
inteligent people we are smart and know side effects of alcohols! we do not drink at all or we are socialy drinkers!!