Hivi haiwezekani mtu kuishia darasa la saba au akawa hajaenda shule kabisa na akawa intelligent? Nadhani tumekalili kuwa watu intelligent ni madokta tu
Wanasema the more intelligent you are the more you consume alcohol .Doctors ,lawyers are the most alcoholic
Why intelligent people drink alcohol and non intelligent less alcohol
Wanasema the more intelligent you are the more you consume alcohol .Doctors ,lawyers are the most alcoholic
Wewe shaba ninanfahamu sana ndio ni Mlevi na hajawahi hata siku moja kuuza maiti na anawatoto wenye uwezo .uwe mwangalifu sitaki kukuambia ninaUhusiano nae gani ila ujue ninamjua mnooo.akifa Leo napanda ndege Kwenye mazishi yake .umeniuzi sana sana .usitaje jina la shaba hapa
It doesnt apply to all people,some they are genious and doesnt consume alcohol at all.There are so many factors which can lead someone to be alcoholic, one of them being genetically inheritence...
drunkerdness is the vice president of madness
aisee hivi unamaanisha wafuasi wa ibilisi wanajua kufir....... au kufarijiana?Kweli wafuasi wa ibilisi wanajua kufarijiana.
Hivi haiwezekani mtu kuishia darasa la saba au akawa hajaenda shule kabisa na akawa intelligent? Nadhani tumekalili kuwa watu intelligent ni madokta tu
aisee hivi unamaanisha wafuasi wa ibilisi wanajua kufir....... au kufarijiana?
Why intelligent people drink alcohol and non intelligent less alcohol
Why intelligent people drink alcohol and non intelligent less alcohol
Wanasema the more intelligent you are the more you consume alcohol .Doctors ,lawyers are the most alcoholic
kuna ambazo kwenye ubongo zinaathiri sehemu moja na pombe mojawapo ni valium. dawa hii ni ya usingizi lakini huwa wanapewa pia watu wanaopata madhara ya kuacha pombe. so inawezekana mtoto akitumia sana dawa kama hizi ubongo wake ukawa kama mtu anayekunywa pombe.Mimi sibishi wala kukubaliana na maoni yenu kwa sababu hakuna hata mmoja ambaye ametoa maoni ya kisayansi,ila naomba anaefahamu kama kuna utafiti wa kisayansi unaoonesha kwamba mtoto akitumia dawa(medicine) sana kuna uwezekano mkubwa sana kwamba ukubwani atakua mlevi anijuze.