Why intelligent people drink alcohol?

Why intelligent people drink alcohol?

Thread hii nilikuwa nasoma title yake tu, nikawa naipita tu nikiamini kabisa kwamba hakuna haja ya kuisoma,kwasababu hata title yenyewe inaonyesha ignorance ya hali ya juu ya mwandishi.Leo nikaamua kuifungua, kumbe kweli ina ujinga mwingi.Mwandishi ana lack evidence of what he is talking about.In the scientific world we say no research,no right to speak.Lakini naomba nimalizie kwa kumjibu mwandishi wa thread hii kwamba,kitendo cha mtu mzima kufanya kitu chochote kisicho na faida yeyote katika maisha yake binafsi au hata familia yake ni kitendo cha kijinga,na ambacho kinaonyesha lack of good decesion making and common sense.Remember putting your mind often in a state of drunkenness makes you degenerate.Sasa wapi akili hapo.Acha mipombe hiyo.
Why intelligent people drink alcohol and non intelligent less alcohol
 
wanafrastration za maisha, wana hustle lakini hawatoki halafu unakuta wenye akili za wastani au za kawaida sana, anachekesha kidogo anakula ten m, unatoka na singo moja kesho unasukuma hammer
nani anamkumbuka prof shaba wa pale muhimbili? ndiye mgunduzi wa seli za ini zinazosababisha kansa ya ini, na prof wa postportam pale muhimbili. lakini alistaafu akiwa hana hata nyumba, na walipotaka kumtoa kwa nguvu akawagomea, mwisho wa siku akakutwa na skendo ya kuuza maiti kwa 2.5m daaaaaaaaaah it was so bad bana
natofautiana nawe kwa suala lakukatalia kwenye nyumba ukweli wakati huo ilikuwa ni kipindi cha kuuziana nyumba nae alistahili kuuziwa nyumba aliyokuwa akiishi lakini wajanja wakataka kumzidi kete wamtoe kisha wainunue wao maana mahala ilipo ni pa thamani kwa soko la nyumba. maskini mzee yule!
 
mada imekaa kushoto, mtoa mada alifanya utafiti wapi?
alitumia vigezo vipi vya kuwapata hao inteligent persons na kuangalia matumizi yao ya alcohol?
inteligent people we are smart and know side effects of alcohols! we do not drink at all or we are socialy drinkers!!
 
It doesnt apply to all people,some they are genious and doesnt consume alcohol at all.There are so many factors which can lead someone to be alcoholic, one of them being genetically inheritence...

Drinking is genetical? Scentific evidence please!
 
wanafrastration za maisha, wana hustle lakini hawatoki halafu unakuta wenye akili za wastani au za kawaida sana, anachekesha kidogo anakula ten m, unatoka na singo moja kesho unasukuma hammer
nani anamkumbuka prof shaba wa pale muhimbili? ndiye mgunduzi wa seli za ini zinazosababisha kansa ya ini, na prof wa postportam pale muhimbili. lakini alistaafu akiwa hana hata nyumba, na walipotaka kumtoa kwa nguvu akawagomea, mwisho wa siku akakutwa na skendo ya kuuza maiti kwa 2.5m daaaaaaaaaah it was so bad bana

Nimeguswa sana na hiyo ya dr
 
Thread hii nilikuwa nasoma title yake tu, nikawa naipita tu nikiamini kabisa kwamba hakuna haja ya kuisoma,kwasababu hata title yenyewe inaonyesha ignorance ya hali ya juu ya mwandishi.Leo nikaamua kuifungua, kumbe kweli ina ujinga mwingi.Mwandishi ana lack evidence of what he is talking about.In the scientific world we say no research,no right to speak.Lakini naomba nimalizie kwa kumjibu mwandishi wa thread hii kwamba,kitendo cha mtu mzima kufanya kitu chochote kisicho na faida yeyote katika maisha yake binafsi au hata familia yake ni kitendo cha kijinga,na ambacho kinaonyesha lack of good decesion making and common sense.Remember putting your mind often in a state of drunkenness makes you degenerate.Sasa wapi akili hapo.Acha mipombe hiyo.

Acheni kutu boa bwana tulio bar saa hizi.Waitress one for the raod please!
 
Drinking is genetical? Scentific evidence please!

I expected this question from the beginning,but I wonder why it has come so late,anyway thanks.It is very difficult to prove it but many scientiststs have found out that descendants of alcoholic alliens have a very high risk of becoming alcoholic themselves depending on environment they live and the level of stress they face.Being a sufferer myself I once consulted a doctor for rehab when I found that things were going out of control.then I wondered when the doctor asked me if I had anybody in my family who drinks(father,mother,granys e.t.c)I just said yes and I mentioned a few,after that I asked my doctor,does it have anything to do with my problem..??He told me yes,most people are having alcohol problem from inheritence.When I wanted to know it in details he refused and told me that the only thing I have to focus on is living clean and stay away from alcohol,cause when I know it will be like justification for me to drink more.So Tram Almasi give me time and yes with appropriate scientific proof and with more time I will come back to you....
 
Last edited by a moderator:
mada imekaa kushoto, mtoa mada alifanya utafiti wapi?
alitumia vigezo vipi vya kuwapata hao inteligent persons na kuangalia matumizi yao ya alcohol?
inteligent people we are smart and know side effects of alcohols! we do not drink at all or we are socialy drinkers!!

Ceteris Paribas..
 
If there is anybody who can watch BBC International now,now,now,they are discussing addiction especially alcohol,,,,
 
Back
Top Bottom