Why intelligent people drink alcohol?

Why intelligent people drink alcohol?

Why intelligent people drink alcohol and non intelligent less alcohol

natalia acha hizo kwanini usiulize kwa kiswahili walevi wamekuponza na kiingereza chao wanachoongea wakiwa wamelewa nawe unauliza kwa kiingereza hata kama ni maintelijent unataka kujua mbona wanajua kiswa
the language use is not friend for me and even drinker intelegent especially of bongo
 
Hapa nashindwa kuelewa tunaposema wenye akili (hivi ni wale tu waliopasua darasani mpaka kufika university level?) au hata wale watu wa kawaida lakini vichwa vyao vinamudu mikikimiki ya maisha ya kila siku
 
wanafrastration za maisha, wana hustle lakini hawatoki halafu unakuta wenye akili za wastani au za kawaida sana, anachekesha kidogo anakula ten m, unatoka na singo moja kesho unasukuma hammer
nani anamkumbuka prof shaba wa pale muhimbili? ndiye mgunduzi wa seli za ini zinazosababisha kansa ya ini, na prof wa postportam pale muhimbili. lakini alistaafu akiwa hana hata nyumba, na walipotaka kumtoa kwa nguvu akawagomea, mwisho wa siku akakutwa na skendo ya kuuza maiti kwa 2.5m daaaaaaaaaah it was so bad bana

Nina wasiwasi wewe uliyeandika hii article hapa juu Humfahamu Professor Shaba.... Ninakushauri tu uache kutunga habari za mitaani. Ninamfahamu huyu Mzee sana ana heshima zake kubwa sana sana nje na ndani ya nchi. Yeye ndo kati ya veterans wachache sana katika fani ya udaktari hapa East africa ........
 
Au Kwa nini watu wengi hadi apige kilevi kidogo ndo anaweza kuongea kizungu?
 
Wewe shaba ninanfahamu sana ndio ni Mlevi na hajawahi hata siku moja kuuza maiti na anawatoto wenye uwezo .uwe mwangalifu sitaki kukuambia ninaUhusiano nae gani ila ujue ninamjua mnooo.akifa Leo napanda ndege Kwenye mazishi yake .umeniuzi sana sana .usitaje jina la shaba hapa

kuwa uliko na kupanda ndge kuja akifa hakufanyi alichokifanya kuwa fallasy: ni kweli shaba anawatoto 5 very bright na wote ni madaktari kama yeye na wana uraia wa marekani kwa hiyo ni wa marekani. hilo tu kwanza linawapunguzia credit na baba yao kwa kuukana utz wao kama wewe
anyway back to the point! umtete au usmtete, yule mzee ni frustrated na mlevi pia. tuulize tuliokuwa muhimbili miaka ya 2005 mpaka 10 tutakwambia vizuri skendo ya kuuza maiti. usitoke mapovu kisa ndg yako
hata kama ni chungu, lakini ndo fact
 
Intelligent wewe unaelewaje? How do you measure intelligence? Kwamba mtu akiwa na Degree, Masters, PhD Ndio intelligent? Au akisoma fani fulani? Ningependa uniambie unamaanisha nini kusema intelligent! Kwa kifupi unatumia kigezo gani mpaka kufikia kusema huyu ni intelligent na huyu sio?
 
Mzee shaba tangia yupo 16 ni Mlevi sana .Ana akili mnoo,ila eti along'ang'ania nyumba ya serikali.shaba ananyumba mpaka chicago.na nyingine oysterbay ,msasani,watoto wake woteeeeee madaktari.hiyo Maiti walim set up.unajua shaba mtoto wa nani.unajua how much ame inherit from original shaba.usicheze na shabas kabisa
 
kuwa uliko na kupanda ndge kuja akifa hakufanyi alichokifanya kuwa fallasy: ni kweli shaba anawatoto 5 very bright na wote ni madaktari kama yeye na wana uraia wa marekani kwa hiyo ni wa marekani. hilo tu kwanza linawapunguzia credit na baba yao kwa kuukana utz wao kama wewe
anyway back to the point! umtete au usmtete, yule mzee ni frustrated na mlevi pia. tuulize tuliokuwa muhimbili miaka ya 2005 mpaka 10 tutakwambia vizuri skendo ya kuuza maiti. usitoke mapovu kisa ndg yako
hata kama ni chungu, lakini ndo fact
Aliekuambia mzee shaba raia wa USA ni nani.Humjui shaba kaa pembeni.mzee shaba kaka ake Austin shaba.Raia wa USA atakuaje naibu spika
 
Eehee! Kizazi cha pombe mnaanza kuhubiri, anzisheni makanisa na nyinyi basi. Mtu apoteze akili zake alafu awe genius. Kwa taarifa yenu. Mtu akilewa akili yake haiwezi kufanya jambo jipya zaidi ya lile alilozoea kulifanya. Hata daktari atafanya normal operation, lakini ikitokea complication yoyote ana UA mgonjwa. Dereva ateendesha gari lakini chochote kitakacho badilika njiani hawezi kukwepa ajali.

Acheni kusifia ujinga. Kazi kujikojolea na kuto mitusi na kuvua nguo hadharani na kulala mitaroni kisha mnafungishwa ndoa za kifudi fudi.
 
wanafrastration za maisha, wana hustle lakini hawatoki halafu unakuta wenye akili za wastani au za kawaida sana, anachekesha kidogo anakula ten m, unatoka na singo moja kesho unasukuma hammer
nani anamkumbuka prof shaba wa pale muhimbili? ndiye mgunduzi wa seli za ini zinazosababisha kansa ya ini, na prof wa postportam pale muhimbili. lakini alistaafu akiwa hana hata nyumba, na walipotaka kumtoa kwa nguvu akawagomea, mwisho wa siku akakutwa na skendo ya kuuza maiti kwa 2.5m daaaaaaaaaah it was so bad bana

Umemaliza bosi sichangii tena huo ndo ukweli halisi na waliotoka sio walevi
 
Intelligent wewe unaelewaje? How do you measure intelligence? Kwamba mtu akiwa na Degree, Masters, PhD Ndio intelligent? Au akisoma fani fulani? Ningependa uniambie unamaanisha nini kusema intelligent! Kwa kifupi unatumia kigezo gani mpaka kufikia kusema huyu ni intelligent na huyu sio?

Hivi haiwezekani mtu kuishia darasa la saba au akawa hajaenda shule kabisa na akawa intelligent? Nadhani tumekalili kuwa watu intelligent ni madokta tu
 
According to FCC intelligent people tend to drink more alcohol na wanachukua muda mrefu kulewa,wasiokuwa na akili glass moja ya wine tu wamelewa.chemical imbalance and DNA.watu wanaenda rehab wapi

Acha Pumba wewe kuna Mabogus kibao wanaweza kukesha bar wanakunywa uwezo wa ini na akili vinahusiana nini?
 
kuwa uliko na kupanda ndge kuja akifa hakufanyi alichokifanya kuwa fallasy: ni kweli shaba anawatoto 5 very bright na wote ni madaktari kama yeye na wana uraia wa marekani kwa hiyo ni wa marekani. hilo tu kwanza linawapunguzia credit na baba yao kwa kuukana utz wao kama wewe
anyway back to the point! umtete au usmtete, yule mzee ni frustrated na mlevi pia. tuulize tuliokuwa muhimbili miaka ya 2005 mpaka 10 tutakwambia vizuri skendo ya kuuza maiti. usitoke mapovu kisa ndg yako
hata kama ni chungu, lakini ndo fact
Hivi kuukana uTz, Tanzania hii ya leo kunaweza kumpunguzia mtu credit? On the contrary, mimi naona hata aibu leo hii kuwa ni mtanzania.
 
Kuna huyu kaka alikuwa ikulu anaitwa Dim, very intelligent. Lakini ni chapombe hana mfano. viroba ndio chakula chake. Anadai sababu ni frustrations. Sijui kwa nini ndugu zake hawampeleki hata rehab na uwezo wanao
 
Ni kwasababu muda wote asipokuwa sober anafikiria kitu important so alcohol inakuwa kama refreshment kwake anapunguza vitu vya kuwaza kichwani na anahisi ndio anarelax

Intelligent people they will never be happy but they can relax

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom