There is no one straight answer to explain this, but it is true that most intelligent people drinks(thought not all,some doesnt)I personally thinks that they drink cause their brain is strong enough to handle it,I think also you know some people who cant finish even two cans of beer already drunk.But on the other side I think the alcohol also helps them to kill some brain cells and make it easy to socialize with low level people ,cause when they are sober they always think in another level...
Wanasema the more intelligent you are the more you consume alcohol .Doctors ,lawyers are the most alcoholic
Why intelligent people drink alcohol and non intelligent less alcohol
Why intelligent people drink alcohol and non intelligent less alcohol
Wewe shaba ninanfahamu sana ndio ni Mlevi na hajawahi hata siku moja kuuza maiti na anawatoto wenye uwezo .uwe mwangalifu sitaki kukuambia ninaUhusiano nae gani ila ujue ninamjua mnooo.akifa Leo napanda ndege Kwenye mazishi yake .umeniuzi sana sana .usitaje jina la shaba hapawanafrastration za maisha, wana hustle lakini hawatoki halafu unakuta wenye akili za wastani au za kawaida sana, anachekesha kidogo anakula ten m, unatoka na singo moja kesho unasukuma hammer
nani anamkumbuka prof shaba wa pale muhimbili? ndiye mgunduzi wa seli za ini zinazosababisha kansa ya ini, na prof wa postportam pale muhimbili. lakini alistaafu akiwa hana hata nyumba, na walipotaka kumtoa kwa nguvu akawagomea, mwisho wa siku akakutwa na skendo ya kuuza maiti kwa 2.5m daaaaaaaaaah it was so bad bana
Wewe unajifanya unamjua sana shaba .Dr shaba junior aliuliwa USA kwa sababu gani? Na wamarekani walimlipa baba ake pesa ngapi ?uwe mwangalifuwanafrastration za maisha, wana hustle lakini hawatoki halafu unakuta wenye akili za wastani au za kawaida sana, anachekesha kidogo anakula ten m, unatoka na singo moja kesho unasukuma hammer
nani anamkumbuka prof shaba wa pale muhimbili? ndiye mgunduzi wa seli za ini zinazosababisha kansa ya ini, na prof wa postportam pale muhimbili. lakini alistaafu akiwa hana hata nyumba, na walipotaka kumtoa kwa nguvu akawagomea, mwisho wa siku akakutwa na skendo ya kuuza maiti kwa 2.5m daaaaaaaaaah it was so bad bana
According to FCC intelligent people tend to drink more alcohol na wanachukua muda mrefu kulewa,wasiokuwa na akili glass moja ya wine tu wamelewa.chemical imbalance and DNA.watu wanaenda rehab wapimuda kidogo uliopita nilikuwa naandika kitabu changu kuhusu pombe kupumzika jf ndo nakuta hii thread! kiukweli zaidi ya asilimia 50 ya ulevi unasababishwa na urithi. ilionekana watoto waliozaliwa na wazazi walevi kuna uwezekano mkubwa kuwa walevi hata wakilelewa na wazazi wasio walevi. kiukweli hakuna uhusiano wa pombe na akili. pia mtu kuweza mudu kunywa pombe nyingi sio akili bali inategemea sana uwezo wa ini lake kumeng'enya pombe pia kiasi cha maji kilichopo mwilini mwake. vipi utaniungisha kitabu?