Why don't we get married to our first lovers?.....

na biggy kufuatilia za sisi je?? kosa mbele za sirikali na Mola pia

by the way sijakupigia makofi wala

hustahili, unless u quit kudumisha mila only then will pigia u makofi kedekede

Yaani mimi kukufuatilia wewe ni haki yangu. Ni sheria kwa mujibu wa katiba.

Hiyo kutonipigia makofi dawa yako iko jikoni.
 
ikichemka wewe si utakuwa baa, naimwaga
 
ikichemka wewe si utakuwa baa, naimwaga

bht leo nimetamani kukusalimia kwa kiingereza ,GuDi AFTERNOON. (kwa hivi nilivyoitoa mara waswahili kesho wanaroga)

reverse kwenye mada: hii mada ina kaukweli lakini for security reason sitochangia
 
Najisikia kuingiwa na kawivu flani hivi. Sijui kwanini?
 
Hapa kazi ipo
kama kuna waliooa/kuolewa na firstlovers pse tupeni siri
 
Najisikia kuingiwa na kawivu flani hivi. Sijui kwanini?

heheeh huo mstari nimeuiba kwenye movie, nikaona niulembee kwa bht, acha mawivu bana ,wanasayansi wanasemaga wivu zinasababisha kuota mvi kwapani kabla kichwani na hii ina athari kisaikolojia
 
bht leo nimetamani kukusalimia kwa kiingereza ,GuDi AFTERNOON. (kwa hivi nilivyoitoa mara waswahili kesho wanaroga)
reverse kwenye mada: hii mada ina kaukweli lakini for security reason sitochangia

dah longi kweli hujanitargeti kisalamu mpwazz ndo maana leo ijumaa yangu iko tofauti sana ujue!! senks mana!

Inachemshwa na mafuta ya kitimoto hapa family pub.

sasa hiyo mbona sio dawa tena ni my fevoraiti biggy!!

Najisikia kuingiwa na kawivu flani hivi. Sijui kwanini?

wa nini tena nawee unaona madhara yake hapo chini? mi nilifikir hizi kwako huwa sio threats wala nini

heheeh huo mstari nimeuiba kwenye movie, nikaona niulembee kwa bht, acha mawivu bana ,wanasayansi wanasemaga wivu zinasababisha kuota mvi kwapani kabla kichwani na hii ina athari kisaikolojia
 
dah longi kweli hujanitargeti kisalamu mpwazz ndo maana leo ijumaa yangu iko tofauti sana ujue!! senks mana!

sasa hiyo mbona sio dawa tena ni my fevoraiti biggy!!

wa nini tena nawee unaona madhara yake hapo chini? mi nilifikir hizi kwako huwa sio threats wala nini

heheh nilikuwekea spesho kwa friday.

acha nilog out ,naenda kufanya kampeni ya zinduka kidogo.
 
poa mpwa unikumbuke kwenye gawiwo l anet za msaada za 'wamerekani' mies sijazipata bado
 
What league?...watoto siku hizi wanajua mabo kuliko wazazi wao...

u can google it.. Duh! tell ur boys to stay away from my girls....

msiwasingizie watoto...labda wazazi wa sikuhizi na jamii ndio wamepotea...
 
..thank god there is trial and error period..

...most people's lives would be helll!...

can you imagine being struck with lijanaume lilevi huna chemistry nalo..eti tu kwa vile lilikubikiri...lol

....
 
tell ur boys they are out of my girl's league...
Where is the lurrrv jamani? :hug:🙂
Hehehe Noname, I pray your dreamy ideals work. But unajua nimenotice nini children of parents who are unreasonably strict tend to be the most wayward,nymphos e.t.c. No body has given me better 'lip service' than the daughter of a pastor and watoto wama sheikh ndio duh, can't write stuff they do here. Lakini what happens (and I don't wish this to you) is that they will be doing stuff behind your back and even afraid of asking your opinion and that is the recipy for doing the worst!!
 
G nihesabu kuwa mmoja wa walioolewa na first lover's wao ...🙂

hakuna masuala ya trial and error hapa ....ni one kick tu 😉
 
Back
Top Bottom