Why do people close eyes when kissing?

Why do people close eyes when kissing?

I love kissing....
And when am in, every activity in my body stop except breathing and touching.

The first day i kiss him.... my hand auto moves to his lap near his P, I dont know what happens we stop.

To me kissing is more than making love, I love it.
So touching
 
Nitaona hanipi attention.. Me nitaendelea kufumba ili nisijue kama yeye amekodoa
Vizuri. Kama vipi huku wewe umefumba mikono yako peleka taratiiiibu machoni kwake uwe kama unamfumba nayeye hahaha
 
Wanafunga macho kwa sababu wanaogopa na wanajua wanachofanya ni against God's will!! Refer kipindi adam na eve walipojificha baada ya kugundua wamekosea!!

Wengine wanafunga kwa sababu wanaogopa kushuhudia kosa wanalofanya!!

BTW kwa mtindo huu wa kuwaza kiss asubuhi hii TANZANIA YA VIWANDA SI ITABAKI KUWA WIMBO WA WANASIASA???
Tushachoka na hio Tanzania ya viwanda Tanzania ya viwanda.. Hii Tanzania ya elnino na economic crisis. Pesa hazipatikani wananchi wanakufa njaa unatuambia viwanda huh!! Solve the urgent problems others will follow
 
Hahahaahhahahaahahahahaha nimeamua nini
Best?? Ni weekend ujue afu Kanda ya ziwa mvua zimeanza kama usiku wa Leo mpaka saivi hali ya hewa si rafiki kabisaaa
naona thread mbilimbili

weekend hii haswa kama upo mpweke na mvua hizii...rahajee....!!!

yaan hakuna mvua nzuri kama ya weekend bwana!!
 
Mipicha yoote sikuona ngozi nyeusi ila hao wanyamweri tu. Lakini swali kauliza mmatumbi si ajabu hii?? Mbona sijaona jibu la mnyamweri hata mmoja wanaokissiana?? Kwetu hayako haya na kama kunayo endeleeni ku copi na ku pesitiii
Sema kwako wewe hayapo hayo na bila shaka ipo namna si bure.. Wazee tu wanakiss iweje wewe kijana?!
 

Attachments

  • canstock2728259.jpg
    canstock2728259.jpg
    6.8 KB · Views: 39
Bruno mars ~Grenade~
should've known you was trouble,from the first kiss had your eyes wide open, why were they open?

Hata ukisali huku umekodoa macho utaonekana wewe huna Mungu yaani roho mtakatifu hayuko ndani yako hujaguswa kabisa na ombi lile kiasi kwamba hata ikipita nzi attention zote zinahamia kwa nzi.
 
Sema kwako wewe hayapo hayo na bila shaka ipo namna si bure..

mahondaw;
Sijakuelewa vizuri. Huku kwenye mpakato wangu au?? Sijaona picha ya mmatumbi uloiweka hapo. Hiyo namna ni ipi tena? Kweli weye na huo urembo wako wote utakubali nikunyonye mdomo/ulimi huku nanuka sonyo?? Acheni jamani. Hakuna domo linalonuka vibaya ka domo la sonyo na mataputapu remix. Ndo maana kwetu haya yalikuwa maajab hata kuangalia yakifanyika. Ukiweka picha ya kimatumbi hapo, tiyari utasikia; Hayo si maadili tena ni picha chafu hizo. Haya jaribbu uone ban ikikushukia saa hii hii
 
Mbona umeweka picha za kizungu? Weka zetu halafu utapata uhalisia,kwanza kukisi sisi siyo utamaduni wetu!!!ni mambo ya kidhungu tuu!!
 
Back
Top Bottom