Why do I love Russia

Nyeupe ni nyeupe tu!! hakuna siku itakupenda tena afadhali Magahribi huko wanatujua kidogo waliishi na sisi!! sasa hivi wanajuta kwa madhambi yao!!!! lkn urussi nzima hawajawahi ishi na sisi!! hawa walidharau jumla kuishi na manyani sasa eti leo urogwe wende huko utapigwa mpaka usahau njia uloijia!
 
Tulia wewe..
giphy.gif
 
Kweli aisee na hao hao weupe walienda kuishi na waarabu(Libya, Afghanistan, Iraq, Syria) na hakika wamewajengea miji yao vzr saaaana,wamewapelekea ustaarabu wa kimagharibi.

Hakika nyeupe Ni nyeupe tu.
FN-NfsLX0AIzOqJ.jpg
 
Nyeupe ni nyeupe tu!! hakuna siku itakupenda tena afadhali Magahribi huko wanatujua kidogo waliishi na sisi!! sasa hivi wanajuta kwa madhambi yao!!!! lkn urussi nzima hawajawahi ishi na sisi!! hawa walidharau jumla kuishi na manyani sasa eti leo urogwe wende huko utapigwa mpaka usahau njia uloijia!
Soma historia.
Warusi walitoa msaada kwa freedom fighters wa kusini mwa Afrika.
Walituma silaha, washauri na wakufunzi wa kijeshi, walituma askari wachache kusaidia wapigania uhuru waafrika.
Waliishi nao maporini kama binadamu sawa.
 
Labuda kidooog kisiasa na kiuchumi tabaka la juu kiutawala watajua lkn rais mmoja mmoja wakuishi nae huko mitaani mwee!! utanishawishi lkn kwa historia yao ilivoo??! waliyo mfanyia Dr cheka! mweee !! siwaaminiga hawa!!

ila napenda zipigwe washinde wao ili waweze ku ballance maisha ya weusi!! wao hawana uzoefu na unyonyaji kwa hiyo lazima tutapeta sana sisi weusi!! na kule west watatubembeleza tuwe kwao!! watapunguza dharau!

sisi tutachagua twende wapi kuzuri!! na mbegu yetu ni nzuri
 
FUATILIA VEMA HISTORIA YA PUTIN MWAKA HUO UNAOSEMA ALIKUWA TANZANI HAKUWA TANZANIA😂😂😂

REUTERS
A black and white image which some people falsely claim shows Russian President Vladimir Putin training liberation movements in southern Africa, has been circulating.
It has been used by some to justify why African countries should support Russia in the war in Ukraine
 
Labuda kidooog kisiasa na kiuchumi tabaka la juu kiutawala watajua lkn rais mmoja mmoja wakuishi nae huko mitaani mwee!! utanishawishi lkn kwa historia yao ilivoo??! waliyo mfanyia Dr cheka! mweee !! siwaaminiga hawa!!

ila napenda zipigwe washinde wao ili waweze ku ballance maisha ya weusi!! wao hawana uzoefu na unyonyaji kwa hiyo lazima tutapeta sana sisi weusi!! na kule west watatubembeleza tuwe kwao!! watapunguza dharau!

sisi tutachagua twende wapi kuzuri!! na mbegu yetu ni nzuri
Nenda kaishi huko we mweusi ndiyo utajua walivyo

Ova
 
Nenda kaishi huko we mweusi ndiyo utajua walivyo

Ova
Hao wala usipoteze muda kuwajaribu!! kwanza hawana cha fursa kwa wote wale! saana utapata mke au mme mweupe mifukoni! na pombe za bure!! angalia madaktari wote waliosoma urusi waleviiii umbwa!! km Dr Likoko wa kibaha Mweee!!

iliendaaa akaishia kuishi Chalinze tena uchochoroni tu jamani yule Babu alikuwa ana kunywa pombeeeee mpaka ana jinyea ni Mungu nisaidie! kwa pombe zile hakuzaa! sasa niende kufanya nini???....... hapo nimekupa ka mfano kadoogo tu!

wapo Madaktari wengi tu tena siyo wakali kwa visu na ustaarabu km wale waliosoma nchi za Magaharibi!.......shida tuuu ukienda kule utarudi na briefcase! na vitabu!! lkn USA mwee migari, mashine, matrekta viwanda, ukiwa mjanaja ndege!! akili mupya yaani kule

unaweza beba Hospital
 
Urusi HAIJAWAHI kuwa na watumwa weusi wala Urusi haikutengeneza soko la kufanya biashara ya watu weusi
(1600-1800).
Urusi KAMWE haikushiriki katika mkutano wa Berlin kushiriki Afrika kama kipande cha nyama ya mbuzi (1884).
Urusi HAIJAWAHI kukoloni, haikuendelezwa na kupora rasilimali za Afrika (1914-1960).
Urusi HAIJAWAHI kuwezesha mtandao wa usalama kwa viongozi wa Afrika kuficha fedha zilizoibiwa, kutumia fedha hizi zilizoibwa kujiendeleza na kisha kutoa fedha hizo hizo kwa Afrika kama mikopo.

Urusi haijawahi kuvamia na kuyumbisha nchi yoyote ya Kiafrika (Libya, Somalia, Kongo, Burkina Faso, Misri, Afrika Kusini, na kadhalika).
Urusi HAIJAWAUA Mpigania Uhuru yeyote wa Kiafrika lakini Uingereza na Marekani zimeua mamia ya Wawokozi wetu na maelfu ninyi wa Wapigania Uhuru wetu wa Kiafrika bado mnateseka katika magereza na shimo tofauti kote Amerika.

Ni nani Aliyemuua Marcus Garvey wa Black Panther USA.?
Aliyemuua Thomas Sankara wa Burkina Faso.!?
Aliyemuua Patrice Lumumba wa Kongo.?

Aliyemuua Malcolm X. Wa Black Panther.?

Aliyemuua Mu'ammar Al' Gaddafi wa Libya.?
Aliyemuua Kasisi Martin Luther King Mdogo wa Mwafrika Mmarekani.?

Aliyemuua Tupac Sharkur.?

Nani Alimuua Fela Kuti.?

Aliyemuua Stephen Biko wa Bantu huko Afrika Kusini.?

Nani Alimuua Solomon Mahlangu?

. Nani aliua BIAFRANS milioni 5.?

... na kadhalika. Waliofanya hayo hapo juu ndio wanasukuma simulizi kuwa "Urusi" imekuwa Boogeyman... Wale waliokoloni na kwa takriban miaka 100 walikataa kushiriki teknolojia yao na Afrika wanataka Afrika iwapende wanaowapenda na kuwachukia wanaowachukia.

Nah! Kamwe tena! Ikiwa Urusi ni Boogeyman, basi magharibi shetani mwenyewe Nchi za Magharibi na Urusi zinapaswa kutafuta suluhu la tatizo lao. Kutosha kwa mauaji ya Ukrainians wasio na hatia. Hapana kwa vita.
Nani kamuua Robert Nesta Marley?
 
Back
Top Bottom