Why did you cheat on me?

Why did you cheat on me?

Hivi thinking out of the box, kwa nini kugawa nje kwa both parties ikiwa ni kabla ya ndoa tunaita cheating. si kila mtu anakuwa anamiliki cha kwake ni baada ya ndoa tu ndio mnakuwa mwili mmoja. kabla ya hapo mi naona hamna cheating wala kuiba luti.. ni kwenda kujibuludisha na kila mtu ana haki ya kutumia kifaa chake atakavyo.
 
Ina maana hamtakiwa kuwa waaminifu kwenye mahusiano yenu?
 
Inawezekana tumeaminishwa tu, hivi unajua vitu vingi binadam tunafanya tu kwa sababu tumevikuta katika jamii hata hatujiulizi kwa nini.. labda kwa sababu ya magonjwa sawa, lakini nje ya hapo kuna sababu inakufanya we uchukie dem wako akimegwa na mwingine au yeye achukie we ukimega mwingine wakati hamna ndoa.
 
Mkuu, kujua kuwa mpenzi wako kamegwa inauma sana.
 
Ndio hicho ninachojiuliza sio kwamba mimi haniumi, ila je kwa nini inauma,, kwa nini tuumie kiasi hicho. wengine watasema wivu kwa nini wivu usiwe kwa dada au kaka. kwa nini kwa mpenzi wako.
 
Last edited by a moderator:
mwanamke ni habari nyingine kabisa sinaga neno la ziada kwao
 
Ndio hicho ninachojiuliza sio kwamba mimi haniumi, ila je kwa nini inauma,, kwa nini tuumie kiasi hicho. wengine watasema wivu kwa nini wivu usiwe kwa dada au kaka. kwa nini kwa mpenzi wako.

wivu wa mapenzi utakuaje kwa ndugu zako mkuu... ule upo kwa yule anayekufikisha dunia nyingine, sa ukijua kuna popoma anakuchapia lazima uumie!!!
 
Kwa nini tunaumia mkuu wakati huyo popoma atachovya na kuacha kila kitu vilevile,, ni bora angekuwa anamega kinaondoka angalau tungesema kinaisha lakini hii kitu haishi.. kwa nini tunaoneana wivu, kwa nini hatutaki hao mapopoma wamege na waondoke. sipati jibu mpaka sasa. na huwa najalibu kutokuwa na wivu ila kuna kipindi huwa nashindwa lakini nikijiuliza kwa nini wivu nakosa jibu.
 
mkuu kwa mwanamke ni mbaya aisee......assume wamepita jamaa wamekuzid maumbile!unajua effect yake???mi naamn mwanamke akicheat haina effect sana ila mwanamke ina affect maumbile yake!
 
Lakini kaka hicho ndio kinafanya mpaka wivu upande kiasi cha kupiga mtu na wengine wanaenda mbali kabisa mpaka anajiua na kuacha ujumbe nilimpenda sana lakini kaniibia
 
Kwa nini tunaumia mkuu wakati huyo popoma atachovya na kuacha kila kitu vilevile,, ni bora angekuwa anamega kinaondoka angalau tungesema kinaisha lakini hii kitu haishi.. kwa nini tunaoneana wivu, kwa nini hatutaki hao mapopoma wamege na waondoke. sipati jibu mpaka sasa. na huwa najalibu kutokuwa na wivu ila kuna kipindi huwa nashindwa lakini nikijiuliza kwa nini wivu nakosa jibu.

Acha masihara mzee, kuna jamaa wakipita sehemu wanaacha nyayo zao ambazo huwezi match, na hazifutiki kamwe.
 
Back
Top Bottom