Why CCM ni maarufu kwa watu wajinga na waliofeli maisha?

Ulitaka aisifie USAID au ungekuja na mapendekezo ya nini kifanyike wewe ulifanya nini ukafeli wapi unashauri nini.
 
Ukiweka mfumo Bora wa haki tutapata viongozi Bora.
Katiba ya ccm inampa mwenyekiti kuwa mtawala na sio kiongozi,hatutaki watawala kizazi hiki,Bali viongozi.
Labda turudishe mfumo wa kifalme.
Kwa waliowahi kuwa viongozi wanaelewa kinachoendelea
 
Ukiweka mfumo Bora wa haki tutapata viongozi Bora.
Katiba ya ccm inampa mwenyekiti kuwa mtawala na sio kiongozi,hatutaki watawala kizazi hiki,Bali viongozi.
Inaonesha mkuu wewe unachotaka ni kuona ccm imeondoka tu na baada ya hapo mengine tutajua huko huko.
 
Wewe umefaulu nini na chadema yako ya walevi?
Uwa najiuliza maswali haya sipati majibu unakuta mtu shule alifeli, maisha yameshamchapa kweli kweli wengine hata uwezo wa kununua shati hana anavaa shati limechanika. Lakini ukimleta kwenye siasa utasikia anasema hakuna kama Magufuli mtetezi wa wanyonge unajiuliza sasa kama ni mtetezi mbona ajamtoa huyu mtu kwenye hii hali?

Anasahau kwamba unyonge ni kete ya kujizolea publicity na ccm ni chama cha kibepari na unyonyaji ukitaka kutambua ili angalia wasitaafu wake na wafadhiri wake wote ni wafanyabiashara.

Unakuta mtu aelewi kwamba wanae kupata elimu bure ni haki yake tena sio tu elimu bure mpaka form 4 elimu bure mpaka chuo kikuu, kupata maji safi, umeme, ajira sio hisani ni haki ya kila mtanzania kwa sababu wanalipa kodi.

Binafsi nachukia sana mtu kunililia mtoto wake amekosa mkopo wa chuo wakati anaisifia ccm kwa kuleta maendeleo uku ccm wakielea kuitumia kete ya ujinga na umasikini kuendelea kutawa. Binafsi nauchukia sana umasikini.
 
Mkuu mie naelewa kuwa ccm ni tatizo na inatakiwa tuiweke pembeni ila tukimtoa ccm lazima awekwe mwengine na hapo ndio nauliza ni yupi huyo wa kuwekwa baada ya kumuondoa ccm?

Wenyewe wanasema awekwe hata shetani mradi ccm aondoke. Hapo ndipo tulipowashitukia.
 
Uwa najiuliza maswali haya sipati majibu unakuta mtu shule alifeli, maisha yameshamchapa kweli kweli wengine hata uwezo wa kununua shati hana anavaa shati limechanika. Lakini ukimleta kwenye siasa utasikia anasema hakuna kama Magufuli mtetezi wa wanyonge unajiuliza sasa kama ni mtetezi mbona ajamtoa huyu mtu kwenye hii hali?

Anasahau kwamba unyonge ni kete ya kujizolea publicity na ccm ni chama cha kibepari na unyonyaji ukitaka kutambua ili angalia wasitaafu wake na wafadhiri wake wote ni wafanyabiashara.

Unakuta mtu aelewi kwamba wanae kupata elimu bure ni haki yake tena sio tu elimu bure mpaka form 4 elimu bure mpaka chuo kikuu, kupata maji safi, umeme, ajira sio hisani ni haki ya kila mtanzania kwa sababu wanalipa kodi.

Binafsi nachukia sana mtu kunililia mtoto wake amekosa mkopo wa chuo wakati anaisifia ccm kwa kuleta maendeleo uku ccm wakielea kuitumia kete ya ujinga na umasikini kuendelea kutawa. Binafsi nauchukia sana umasikini.
Wanajipendekeza sana
 
Huuuu utumbo unaweza kupata na ndizi na ukashushia na bieere
 
Kweli kabisa mbumbumbu wengi ni wafia ccm.
 
Mjinga ni yule anayefikiri kwamba yeye ndio mwerevu kuwazidi wengine wote. Tatizo lake kila uchwao anakuwa analialia kama katoto kalikokosa lawalawa.
 
Ccm inapendwa na Makundi mawili moja ni wanufaika wa mfumo hapa wapo wakuu wa vyombo na idara zote, viongozi wa dini,na wote ambao bila ccm ni lzm wafe njaa,pili ni future less people ( wanyonge) Hawa ni mtaji wa wanasiasa unawapa elf 2,sukari,t shirt ,kofia na khanga wao wanakupa kura then unapotea 5yrs unarudi tena kuwanunua.
Why wanyonge,mnyonge ni mtu hoehae asiye na mbele yaani aliyefikia level ya juu ya kukata tamaa ya maisha hivo mwingine akikosa au akitumbuliwa ujihisi nafuu ya kuhalalisha kushindwa kwake,ni mtu mwenye chuki na waliofanikiwa akiamini umasikini na unyonge wake umeletwa na tajiri,ili uwe mnyonge ni lzm uwe mjinga,maana mjinga uamini matumaini hewa ( propaganda) za wanasiasa.
Ukiuondoa ujinga umeiondoa ccm case study ni ngome za ccm huwezi pata watu wanaojielewa wakachagua kupigia kura mateso yao.Watu wanaojielewa Wana reasoning.
Kwani wewe ccm ilikukosea nini....?? Wewe mbona zwazwa sana........kubavu kabisa......ccm ilimlea baba ako na mama ako na bibi yako na babu yako.......kosa lao nini hapa...... Uko ulaya na Marekani watu wananunua magari ya mabilioni na inakadiriwa kutuma miaka miwili tu basi.. wakati kuna mtu hata uwezo wa kununua mkate wa dora moja hana...... Huna basi huna endelea kumuomba Mungu ili akupe na wewe..........acha siasa za kishamba ukivaa shati limechanika huo uzembe wako.....maana kuna vingi vya kufanya sio lazima uajiriwe lift up your head broo......serikali ilichokufanyia we waulize waliokuzaa wamekufanyia nini.........maaana inawezekana uko peke yako kama mtoto kwenu lakin hata shamba la futi ishirini kupanda majani ya maboga na matembele hawaja kuandalia......mh kicheko🤣🤣🤣🤣🤣
 
Uwa najiuliza maswali haya sipati majibu unakuta mtu shule alifeli, maisha yameshamchapa kweli kweli wengine hata uwezo wa kununua shati hana anavaa shati limechanika. Lakini ukimleta kwenye siasa utasikia anasema hakuna kama Magufuli mtetezi wa wanyonge unajiuliza sasa kama ni mtetezi mbona ajamtoa huyu mtu kwenye hii hali?

Anasahau kwamba unyonge ni kete ya kujizolea publicity na ccm ni chama cha kibepari na unyonyaji ukitaka kutambua ili angalia wasitaafu wake na wafadhiri wake wote ni wafanyabiashara.

Unakuta mtu aelewi kwamba wanae kupata elimu bure ni haki yake tena sio tu elimu bure mpaka form 4 elimu bure mpaka chuo kikuu, kupata maji safi, umeme, ajira sio hisani ni haki ya kila mtanzania kwa sababu wanalipa kodi.

Binafsi nachukia sana mtu kunililia mtoto wake amekosa mkopo wa chuo wakati anaisifia ccm kwa kuleta maendeleo uku ccm wakielea kuitumia kete ya ujinga na umasikini kuendelea kutawa. Binafsi nauchukia sana umasikini.
Nilipita masaki nikaona mahekalu ya wastaafu, mwinyi, mkapa ni hatari, alafu viinyamkera Kama, vya lumumba wanalipwa buku 7 kelele tu wanatumika bila kujitambua
 
Uwa najiuliza maswali haya sipati majibu unakuta mtu shule alifeli, maisha yameshamchapa kweli kweli wengine hata uwezo wa kununua shati hana anavaa shati limechanika. Lakini ukimleta kwenye siasa utasikia anasema hakuna kama Magufuli mtetezi wa wanyonge unajiuliza sasa kama ni mtetezi mbona ajamtoa huyu mtu kwenye hii hali?

Anasahau kwamba unyonge ni kete ya kujizolea publicity na ccm ni chama cha kibepari na unyonyaji ukitaka kutambua ili angalia wasitaafu wake na wafadhiri wake wote ni wafanyabiashara.

Unakuta mtu aelewi kwamba wanae kupata elimu bure ni haki yake tena sio tu elimu bure mpaka form 4 elimu bure mpaka chuo kikuu, kupata maji safi, umeme, ajira sio hisani ni haki ya kila mtanzania kwa sababu wanalipa kodi.

Binafsi nachukia sana mtu kunililia mtoto wake amekosa mkopo wa chuo wakati anaisifia ccm kwa kuleta maendeleo uku ccm wakielea kuitumia kete ya ujinga na umasikini kuendelea kutawa. Binafsi nauchukia sana umasikini.
Wengine tukonao huku kitaa wakija bar wanatuomba bia ukiwauliza ccm inawasaidia nini hawana majibu
 
Back
Top Bottom