Why CCM ni maarufu kwa watu wajinga na waliofeli maisha?

Hauna chama hauna chama wakati unatetea tumbo la baba ako nyie ndiyo mnasemaga mimi sio shoga nimewekewa pipe mara moja tu
Nimesoma comments zako nyingi Kwenye huu Uzi Ila naona umekomalia Sana ushoga wakati hauendani na maudhui ya Uzi wenyewe, au upo Kwenye matangazo mkuu?
NOTE; kwasasa ushoga nchini Ni haramu labda subiri mashoga wenzio mpaka Karne watakayoingia ikulu ndo uanze kujinadi tena.
 
Kama ccm lilivyo genge LA mashoga na wapumbavu wote akili zenu zimemaliwa na kupigwa mkia.
Kwani yule mgombea wa CDM anaetetea haki ya mashoga kwa Mgongo wa haki za binadamu Kamati kuu ishampitisha? na inamtumia lini nauli ya kuja nchini ili aanze kampeni yake ya "Guys lives Matter"?

Adumu mgombea wa Urais CHADEMA kidumu chama Cha Mashoga.
 
Sie tunaotaka mabadiliko tunaagushwa na ndugu zetu wa upinzani, kwa nini hawaungani? Hapa ndo ccm inatupiga maana kura zinaenda nccr, Chadema, cuf etc. Sasa Basi ukiangalia upinzani hapo ndo shida inaanzia.
Mfano, katika wapiga kura chukulia ccm Ina 30% Kisha gawanya hiyo 70% inayobaki kwa nccr, cck,cuf act, Chadema utaona kabisa namba zinagoma.
Hata tukisema ccm ni ya wajinga na maskini tukumbuke ubinafsi wa vyama vyetu vya upinzani ndo zaidi ya hayo. Hebu tuangalie haya Mambo vzr
 
Kama una uhakika na ushahidi juu ya unachokiongea mahakama zipo huru nenda kafungue mashtaka zidi ya JMT na Kama unaona mahakama za nchini hazipo huru nenda kashtaki Kwenye mahakama ya kimataifa ipo tu pale Arusha au Ukiona hapakufai na Hapo nenda Uholanzi (Mahakama kuu ya Dunia).

Otherwise Kama ukiendelea kubwabwaja tu huku online utaendelea kuonekana mhuni/Mpumbavu na Mwenye akili za minyoo tu.
Wewe mbweha Mbona wewe ndiyo huna Akili? Uwezo wako wa kufikiri umefika mwisho aliyekuambia una Akili ni yule anayekupakata mkiwa mnavuta Bangi? Mifano yako ni ya kishamba sana bakia nayo huko huko gheto acha CCM wenye kujielewa wajenge hoja.
 
Ndo ujiulize Sasa kwamba unakuaje Mwanachama wa Chadema halafu usiwe mhuni,Mpumbavu na mtetezi wa haki za mashoga nchini?
Wewe ni mbumbumbu juha kilaza unawezaje kujua mhuni mpumbavu? Acha kuvuta Bangi ukajiona una Akili, tokea lini mjinga kama wewe akaweza kuona upumbavu?
 
Uwa najiuliza maswali haya sipati majibu unakuta mtu shule alifeli, maisha yameshamchapa kweli kweli wengine hata uwezo wa kununua shati hana anavaa shati limechanika. Lakini ukimleta kwenye siasa utasikia anasema hakuna kama Magufuli mtetezi wa wanyonge unajiuliza sasa kama ni mtetezi mbona ajamtoa huyu mtu kwenye hii hali?

Anasahau kwamba unyonge ni kete ya kujizolea publicity na ccm ni chama cha kibepari na unyonyaji ukitaka kutambua ili angalia wasitaafu wake na wafadhiri wake wote ni wafanyabiashara.

Unakuta mtu aelewi kwamba wanae kupata elimu bure ni haki yake tena sio tu elimu bure mpaka form 4 elimu bure mpaka chuo kikuu, kupata maji safi, umeme, ajira sio hisani ni haki ya kila mtanzania kwa sababu wanalipa kodi.

Binafsi nachukia sana mtu kunililia mtoto wake amekosa mkopo wa chuo wakati anaisifia CCM kwa kuleta maendeleo uku ccm wakielea kuitumia kete ya ujinga na umasikini kuendelea kutawa. Binafsi nauchukia sana umasikini.
Tafuta kama kuna mtoto wa kiongozi wa CCM anayesoma hizi shule za kijinga, mtaji wa CCM ni ujinga wa watu.
 
Kwani yule mgombea wa CDM anaetetea haki ya mashoga kwa Mgongo wa haki za binadamu Kamati kuu ishampitisha? na inamtumia lini nauli ya kuja nchini ili aanze kampeni yake ya "Guys lives Matter"?

Adumu mgombea wa Urais CHADEMA kidumu chama Cha Mashoga.
Tanzania ushoga ndiyo umezui CCM kuleta maendeleo? Ushoga ndiyo umetafuna trilion 1.5 mpaka kumtoa CAG kafara? Ushoga ndiyo umezuia kujenga viwanda Hosptal mashule barabara? Kwanza Tanzania ushoga haupo kwani jamii yenyewe haitaki ushoga, acheni ujinga Nchi ina miaka zaidi ya 50 haina maendeleo sasa mnajisifia kujenga reli na miradi mingi utazani ni pesa binafsi toka kwenu mifukoni, maendeleo ni lazima kwa watanzania kwani ni pesa zao wanazolipa kodi, maendeleo siyo Hisani ya CCM.
 
Nimesoma comments zako nyingi Kwenye huu Uzi Ila naona umekomalia Sana ushoga wakati hauendani na maudhui ya Uzi wenyewe, au upo Kwenye matangazo mkuu?
NOTE; kwasasa ushoga nchini Ni haramu labda subiri mashoga wenzio mpaka Karne watakayoingia ikulu ndo uanze kujinadi tena.
Eti na wewe huko CCM wanakuona una Akili? Kama CCM wanakutegemea kuwa wewe ndiyo mwenye Akili hao wanaokutegemea watakuaje? wewe pengine ni shoga hutaki kuona shoga wengine wasije kukuvurugia hapo gheto kwa cyprian Musiba unakoshinda ukivuta Bangi kisha kuja kusumbua watu mitandaoni.
 
Magufuli alishakiri kuwa watanzania siyo wajinga anajua kuwa watanzania wameamka sana wanajua vingi kuliko CCM yake.
 
Tanzania ushoga ndiyo umezui CCM kuleta maendeleo? Ushoga ndiyo umetafuna trilion 1.5 mpaka kumtoa CAG kafara? Ushoga ndiyo umezuia kujenga viwanda Hosptal mashule barabara? Kwanza Tanzania ushoga haupo kwani jamii yenyewe haitaki ushoga, acheni ujinga Nchi ina miaka zaidi ya 50 haina maendeleo sasa mnajisifia kujenga reli na miradi mingi utazani ni pesa binafsi toka kwenu mifukoni, maendeleo ni lazima kwa watanzania kwani ni pesa zao wanazolipa kodi, maendeleo siyo Hisani ya CCM.
Nilichogundua wewe jamaa siyo mzima kichwani Bali Ni mtu ulie jaa fitina na chuki binafsi ambazo hakuna mtu anaweza kukubadilisha tofauti na bichwa lako la minyoo tu.

Hatukuwezi
 
Back
Top Bottom