Why CCM ni maarufu kwa watu wajinga na waliofeli maisha?

Uwa najiuliza maswali haya sipati majibu unakuta mtu shule alifeli, maisha yameshamchapa kweli kweli wengine hata uwezo wa kununua shati hana anavaa shati limechanika. Lakini ukimleta kwenye siasa utasikia anasema hakuna kama Magufuli mtetezi wa wanyonge unajiuliza sasa kama ni mtetezi mbona ajamtoa huyu mtu kwenye hii hali?

Anasahau kwamba unyonge ni kete ya kujizolea publicity na ccm ni chama cha kibepari na unyonyaji ukitaka kutambua ili angalia wasitaafu wake na wafadhiri wake wote ni wafanyabiasha.

Unakuta mtu aelewi kwamba wanae kupata elimu bure ni haki yake tena sio tu elimu bure mpaka form 4 elimu bure mpaka chuo kikuu, kupata maji safi, umeme, ajira sio hisani ni haki ya kila mtanzania.
Tatizo Tanzania hakuna vyama vya Upinzani Kuna wahuni na wajasiriasiasa Sasa unategemea watu wafanyaje?

Chadema ambao waliaminiwa wamegeuka kuwa chama Cha kihuni na sacoss ya Mwenyekiti
 
Twaweza walisemaje . Embu nikumbushe kiaina

Sent using Jamii Forums mobile app
Uzuri kile kizazi cha uhuru kinapungua kinakuja kizazi kipya cha 90s hichi ndo kitaleta mabadiliko.Serikali inatakiwa iwe ya watu kwa ajili ya watu na sio kwa ajili ya mtu.Huu ni mfumo haramu na usio na haki kabisa.Hatuwezi ongozwa na mifumo aliyoasisi Nyerere isiyofaa kwa kizazi cha sasa.
 
Safi kabisa . Hii ndo point muhimu sana .Mifumo ya kale inaliangamiza taifa . Inatakiwa tuunde Mifumo mipya . Mana sisi vijana wa 90' s . Hii Mifumo inatuathiri sana Yani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwezi ukatenganisha umasikini, ujinga na ccm.Ccm unawasomesha watu namba kwa kuwafanya wawe masikini ili iwatawale.
 
Attachments

  • 1806075_Screenshot_2018-07-30-18-49-18.jpg
    1806075_Screenshot_2018-07-30-18-49-18.jpg
    53.8 KB · Views: 1
Ccm inapendwa na Makundi mawili moja ni wanufaika wa mfumo hapa wapo wakuu wa vyombo na idara zote, viongozi wa dini,na wote ambao bila ccm ni lzm wafe njaa,pili ni future less people ( wanyonge) Hawa ni mtaji wa wanasiasa unawapa elf 2,sukari,t shirt ,kofia na khanga wao wanakupa kura then unapotea 5yrs unarudi tena kuwanunua.
Why wanyonge,mnyonge ni mtu hoehae asiye na mbele yaani aliyefikia level ya juu ya kukata tamaa ya maisha hivo mwingine akikosa au akitumbuliwa ujihisi nafuu ya kuhalalisha kushindwa kwake,ni mtu mwenye chuki na waliofanikiwa akiamini umasikini na unyonge wake umeletwa na tajiri,ili uwe mnyonge ni lzm uwe mjinga,maana mjinga uamini matumaini hewa ( propaganda) za wanasiasa.
Ukiuondoa ujinga umeiondoa ccm case study ni ngome za ccm huwezi pata watu wanaojielewa wakachagua kupigia kura mateso yao.Watu wanaojielewa Wana reasoning.

Hivi, kwa mfano, mtu aliyetamani lowasa awe rais wake unamtoaje kwenye kundi la wajinga?!
 
Ccm inapendwa na Makundi mawili moja ni wanufaika wa mfumo hapa wapo wakuu wa vyombo na idara zote, viongozi wa dini,na wote ambao bila ccm ni lzm wafe njaa,pili ni future less people ( wanyonge) Hawa ni mtaji wa wanasiasa unawapa elf 2,sukari,t shirt ,kofia na khanga wao wanakupa kura then unapotea 5yrs unarudi tena kuwanunua.
Why wanyonge,mnyonge ni mtu hoehae asiye na mbele yaani aliyefikia level ya juu ya kukata tamaa ya maisha hivo mwingine akikosa au akitumbuliwa ujihisi nafuu ya kuhalalisha kushindwa kwake,ni mtu mwenye chuki na waliofanikiwa akiamini umasikini na unyonge wake umeletwa na tajiri,ili uwe mnyonge ni lzm uwe mjinga,maana mjinga uamini matumaini hewa ( propaganda) za wanasiasa.
Ukiuondoa ujinga umeiondoa ccm case study ni ngome za ccm huwezi pata watu wanaojielewa wakachagua kupigia kura mateso yao.Watu wanaojielewa Wana reasoning.
Ukiondoa ujinga umeiondoa ccm halafu baada ya hapo unaweka nini?
 
Uwa najiuliza maswali haya sipati majibu unakuta mtu shule alifeli, maisha yameshamchapa kweli kweli wengine hata uwezo wa kununua shati hana anavaa shati limechanika. Lakini ukimleta kwenye siasa utasikia anasema hakuna kama Magufuli mtetezi wa wanyonge unajiuliza sasa kama ni mtetezi mbona ajamtoa huyu mtu kwenye hii hali?

Anasahau kwamba unyonge ni kete ya kujizolea publicity na ccm ni chama cha kibepari na unyonyaji ukitaka kutambua ili angalia wasitaafu wake na wafadhiri wake wote ni wafanyabiasha.

Unakuta mtu aelewi kwamba wanae kupata elimu bure ni haki yake tena sio tu elimu bure mpaka form 4 elimu bure mpaka chuo kikuu, kupata maji safi, umeme, ajira sio hisani ni haki ya kila mtanzania.
Umesahau waliofeli masomo yao shule at any level like Bashites,polepoles,Msukuma's and the magus na ualimu wao.orodha ni ndefu
 
Uwa najiuliza maswali haya sipati majibu unakuta mtu shule alifeli, maisha yameshamchapa kweli kweli wengine hata uwezo wa kununua shati hana anavaa shati limechanika. Lakini ukimleta kwenye siasa utasikia anasema hakuna kama Magufuli mtetezi wa wanyonge unajiuliza sasa kama ni mtetezi mbona ajamtoa huyu mtu kwenye hii hali?

Anasahau kwamba unyonge ni kete ya kujizolea publicity na ccm ni chama cha kibepari na unyonyaji ukitaka kutambua ili angalia wasitaafu wake na wafadhiri wake wote ni wafanyabiashara.

Unakuta mtu aelewi kwamba wanae kupata elimu bure ni haki yake tena sio tu elimu bure mpaka form 4 elimu bure mpaka chuo kikuu, kupata maji safi, umeme, ajira sio hisani ni haki ya kila mtanzania kwa sababu wanalipa kodi.

Binafsi nachukia sana mtu kunililia mtoto wake amekosa mkopo wa chuo wakati anaisifia ccm kwa kuleta maendeleo uku ccm wakielea kuitumia kete ya ujinga na umasikini kuendelea kutawa. Binafsi nauchukia sana umasikini.
Ndio utawala duniani umejaza phd nyingi ila utopolo tupu
 
bila chama cha mapinduzi ungejua wapi kusoma na kuandika we ndondocha?
 
Mkuu mie naelewa kuwa ccm ni tatizo na inatakiwa tuiweke pembeni ila tukimtoa ccm lazima awekwe mwengine na hapo ndio nauliza ni yupi huyo wa kuwekwa baada ya kumuondoa ccm?
Ukiweka mfumo Bora wa haki tutapata viongozi Bora.
Katiba ya ccm inampa mwenyekiti kuwa mtawala na sio kiongozi,hatutaki watawala kizazi hiki,Bali viongozi.
 
Back
Top Bottom