Why Bongo Flava is popular in Kenya

Why Bongo Flava is popular in Kenya

Tanzania kuna more than 100 languages. Lakini kuna lugha moja inayowaunganisha wote. Na kila mtanzania ni ndugu yako. Ustaarabu ni kuona kila mtu ni binadamu. Ukipanda matatu kila mtu anaongea lugha yake, ukienda maofisini ni hivyo hivyo, ukienda sokoni ndio kichwa itakuruka kabisaa maana kila mtu kafungulia redio ya lugha yake!
Waliosema Babylon tower ilikuwa middle east walikosea, Babylon tower ilikuwa Kenya!

Kama vile lawmaina alivyosema huo ni upungufu. Eti kuongea lugha ya mama ni ushamba name kuongea kiingereza ni utumwa hadi mnabaki mambumbumbu wasiojua lolote. Chanukeni bana.
 
Bwana kajifunze maana ya kitu kinaitwa diversity, mimi huwa nafurahia sana kuwaona Wakenya wenzangu wakiongea lugha nyingi za asilia. Kiswahili na Kingereza tunaziongea lakini sio kwa kulazimishwa. Huwezi lazimisha uasilia wa mtu. Kuna sababu tuliumbwa wengi na lugha zetu.
kwanza huwa napendezwa na lafudhi nyingi zetu, yaani tamu sana. Halafu kwenye matatu/daladala unataka mtu aongee na mwenzie Kiswahili cha nini, ama ndio usikie anachoongea ili ukaeneze umbea.
 
Offside point...!!! Kuongea kiingereza ndo ujanja, what's wrong with your upstair bra!!!!!
 
Nothing cannot be repeated because it is emptiness....!!!by the way are you Luo? I have a reason to ask!

I don't answer silly questions. Either explain your self or don't quote people here then post nothing.
 
Bwana kajifunze maana ya kitu kinaitwa diversity, mimi huwa nafurahia sana kuwaona Wakenya wenzangu wakiongea lugha nyingi za asilia. Kiswahili na Kingereza tunaziongea lakini sio kwa kulazimishwa. Huwezi lazimisha uasilia wa mtu. Kuna sababu tuliumbwa wengi na lugha zetu.
kwanza huwa napendezwa na lafudhi nyingi zetu, yaani tamu sana. Halafu kwenye matatu/daladala unataka mtu aongee na mwenzie Kiswahili cha nini, ama ndio usikie anachoongea ili ukaeneze umbea.

Acha uongo wewe hakuna sehemu ambayo kuna tension kubwa ya ukabila kama kenya, yeyote akifanya chochote in the firt place anaangaliwa yeye ni wa kutoka wapi, refer saga ya Uhuru kutupiwa viti mahali alopotoka Raila, na saga ya Raila kucharazwa bakora that's Kenya
 
Offside point...!!! Kuongea kiingereza ndo ujanja, what's wrong with your upstair bra!!!!!

Tumesema uwezo wa kuongea lugha nyingi ndio ujanja, ulimwengu wa sasa unataka watu wenye uwezo huo. Mkenya akienda sehemu yoyote huwa inakua rahisi kwake ku-adapt. Watoto wetu tunawahimiza kuongea kujifunza lugha kadhaa. Mimi wanangu wanaongea Kikikuyu (Mimi Mkikuyu), Kiluhya (lugha ya mke wangu), Kiswahili, Kingereza na shuleni wanafunzwa Kifaransa.
Mimi mwenyewe naongea Kikamba, Kiluhya, Kikikuyu, Kiswahili, Kingereza halafu Tanzania nilijaribu kujifunza Kihaya, na Kinyakyusa kiasi, yaani Wahaya niliwaona wanatumia lugha yao bila uoga.
 
1. A language is a skill. People who know more languages normally have a better mental development and are more likely to learn more than people who can only speak one language.

2. It makes no sense when you denounce one language for being foreign at the same time denounce your own mother tongue for another foreign language on the basis that speaking your mother tongue is backward. Hiyo ni ujinga.
 
Acha uongo wewe hakuna sehemu ambayo kuna tension kubwa ya ukabila kama kenya, yeyote akifanya chochote in the firt place anaangaliwa yeye ni wa kutoka wapi, refer saga ya Uhuru kutupiwa viti mahali alopotoka Raila, na saga ya Raila kucharazwa bakora that's Kenya

Tension za siasa hazihusiani na lugha, kawaida wanasiasa hupenda kutumia kila mbinu kuwagawanyisha watu kwa tabaka mbali mbali. Hata Tanzania utapata kila chama kina umaarufu mkoa fulani. Kwa mfano CCM haisikiki mikoa ya Kilimanjaro na Arusha, CHADEMA hakina uwezo pwani, kama kule Bagamoyo.
 
Man! probably I've been to so many places in Tanzania than you. Nimetembelea mikoa mingi sana ya Tanzania, nina uhakika lazima hata kuna sehemu nimeingia kwenye hata wewe hujaota kuenda. Anyway back to the topic, can you refute any of the claims, that
- You've been ruled by one party since independence
- Majority of you speak only one language, there are so many Tanzanian youths who can't speak their own mother-tongue, eti ni ushamba kuongea kilugha, wengine wanasema eti ni utumwa kuongea Kingereza, mumejaa vijisababu kwa ajili ya mapungufu yenu. Na hata pamoja na kuongea lugha moja, bado asilimia 60% mnapiga division zero. Hamna ujanja wa kujua na kuongea lugha nyingi.
- You've all been packaged into one musical genre, vijana wamejazana kwenye Bongo flava na milegezo. Diamond akinyoa style moja ya nywele, vijana wote wanamwagika kwa hiyo moja. Magazeti yenu kila asubuhi ni taarifa za Diamond na Wema, kana kwamba hamna wasanii wengine nchi yote.

kadoda11 nakuita huku usipite kimya.
we mpuuzi kweli mduara, taarab, mchiriku, mnanda sio other genre za muziki?
 
Taarab pia iko Kenya na hata Somalia. Hizo genre zingine ndio gani hizo? Tuambie kitu ambacho kinahit sio vidensi vya wachuuzi kupitisha wakati huko kariakoo.
 
We mpuuzi, unaanzisha hoja ukishindwa unatoroka alafu unarudi baadae. kama huna la kusema nyamaza.
nafurahi nikiona mkipata moto na povu kuwatoka mkijibu mada zangu! Hii ndo kazi yangu humu to keep Kenyan forum alive :second:
 
Taarab pia iko Kenya na hata Somalia. Hizo genre zingine ndio gani hizo? Tuambie kitu ambacho kinahit sio vidensi vya wachuuzi kupitisha wakati huko kariakoo.
ila taarab asili yake inajulikana Zanzibar na si Somalia au Kenya! Na pia gospel music ya Tanzania ina-rule Kenya :llama:
 
we mpuuzi kweli mduara, taarab, mchiriku, mnanda sio other genre za muziki?

Hizo zingine mshazika kwenye kaburi la sahau, mmejazana mjini na milegezo mkiimba Bongo flavo ya star mmoja tu.
 
nafurahi nikiona mkipata moto na povu kuwatoka mkijibu mada zangu! Hii ndo kazi yangu humu to keep Kenyan forum alive :second:

endelea kujifurahisha kama mtoto mdogo. Sisi Tupi hapa kukusumbua na kukuharibia wakati during our leisure time. Unlike you, we don't have a career in bashing Tanzania. We just do it in leisure time - wake up and smell the coffee. Ni sisi tunaokutoa povu. All I need to do is post anything about Kenya and you'll be everywhere googling stuff and posting articles as old as 20 years.
 
ila taarab asili yake inajulikana Zanzibar na si Somalia au Kenya! Na pia gospel music ya Tanzania ina-rule Kenya :llama:

Kiswahili asili yake Kenya yet wanaokipigia debe na kukishangilia kiujingaujinga ni watz.
 
Tumesema uwezo wa kuongea lugha nyingi ndio ujanja, ulimwengu wa sasa unataka watu wenye uwezo huo. Mkenya akienda sehemu yoyote huwa inakua rahisi kwake ku-adapt. Watoto wetu tunawahimiza kuongea kujifunza lugha kadhaa. Mimi wanangu wanaongea Kikikuyu (Mimi Mkikuyu), Kiluhya (lugha ya mke wangu), Kiswahili, Kingereza na shuleni wanafunzwa Kifaransa.
Mimi mwenyewe naongea Kikamba, Kiluhya, Kikikuyu, Kiswahili, Kingereza halafu Tanzania nilijaribu kujifunza Kihaya, na Kinyakyusa kiasi, yaani Wahaya niliwaona wanatumia lugha yao bila uoga.

Kwanini umekwepa kutaja kiluo/ kijaluo?
 
Back
Top Bottom