MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 33,497
- 53,401
At least now we are doing health argument! Nijuavyo mimi hakuna lugha hata moja isiyotohoa wala kukopa maneno toka lugha nyingine kikiwemo hicho kichina
Mimi nimesoma hicho kichina na Luna maneno kibao yametoholewa toka kijapani, kimalay kiingereza na hata kigiriki na kirusi, tunachotakiwa ni kujitahidi tu tukijenge kikue
Tatizo langu na Kiswahili ni kwamba tume zimebuniwa kukiboresha na hawafanyi chochote cha maana zaidi ya posho. Taaluma yangu ndio hakipo kabisaa, huwa nahangaika ninapohitajika kufanya mradi Bongo halafu jamaa wanasisitiza niandike ripoti/taarifa kwa lugha zote mbili, jameni ninabaki kutafuta sana maneno ya Kiswahili. Yaani hata maneno hakikopi kutoka lugha zingine, kiko hoi tu. Watanzania wenyewe ndio unapata hata na wao wanakishabikia lakini hawakiboreshi, maneno mengi nikiwauliza wanabaki kushangaa maana hawajui mbadala.