NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 11,679
- 11,787
Wewe huna unachoelewa nishafatilia comments zako humu umejaa ushabiki wa kutaka kuaminisha watu vitu visivyo sina muda wa kubishana na wewe coz huna uelewa wowote
Kumbe huwa unanifuata fuata nyuma hivi? Ninachojua huwezi fuatilia mtu asiye na kitu cha maana anachosema. Watu wanaofuatiliwa ni wale maarufu pekee.
Wewe mwenyewe unaquote post zangu kila mara ila hakuna point unayotoa.