Why Bongo Flava is popular in Kenya

Why Bongo Flava is popular in Kenya

huku neno ukabila liligeuzwa ikawa mtani, wale walokuwa wanauana wakawa wanataniana wanachekana, huyu anamtania alivokuwa anaua ndugu zake walivokuwa wanapiga ukunga au wanavokata roho, those kind of jokes u know, and they all laughed at each others, chuki ikawa upendo. Mfano mangi mareale wa marangu alipiga sana business ya kuuza wapare kwa wakoloni, u see! ilikuwa ni vita na opressions amongst tribes. Kusahau hayo yapaswa uwe na moyo mkubwa, kitu ambacho hakuna Kenya, bado mnaendekeza bifu za ma centuries yaliyopita.
Huku ukiona watu wanaongelea ukabila au wenye chuki na makabila flani ni asilimia ndogo sana
 
Kijana maswala ya ndoa naona yanakutatiza kama unadhani watu huoa ili waweze ku-command wake zao, ama kujidhirisha udume. Kafanye utafiti ama uhudhurie mafunzo kwa nini watu huoana.

hahahaha chezeya ukabila weye.
 
Nyinyi Wa Tz kila mara mnasema si wakabila ila kila siku hapa jf mkiongea ni hadithi za makabila tu. Heri sisi tunaokubali kuna ukabila Kenya na tunajizatiti kuupunguza.

Noted broda good comments!!!
 
Mziki wa Kenya naufatilia sana ila sijui kwann huku haupenyi kivileee

Niwasanii wachache nnao wafaham na ninao fatilia ngoma zao Abbas Kubaf,Naziz,Wyree,Jua kali Mgenge, Nonini sauti soul

ila kwahawa wawili nisheeeda Rabit na "Namba 8 swagg bovu Baby" haipiti siku bila kuskiza mistari yao

ila sijajua kwann mziki wa kenya haupenyi vilivyo huku Tz km Huko inavo Bamba Ubongo Wa Fleva
 
aah wacha uongo bana, shungwaya kumefanyeje, kwanza swahili haina asili, ni mixture ya lugha kibao, zenji na pwani ndio kimeanzia, iyo shungwana ipo wapi. Haya hata kama asili ni shingwana, who's speaking now, Tz ndio imekienzi kiswahili. Nyie mnaonekana kama mnakipenda mkijifanya wazalendo, badae kidogo mtakipondea ati hakiuzi, english ndio world language, blah blah kibao. Wakenya mnapondea sana kiswahili.
My friends languages grow, iyo english haikuibuka tu.
 
Unaanzisha hoja isiyoandamana na mada, ukishashindwa unaanza kulalamika eti turidie mada.

Sijashindwa chochote kaka nimeangalia mbele hakuna muafaka tuna misimamo miwili tofauti so kwanini tuendelee kusigana wakati najua hatutapa muafaka napenda health argument, tunajadili then tunapata solution, ila kwa trend hii sioni chochote mbeleni ndo maana nikasema hivyo open up your mind
 
Ndiyo mentality ya Wabongo wengi ninavyoelewa. Nenda kwa ile forum yao ya mahusiano kola Mara wanawaponda wanawake wao. Kwao bibi ni kama slave.

Sisi hatupigwi na wake zetu if that is what you call love
 
Mbumbumbu sana wewe. ametaja lugha anazojua kuziongea. Hawezi danganya kama vile nyinyi hudanganya.

Mimi sio mbumbumbu wewe, unajua wazi impact ya Luo ikoje Kenya ndo maaana kashindwa kutaja don't think that we don't know what's happening there
 
Haya turejelee mada, lakini mkileta zile zenu tunashuka na ninyi hadi kieleweke. Taarifa iliyoletwa hapa inatokana na maoni ya mtu, sio utafiti. Pia hatujapinga kwamba Bongo flavor ina umaarufu Kenya, lakini sio kwamba kila Mkenya anaiskliza. Ikumbukwe, wasani wenu wakiingia Kenya ndio huwa wanapata hela za ukweli na lakini wakiwa Bongo hawapewi heshima. hebu angalia kama msanii Mr. Nice, yeye akirudi Bongo huwa anafulia, hadi aingie Kenya ndio ainuke.

You are now moving the right direction, ishu ya malipo sio ishu ni swala la mikataba na maelewano, unakumbuka Kenyan fans na one of your newspaper editor alilalamika kuwa wasanii wa Kenya wanalipwa kiduchu tofauti na watz wakija Kenya? Usiwe mwepesi kusahau you know the whole story
 
aah wacha uongo bana, shungwaya kumefanyeje, kwanza swahili haina asili, ni mixture ya lugha kibao, zenji na pwani ndio kimeanzia, iyo shungwana ipo wapi. Haya hata kama asili ni shingwana, who's speaking now, Tz ndio imekienzi kiswahili. Nyie mnaonekana kama mnakipenda mkijifanya wazalendo, badae kidogo mtakipondea ati hakiuzi, english ndio world language, blah blah kibao. Wakenya mnapondea sana kiswahili.
My friends languages grow, iyo english haikuibuka tu.

Kiswahili uasili wake karibu na mpaka wa kenya na somalia,wakenya wa pwani ndio lugha yao. Bara ni tofauti. shuleni tulifunzwa kwa kingereza hivyo hatukutilia maanani kiswahili. English is better placed on the world arena than kiswahili no doubt about it.
 
Ni sahihi lakini hatuwezi kuendelea na hiyo hali ya kukitukuza kiingereza tunatakiwa kukikuza na kukiendeleza kiswahili kama wanavyofanya kwenye vyuo vya China Marekani Uingereza na kwingineko! Kiswahili kinaikamata Afrika sasa kitu ambacho kinatia faraja
Wenzetu walifanya kila namna kukieneza kiingereza duniani walingalia mbali nasi tunapaswa kufanya hivyo
 
Kiswahili kiboreshwe kwanza ndio kiweze kuuzwa kimataifa. Hata nikiwa Bongo kwenye vikao na Watanzania, unakuta kuna maneno mengi ya Kingereza yanakosa tafsiri ya Kiswahili. Kwa mfano, nilihitajika kuandika kuhusu mojawapo wa shughuli zangu za kiutalaamu, halafu neno bio-metrics likakosa kabisa neno lake mbadala kwa Kiswahili. Wabongo wote niliowauliza walibaki kushangaa.

Sasa huwezi pigia debe lugha ambayo huwezi itumia bila kuchakachua. Unakuta Mchina atafanya shughuli zake zote kwenye fani yake bila kutumia neno hata moja la Kingereza.
Jameni kwanza Tanzania mnajiumiza sana, jamaa anasoma shule ya msingi yote kwa Kiswahili halafu anashtukiwa na Kingereza sekondari. Lugha huwa muhimu kujifunza ukiwa mdogo. Kama nilivyosema, wanangu wanajifunza lugha nyingi wakiwa wadogo.
 
At least now we are doing health argument! Nijuavyo mimi hakuna lugha hata moja isiyotohoa wala kukopa maneno toka lugha nyingine kikiwemo hicho kichina
Mimi nimesoma hicho kichina na Luna maneno kibao yametoholewa toka kijapani, kimalay kiingereza na hata kigiriki na kirusi, tunachotakiwa ni kujitahidi tu tukijenge kikue
 
You are now moving the right direction, ishu ya malipo sio ishu ni swala la mikataba na maelewano, unakumbuka Kenyan fans na one of your newspaper editor alilalamika kuwa wasanii wa Kenya wanalipwa kiduchu tofauti na watz wakija Kenya? Usiwe mwepesi kusahau you know the whole story

Usitumie tukio moja kufananisha na yote, nimekwambia Bongo musicians wanatengeneza hela nyingi wakiingia Kenya zaidi ya wakiwa Bongo. Kwa mfano Diamond hulipisha equivalent ya laki mbili za Kenya akiwa Tanzania lakini akiingia Kenya hulipisha Ksh 2 million. Halafu suala la wasanii Wabongo kulipwa zaidi ya Wakenya inategemea ni msanii yupi. Diamond obviously lazima atalipwa zaidi ya curtain raisers. Lakini haimaniishi atalipwa zaidi ya kila msanii. Ungejua hela wanazolipwa akina Jaguar, Wyre, Nonini n.k. hungekua na msimamo huo.
 
OK mjadala uendelee sasa....!!!
 
Kiswahili uasili wake karibu na mpaka wa kenya na somalia,wakenya wa pwani ndio lugha yao. Bara ni tofauti. shuleni tulifunzwa kwa kingereza hivyo hatukutilia maanani kiswahili. English is better placed on the world arena than kiswahili no doubt about it.
hapa hawajaitaja hiyo Swingwana wala mama yake Shingwana bali pale Zanzibar ambapo makao makuu ya muingiliano wa mwarabu na Mswahili yalikuwapo! na kiswahili kinachotumika kufundishia au kiofisi ni Kiswahili ha lahaja za Zanzibar ambacho kiliamuliwa hivyo mwaka 1928 huko Mombasa baada ya Swahili council of East Africa kukaa na kukubaliana katika inter-territorial conference !
 
I have got no intention of taking this the Kilimanjaro way so you can keep your counsel and edit more pages.
 
Back
Top Bottom