NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 16,380
- 17,959
Kwanini umekwepa kutaja kiluo/ kijaluo?
Mbumbumbu sana wewe. ametaja lugha anazojua kuziongea. Hawezi danganya kama vile nyinyi hudanganya.
Kwanini umekwepa kutaja kiluo/ kijaluo?
kama vile mlivyotangulia taarab na sisi ndio hao tunaifika
Acha uongo wewe hakuna sehemu ambayo kuna tension kubwa ya ukabila kama kenya, yeyote akifanya chochote in the firt place anaangaliwa yeye ni wa kutoka wapi, refer saga ya Uhuru kutupiwa viti mahali alopotoka Raila, na saga ya Raila kucharazwa bakora that's Kenya
Tumetoka nje ya mada kabisa let's go back there for the sake of sharing
Kuna wakenya wengi huku mamtoni yani hii kitu ya ukabila mmh noma sana wakikuyu kivyao, kamba kivyao na minority waluya ndio washkaji wanajimix zaidi na waTz. At first instance you meet a Kenyan ..we ni kabila gani? Bullshit!! what is that as part of introducing yaself??
Kiswahili asili yake Kenya yet wanaokipigia debe na kukishangilia kiujingaujinga ni watz.
Kwanini umekwepa kutaja kiluo/ kijaluo?
Wewe haina haja ya kukuongelesha maanake hujielewi. Waluhya ndio kabila la pili kubwa zaidi Kenya yet unawaita minority. Go do some reading then we will argue after you're a little bit more informed.
Kuna wakenya wengi huku mamtoni yani hii kitu ya ukabila mmh noma sana wakikuyu kivyao, kamba kivyao na minority waluya ndio washkaji wanajimix zaidi na waTz. At first instance you meet a Kenyan ..we ni kabila gani? Bullshit!! what is that as part of introducing yaself??
halafu hakuna kabila ambalo mkikuyu ( lawmaina78 ) analidharau kama nyinyi waluhya.normally kikuyus take you luhyas as third class.nimeishi kenya na ninalifahamu hili in and out.
"ukabira ni kitu mbaya sana kenya".
is mombasa part of kenya?.(i have just asked it purposely)
halafu hakuna kabila ambalo mkikuyu ( lawmaina78 ) analidharau kama nyinyi waluhya.normally kikuyus take you luhyas as third class.nimeishi kenya na ninalifahamu hili in and out.
"ukabira ni kitu mbaya sana kenya".
Tumetoka nje ya mada kabisa let's go back there for the sake of sharing
No. It is part of Kazakhstan.
Kiswahili asili yake Kenya yet wanaokipigia debe na kukishangilia kiujingaujinga ni watz.
Mkuu sikutaka kuingilia hii mada ila kusema kiswahili asili yake Kenya una matatizo si bure na wala historia ya lugha ya kiswahili huijui
Kaa kimya ueleweshwe s kuropoka ropoka tu
Mke wangu wa miaka 15 Mluhya, wacha povu.
you married a luhya lady cause you knew it would be easy to command her since luhya are too inferior before kikuyus.mbona hukuoa manzi wa kijaluo kama kweli wewe "kidume".lol
Kijana maswala ya ndoa naona yanakutatiza kama unadhani watu huoa ili waweze ku-command wake zao, ama kujidhirisha udume. Kafanye utafiti ama uhudhurie mafunzo kwa nini watu huoana.