Why blue for men and pink for women?

Why blue for men and pink for women?

Nchi Kavu

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2010
Posts
4,289
Reaction score
2,472
Kwa wanawake inawezekana rangi ya pink ni kutokana na yale maumbile yao ya kike kwa ndani sijui nimeeleweka? Kwa wanaume hiyo asili ya bluu ni nini?

Update:
Huko google nako nimesachi lakini unasoma makala mwanzo hadi mwisho unagundua kuwa nao walioandika hizo makala hawana uhakika na asili ya hizo rangi kwa kuzihusianisha na jinsia.
 
kwa wanawake inawezekana rangi ya pink bi kutokana na yale maumbile yao ya kike kwa ndani. sijui nimeeleweka? kwa wanaume hiyo asili ya bluu ni nini?
Duh, masharo munakazi
 
Researches carried out worldwide on your question concluded that: Colour preferencesamong the sexes have a biological basis rather than a cultural one. try to google and you will get lot of leterature on this topic
 
Hata mimi huwa sielewi...always blue for men na pink for girls...au labda google itusaidie maana mh
 
Don't be stuck in a time warp y'all.

It's the 21st century.
 
kwa wanawake inawezekana rangi ya pink bi kutokana na yale maumbile yao ya kike kwa ndani. sijui nimeeleweka? kwa wanaume hiyo asili ya bluu ni nini?

Perhaps you are right!
Napenda rangi ya blue!
Nimejikuta nina vitu vingi vya blue kuanzia nguo n.k
Hata wedding colour ilikuwa blue!
Sijapata maana yake, wanaojua tafadhali tujuzeni!
 
Mr. Topic oooh sory mtoa mada hivi umeingiza sh ngap leo?
If you ain't talking abt money, make it brief. The money don't sleep so I can't rest. Money talks. Go get money dudes.
 
itakuwa ni kutokana na maumbile yao ya kiume kwa nje sjui nimeeleweka na mimi
 
Dyudyu za male ngedere sijui vinyani gani pale UD nliviona, zina rangi ya blue.labda origin ya blue for men imetokana kwao.
 
Dyudyu za male ngedere sijui vinyani gani pale UD nliviona, zina rangi ya blue.labda origin ya blue for men imetokana kwao.

dah! inawezekana ila ngumu kumeza
 
What if its black or brown or white?

I prefer both.
 
Researches carried out worldwide on your question concluded that: Colour preferencesamong the sexes have a biological basis rather than a cultural one. try to google and you will get lot of leterature on this topic

google hawana jibu mkuu. kila aliyeandika hajaeleweka. hakuna uthibitisho asili ya hizi rangi mbili ni nini
 
Back
Top Bottom