Why blue for men and pink for women?

Why blue for men and pink for women?

kwa wanawake inawezekana rangi ya pink ni kutokana na yale maumbile yao ya kike kwa ndani. sijui nimeeleweka? kwa wanaume hiyo asili ya bluu ni nini?

update:
huko google nako nimesachi lakini unasoma makala mwanzo hadi mwisho unagundua kuwa nao walioandika hizo makala hawana uhakika na asili ya hizo rangi kwa kuzihusianisha na jinsia

Ndomaaaanaaa! Basi ukichanganya hii buluu na hii pinki rangi utakayopata itakuwa ya mashoga
 
Back
Top Bottom