Huwezi kua single alafu bdo ukajiona upo sawa na kauli zenu zile eti the best is yet to come Mara cjui, I deserve the best...jamani eeeh... tukubali kila m2 ypo tofauti so tunatakiwa kukubali kupokea na kutoa pia...ukipendwa na ww penda,ukikosea ukasamehewa na ww usiwe mgumu kusamehe.. tatizo la wengi wetu ni Ego hasa sisi wanaume