cheichei01
Member
- Jul 26, 2012
- 24
- 3
Habari wanajf, nimekua nikiangalia topics na mauni ya watu kwenye huu upande wa mahusiano na mapenzi issues n nyingi and pple comments on their on ways,,,so ingekua vp km ingekua tunaonana live,, ww mwanaJF ungetoa topics na maoni kama ambavo ushatoa?,,,,,ungetoa????
Waaatu weweeeeeee.......ningetoa ndio.....wengine tukikutana badala ya kuongea tunapractice kabisa........shida ipo wapi......?
Kwani kukutana humu JF haitoshi? Hebu acheni ukuda.. Wengine tuna vibiyongo wakati kwa mujibu wa JF tuna miseksi bodi.