nimekoshwa na mzawadizawadi napewa mizawadi!kazi kwako uloogeshewa mmbezi mbezi kila siku mtembezi!nanuna....mimi Boflo hajawahi kunipa zawadi hata siku moja.......sitaki.....nasema sitaki....
Na kweli hiyo avatar yako inonyesha una hasira sana.19. My relatives refused to give support on my education after my father's death but i fought on my own now i have a bachelor degree. Nikikumbuka huwa napatwa na hasira sana
say thanks to the Might Lord every thing has its reasonGod who took every 1 l lov n made b alon in this world
Natoa zawadi ya Preta cause umeniomba...nimekoshwa na mzawadizawadi napewa mizawadi!kazi kwako uloogeshewa mmbezi mbezi kila siku mtembezi!
aahahhahahhahhahah wapi Boflo babaa na Preta kata ya mbezi jogoo ahahhhhahahhaha Boflo hebu mpe Preta zawadi bana unajua mi na yeye hatujakutana barabarani ujue!ntaenda na nani kufata vikwembe ku lubumbaashi?ntaikala wapi na fasi ya kitanda kujaa !fanya umupe bwaana!
na ungemweka kwenye list ya watu waliokuumiza ingekuwa namba 23!hoooooo......na usingenipa zawadi ningekununia wewe........asante mwaya.......
na ungemweka kwenye list ya watu waliokuumiza ingekuwa namba 23!
If you cannot forget the person who wounded you, sit infront of the mirror and see how many you have wounded and what would happen if they would not forgive you! We are not angels!