hili nalo neno!how many people have we messed with mpka usawa huu?who am i kusema siwezi kuwasamehe?lol
19. My relatives refused to give support on my education after my father's death but i fought on my own now i have a bachelor degree. Nikikumbuka huwa napatwa na hasira sana
Usipatwe na hasira, Mshukuru Mungu aliyekuwezesha ufike hapo ulipofika..... wangapi hawajaweza hata baada ya kuhangaika sana?19. My relatives refused to give support on my education after my father's death but i fought on my own now i have a bachelor degree. Nikikumbuka huwa napatwa na hasira sana
If you cannot forget the person who wounded you, sit infront of the mirror and see how many you have wounded and what would happen if they would not forgive you! We are not angels!
halafu sasa wanakuja kukuomba msaada?
umeona eehh! ila taratibu mlongo wanguchezeya mabinti wa kingoni wewe!
watu wanashusha tu maujuzi yao ya graphics!ahahahhahahahhahhahahhahah Boflooooooooooooooooo !
unafikiri wanaaibika? wala....... tena wanaona ni haki yao, na usipowapa ni lawama tupuHapo sasa, lakini ili kuwaaibisha zaidi wasaidie ili wajue siku hazigandi
Kila mtu kaumizwa, anayewaumiza watu wote ni nani??
10. The husband who concentrates on his side of family and completely ignores yours? mpaka sasa tumetengana mtoto ndie anayepata shida though na hii inaniumiza sana wajameni sob sob ila nimemsamehe.