Who wounded you???

Who wounded you???

Funguka bana snowhite!!! Ni aje!!!!?
BAK mi huwa nina theory moja nakumbuka vinavonipa raha tu!zamani nilikuwa mtu wa visasi na kuwekeza sana hasira!lakini nimekuja kujifunza kuwa hasira na kisasi naumia mwenyewe huyo aliyenikera pengine wala hajui kama ameniumiza kiasi hicho na wala hajui hata kama nimeumia at all!
kwa mfano niliwahi kujiuliza
WHAT IF HUYU ALIYENIUMIZA KIASI HIKI KWELI LENGO LAKE LILIKUWA NIUMIE!
NIKUMUONYESHA HASIRA YANGU NA KUUMIA ALIVYOTAKA SI NDO NITAKUWA NIMEMPA RIDHIKO!
SIUMII TENA I SEE!
NA SILIPI KISASI TENA !
KUSAMEHE NA KUSAHAU NI KWA AJILI YA AFYA NA AMANI YA NAFSI NA MWILI WANGU!
 
1. Was it the father who rejected you at birth?

Sasa hivi status yangu anaitumia kujingea heshima baa..... nilimsamehe na huwa nampenda but .... kidonda kilitoneshwa majuzi wakati wa Send off yangu. Nafikiri nahitaji muda tena kuweka mambo yangu sawa na yeye.
 
Mkuu boflo nimekukubali, umenigusa deep inside my heart, ubarikiwe kwa sana
naomba na mimi unitag post zako
 
Boflo huu uzi umezidi kunitia moyo wapo wengi waliopitia makuu kuliko mie mwanzoni nilifikiri ni mie kumbe tupo wengi
ni jambo la kuendelea kumshukuru Mungu inawezekana kwa kupitia hayo ndipo unakutana na faraja na neema na pia kujifunza kusaidia wale waliopatwa na matatizo kama yako
 
Last edited by a moderator:
step mother ambaye alisimama kidete tusifike mbali kimasomo, lakini kwa kudra na muweza tulisoma kwa jitihada zetu wenyewe. watoto wake hata mmoja aliyekwenda shule sababu ya malezi mabovu wakati nafasi walikua nayo. sasa hivi choka mbaya anatutegemea sisi tumpe msaada.
 
Boflo huu uzi umezidi kunitia moyo wapo wengi waliopitia makuu kuliko mie mwanzoni nilifikiri ni mie kumbe tupo wengi
ni jambo la kuendelea kumshukuru Mungu inawezekana kwa kupitia hayo ndipo unakutana na faraja na neema na pia kujifunza kusaidia wale waliopatwa na matatizo kama yako

Ni kweli Wana Jf wengi wamefunguka kwenye huu uzi....

"Don't cry when the sun is gone, because the tears won't let you see the stars"
"If someone you love hurts you cry a river, build a bridge, and get over it."
 
Umeonaa eh?

yaah wakati mwingine huwa tunajiumiza wenyewe kusema ukweli!
yani tunaanguka wenyewe!na kama ilivyo silka ya mwanadamu huwa tunakimbia ukweli na kulaumu wengine!
ila ni wachache sana wenye karama ya kugundua jinsi wanajiumiza wenyewe ndugu yangu!
 
Inatia sana uchungu mkuu, mimi nakumbuka nilimuomba kaka yangu yaani mtoto wa baba mdogo sh. 5,000 za kulipia mtihani wa mock wa kidato cha pili lakini alinitolea nje by then ni mtu mkubwa sana jeshini.

Lakini ungekuwa unaoa angetoa laki moja lakini kwenye elimu mmhh!!(sijui huwa hawapendi kupitwa kielimu hivyo wanaweka vikwazo)
 
Back
Top Bottom