Kuntakinte
JF-Expert Member
- May 26, 2007
- 701
- 37
Unfortunately mimi sichagui mwanachama mmoja au kikundi cha wanacahama. Binafsi, ningepenada nikutane wanachama wa JF wote kwani wamenifundisha mambo mengi sana katika nyanja mbalimbali za sayansi, teknolojia, sheria, siasa na jamii, biashara, utamaduni, uchumi, elimu, burudani, udaku, mambo ya kikubwa na mengineyo mengi. Ingawa katika uwanja wa siasa na jamii ninaweza kuwa nimetofautiana kimtazamo na baadhi ya wanachama, imekuwa inanisaidia sana kupanua mtizamo wangu katika mambo hayo tunayotofautiana.
Kitu ambacho sina uhakika ni kama Nyania atapata ukumbi wa kutosha kutukutanisha wote.
Kwa bahati mbaya hili swali limekuja tofauti na yaliyomo kichwani mwangu; natamani kama lingeulizwa "Who would you NOT like to meet and why?" ...Guess I will have to wait another day for that.
There would be a whole lotta swagger there.....hahahahahaaaa....
Mkuu wangu Nyani, labda nikutane na mzee wa ponjoro, maana mpaka leo bado huwa ninakukumbuka jinsi alivyokuwa akimkoma nyani na yule ponjoro kule BCS, Bwa! ha! ha! ha! that is worup!
Nadhani itapendeza sana GT akikutana ana kwa ana na Mzee Mwanakijiji!!! Binafsi ningependa kuonana na members wote....wengine nahisia tu....huenda NN ni jamaa mfupi sana, maana huwa hakubali kuonewa si mnajua trait za watu wafupi? hahahahaha
Ningefurahi kumuona GT na akawepo Mwanakijiji,pia Sauti ya Umeme FMES,Nyani Ngabu na Kibunago lakini nitamuomba Nyani Ngabu asimlazimishe Kibunago kuongea kiingereza,na mwisho ningefurahi kumuona Invisible mwenyewe!