WAKO WAPI WATU WAKO
JF-Expert Member
- Sep 26, 2017
- 2,375
- 3,140
Mzee Mwizi ni Mwizi tu...haijalishi ni nani, umuhimu ni kusema tu awe Magufuli au Mbowe kama kuna harufu ya upigaji ni kusema tu....tumuige CAG dhaifu ni dhaifu hakuna kumung'unya maneno........matumizi mabaya ya kodi zetu ni Wizi na anayetumia ovyo bila kufuata taratibu ni MWIZIIIIII....Mbona wanaibiwa na Mbowe hawasemi?
Tukisema wana hasira kwa kuwatibulia mchanga vitumbua vyao watasema tunawaonea?
Sasa kama wote wezi tuachane na mambo hayo nchi iejiendee?Mzee Mwizi ni Mwizi tu...haijalishi ni nani, umuhimu ni kusema tu awe Magufuli au Mbowe kama kuna harufu ya upigaji ni kusema tu....tumuige CAG dhaifu ni dhaifu hakuna kumung'unya maneno........matumizi mabaya ya kodi zetu ni Wizi na anayetumia ovyo bila kufuata taratibu ni MWIZIIIIII....
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana CAG hazungushi maneno...tufuate njia yakeSasa kama wote wezi tuachane na mambo hayo nchi iejiendee?
Najua wote shida tu tunaangalia penye unafuu
Ndio nayoipigania hapa sasa
Dada angalia tu wasikuteke si unajua ata hapa watu wake wapo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]na mm nimekuonaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]na mm nimekuonaaa
Hahahah narudi
hapa sio pa kukaaOmba hata maji ya kunywa tu halafu usepe mkuu!
Mkikamatwa mthibitishe hamna hata chembe ya mnachosema. Typical TZs!!!Mapenzi yako kwa Raisi wako yasikufanye uwe blind
Ni watu fulani wenye shida zao binafsi wanaojaribu kuzihamishia kwa watu wengineMkikamatwa mthibitishe hamna hata chembe ya mnachosema. Typical TZs!!!
Jibu swali, mbona simpo tu!! Unaweza kuthibitisha?! Ni NDIO au HAPANA.Mapenzi yako kwa Raisi wako yasikufanye uwe blind
Jibu swali, mbona simpo tu!! Unaweza kuthibitisha?! Ni NDIO au HAPANA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiona serikali inaanza kumtengenezea zengwe CAG, mara wamwambie utakagua kule huku hakuna kukagua,mara wamfanyie ubabe. Serikali hiyo ni ya kuogopa,ni ya wezi,majambazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ataweka historia ya ukwapuaji katika shamba la bibi