Who would have thought?

Zile report za CAG ambavyo hazijasomwa. Zisomwe najua kuna madudu mengi ndio maana wanaficha
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mweeeeh!!! Kwa mtindo huu watanzania tuna safari ndefu sanaaaaaaaaa.
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
 
yap wote wenye akili kama zako mfe!..hapo juu kuna mtu kasema uozo wake ulikuwepo kabla ya kuwa Rais hujajibu umekuja kujishaua tu hapa,by the way bring back our 1.5 trillion,ma ndege yako baki nayo! mnaridhika?? wewe na nani??
Nimekujibu wewe sababu ndio mtoa mada, eti bring back your 1.5t[emoji23] [emoji23] [emoji23] nimeshageuka Magu

Anyway kadai ruzuku kwanza anayopiga Mbowe kama una ubavu sio kutusumbua sisi hapa
 
Hiyo..."hata kama"...inakuweka kundi la wazungu wa reli!Ma bad![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bado nabaki na uafrika tena utanzania, kwa taarifa tu napigika kama mnavyopigika pia lakini nasikia maumivu ya furaha maana tunapigika wote

Wengine mlizoea maisha easy easy na bado mkakosoa sio ajabu mkimkosoa huyu aliyewabana

Tunajua mna hasira sababu kawatumbua na mavyeti feki yenu
 
Wapinzani hamjitambui mnataka nini, watanzania tumeamua kwenda na Magufuli

Hii nchi haihitaji wanasiasa inahitaji viongozi
 
Mkuu tuheshimiane.Mimi cheti changu cha ubatizo ni orijinale,hakitumbuliki!
 
Dada angalia tu wasikuteke si unajua ata hapa watu wake wapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…