Lile ni flyover au daraja?
Mimi mmoja, kuna waliojitokeza hapo juu nao utasema *excluding you*
Jinsi uzi utakavyoendelea utaexclude wengi tu
Tulipo tunaridhika napo kwani nyinyi mna akili gani ya kutufikisha peponi
na Wewe unaweza kuthibitisha kwanini unataka athibitishe?Unaweza kuthibitisha ulichoandika?
Huna akili nyoko.na Wewe unaweza kuthibitisha kwanini unataka athibitishe?
heee makubwa.Huna akili nyoko.
Ee unazingua.heee makubwa.
kama uliowazingua wote walikutukana basi sawa sio kosa lako una kisasi moyoni ila Mimi siko hivyo,haya twende kwenye mada husikaEe unazingua.
Muite Rebecca athibitishe tuendeleekama uliowazingua wote walikutukana basi sawa sio kosa lako una kisasi moyoni ila Mimi siko hivyo,haya twende kwenye mada husika
Nitesekee lipi wakati ugali nsansa nakulaga?πππSasa Kama anatimiza wajibu wake ipasavyo mtu akisifia unateseka Nini
Sent using Jamii Forums mobile app
Easy...easy,buddy!ππππHuna akili nyoko.
Omba hata maji ya kunywa tu halafu usepe mkuu!SAMAHANINI NIMEKOSEA NJIA DAAH
Na nswalu unazijua?Nitesekee lipi wakati ugali nsansa nakulaga?πππ
Zenye ntwili?Hahahahahahaaa!Ila kansolele kiboko!ππππNa nswalu unazijua?
Hahaha ngoja tusiharibu mada ya mtu, ila umenirudisha nyumbani kwa mda! πππZenye ntwili?Hahahahahahaaa!Ils kansolele kiboko!ππππ