Lyamber
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 11,716
- 18,753
Ni kweli mkuu Audi na VW zinafanana hata dashboard zake tofauti ikiwa ni ndogo sanaMkuu huwa nasoma posts zako nyingi sana na zilizoenda shule. Kwa jinsi nilivyokusoma mara kadhaa naona unafahamu unachoandika. Kwa hii post yako ya sasa sitaku kukusoa ila nadhani kama ungefanya marekebisho kadhaa ili kwa watu kama mimi tufahamu katika hayo magari tunalinganisha nini. Kwa mfano,BMW ndo mmiliki wa Rolce royce. Na kwa watu wengi ambao hawafahamu,BMW ndo wamiliki wa Rolls Royce na engine za Rolls Royce ni BMW with just badge engineering kama Rolls Royce phantom inatumia N 73 BMW engine.
Bentley,Audi,Porsche na Volkswagen ni kampuni moja soko tofauti.
Nafikiri hapo ingekuwa vizuri sana kulinganisha Bentley na Rolls Royce kwa kuwa soko lengwa ni moja,
kisha BMW,Audi na Merc kulingana na series kama BMW 7series Vs Merc S Class Vs Audi A8
BMW 5 series vs BMW E class VS Audi A6,merc E class Jag XF etc etc
Kisha unakuja kwa hao wadogo kama BMW 3 series etc etc.
Wakin toyota/nissan nao wana classes tofauti kama Camry ni the same class as Nissan altima na Honda accord etc etc.
Kumuweka Rolls Royce/Bentley na Toyota sidhani kama tunamtendea haki toyota. Walengwa wa hizo gari ni tofauti na pia gari zenyewe ni tofauti sana.Ni kweli kwamba Toyota Corolla itakufikisha from point A to point B just like Bentley Arnage,but with Bentley,you will get there in style.
Naomba mwenye nyongeza aongeze nyama humo.