KING VON: Rapper Was a Serial Killer

2 of Amerikaz most wanted

JF-Expert Member
Jan 13, 2023
1,328
3,692
Name: Dayvon Daquan Bennett.

Other names: Von. Grandson.V-Roy.

Born: August 9, 1994. Chicago, Illinois, USA

Died : November 6, 2020. Atlanta, Georgia.

Genres : Hiphop, drill, gangster rap, trap.

Label : Only The Family.

Childrens : 3

Cause of death : Gunshot wounds.

_20240115_062318.JPG

Rappers killed by King von
1. King Doc
2. Dirty Rell
3. Modell
4. P5
5. Lil James
6. Lil mac
7. Malcom stuckey
8. K.I
9. MannMann
10. Tyriq
11. FBG Duck

_20240115_062912.JPG

King Von was killed by Timothy Leeks.

_20240115_063515.JPG
 
ukiona mtu anaweza kuua na asijulikane basi ujue ana akili kubwa sana...
Napenda watu wa aina hii
 
Name: Dayvon Daquan Bennett.

Other names: Von. Grandson.V-Roy.

Born: August 9, 1994. Chicago, Illinois, USA

Died : November 6, 2020. Atlanta, Georgia.

Genres : Hiphop, drill, gangster rap, trap.

Label : Only The Family.

Childrens : 3

Cause of death : Gunshot wounds.

View attachment 2872238

Rappers killed by King von
1. King Doc
2. Dirty Rell
3. Modell
4. P5
5. Lil James
6. Lil mac
7. Malcom stuckey
8. K.I
9. MannMann
10. Tyriq
11. FBG Duck

View attachment 2872242

King Von was killed by Timothy Leeks.

View attachment 2872250
So sad , my best rapper was a killer
 
Attachments

  • King-Von-From-The-Hood-ft-Lil-Durk-(JustNaija.com)_091641.mp3
    4.7 MB
Name: Dayvon Daquan Bennett.

Other names: Von. Grandson.V-Roy.

Born: August 9, 1994. Chicago, Illinois, USA

Died : November 6, 2020. Atlanta, Georgia.

Genres : Hiphop, drill, gangster rap, trap.

Label : Only The Family.

Childrens : 3

Cause of death : Gunshot wounds.

View attachment 2872238

Rappers killed by King von
1. King Doc
2. Dirty Rell
3. Modell
4. P5
5. Lil James
6. Lil mac
7. Malcom stuckey
8. K.I
9. MannMann
10. Tyriq
11. FBG Duck

View attachment 2872242

King Von was killed by Timothy Leeks.

View attachment 2872250
Nmetazama documentary pasipo kuruka kitu. Aisee hawa majamaa sikuwa na wafahamu kwasababu mimi si mpenzi wa drill rap. Lakini hawa jamaa wanaishi maisha ya kimbwa mbwa same na yale yale ya akina 2pac miaka ya 90.
Halafu inashangaza ni kiasi gani jamii ya blacks inavyowaona kama mashujaa ña kuwakuza hukú ikijua mambo yanayofanyika nyuma.
Jamaa alipata alichokitafuta maana he was psychopath enjoying killing. Ungesema alikuwa anaua labda kwa sababu ya pesa lakini hata baada ya kuwa tajiri bado alikuwa anaua na kibrag about it. Wanaishi maisha mafupi kweli na sijui kama quondo naye atamaliza miaka 5 akiwa hai.
Yani hawana tofauti na wale wauza madawa wa mexico.
 
ukiona mtu anaweza kuua na asijulikane basi ujue ana akili kubwa sana...
Napenda watu wa aina hii
Hakuwa na akili actually alikuwa mjinga mjinga. Ukitazama hiyo documentary ukasoma comments za watu wanaoishi Atlanta, wanadai polisi wana tabia ya kuacha kufuatilia mauaji ya gangs killing maana wanajua aliyeua atauawa pia.
Yani wanadai jinsi wanavyo handle case za mtu aliyeuawa in a gang ni tofauti na mauaji ya kawaida. Hawatumii resources nyingi kuchunguza mauaji ya bifu za magang maana wanajua mwishowe wahusika watauana tu kwa ujinga wao wenyewe.
Jamaa alikuwa anaimba anapost alichofanya lakini bado hawakumkamata.
Ukitaka kujua hilo, huoni hata mauaji ya 2pac na notorious mpaka leo japo inadaiwa vyombo vya usalama wanajua nani aliyafanya lakini hawakuwahi yapa uzito.
Ni kwa sababu ni gang killings hayana tofauti na hawa wakina king von
 
Tukiachana na habari za black Americans kubaguliwa kisa rangi zao kwenye matukio mengi ya kihalifu wakati mwengine still hao jamaa wana tabia zinazofanana na matukio wanayotuhumiwa nayo.
 
Hakuwa na akili actually alikuwa mjinga mjinga. Ukitazama hiyo documentary ukasoma comments za watu wanaoishi Atlanta, wanadai polisi wana tabia ya kuacha kufuatilia mauaji ya gangs killing maana wanajua aliyeua atauawa pia.
Yani wanadai jinsi wanavyo handle case za mtu aliyeuawa in a gang ni tofauti na mauaji ya kawaida. Hawatumii resources nyingi kuchunguza mauaji ya bifu za magang maana wanajua mwishowe wahusika watauana tu kwa ujinga wao wenyewe.
Jamaa alikuwa anaimba anapost alichofanya lakini bado hawakumkamata.
Ukitaka kujua hilo, huoni hata mauaji ya 2pac na notorious mpaka leo japo inadaiwa vyombo vya usalama wanajua nani aliyafanya lakini hawakuwahi yapa uzito.
Ni kwa sababu ni gang killings hayana tofauti na hawa wakina king von
Vyombo vya usalam havijui na vinafatilia. Accha uongo. Na watu wengi tu wamekaa ndani kifo cha Tupac.
 
Ni nani amekuwa convicted? Toka mwaka 95. Juzi umesikia audio ya yule kijana akidai didy alitoa pesa kwa kichwa cha pac lakini umesikia didy kakamatwa?
Nmetazama documentary nyingi kuhusu mauaji ya pac kuna jina moja linajitokeza kila mara, na mahojiano ya makachero. Hii kesj hawakuwa na nia ya kuisolve labda huko mbeleni ila kwa sasa haina tofauti na cold case tu ambayo hawana nia nayo...
 
Kwa hiyo ulitaka Diddy akamatwe kwa kuwa tu kijana kasema alitoa pesa ili Pac auawe? Kirahisi rahisi tu.
 
Ndio maana tunarudi pale pale hii kesi ya kuawa hawa watu vyombo vya usalama havikuwa na nia ya kuisolve. Nimeona interviews nyingi na makachero wa zamani waliohusika kwenye uchunguzi wanasema documents na taarifa walizokusanya zilichukuliwa zikatiwa kwenye maboksi.
Wanajua nini kilitokea ila kwakuwa ni ugomvi wa blacks na magang yao basi waliacha wauane tu wawapunguzie kazi.
 
Sio kweli. Hata mimi nimeona hizo interviews, tatizo ni kwamba wengi wa walioshuhudia mauaji hao hawataki kutoa ushirikiano kwa polisi kwa kuwa wataonekana masnitch.

Kamwe hakuna DA atakayekubali kufungua kesi bila kuwa na ushahidi wa kutosha na watu wa kutoa ushahidi (testimony). Bila watu kuongea hakuna kesi, hata kama kila mtu anajua muuaji ni nani.
 
Hakuwa na akili actually alikuwa mjinga mjinga. Ukitazama hiyo documentary ukasoma comments za watu wanaoishi Atlanta, wanadai polisi wana tabia ya kuacha kufuatilia mauaji ya gangs killing maana wanajua aliyeua atauawa pia.
Yani wanadai jinsi wanavyo handle case za mtu aliyeuawa in a gang ni tofauti na mauaji ya kawaida. Hawatumii resources nyingi kuchunguza mauaji ya bifu za magang maana wanajua mwishowe wahusika watauana tu kwa ujinga wao wenyewe.
Jamaa alikuwa anaimba anapost alichofanya lakini bado hawakumkamata.
Ukitaka kujua hilo, huoni hata mauaji ya 2pac na notorious mpaka leo japo inadaiwa vyombo vya usalama wanajua nani aliyafanya lakini hawakuwahi yapa uzito.
Ni kwa sababu ni gang killings hayana tofauti na hawa wakina king von
Mdogo wangu hujui hata unachokiandika... Nenda basi kasome Atlanta news wanaeleza vipi kuhusu hayo mauaji, ukishindwa kasome BBC na Sky wameeleza nini kwa ushahidi...
Lakini umenishangaza uliposema mauaji ya Pac hayakupewa uzito wakat kuna list ya watu waliohusika wapo jela kwasabab ya mauaji ya Pac na Big...
Acheni story za vijiweni.
 
Ntajie mmoja aliyeko jera amekuwa convicted kwa kumuua pac just mmoja tu aliyehukumiwa kwa kumuua pac.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom